Wewe weka CV yako ili tufanye comparison na yake.
aaah too childish simjui ila maelezo yako unahisi matendo yako yanaweza badilisha cv yake..kama uamini njoo umwone ngeleja ama masha laurent rosegarden alafu ukaulize cv zao...wako wengi tu mtafute aliekuwa mkurugenzi wa idara moja ya ndege mfwatilie matendo yake soma cv yake..ni wakati muafaka kuleta yako kwanzzawadau!
Mwenye cv ya huyu mtu aweke hapa maana hakika serikali imeamua ikajidhalilishe kwa kumtumia huyu jamaa maana licha ya kuwa alikuwa mkurugenzi kiwanda cha nyama ila anamaisha ya kihuni- huni, kama uvaaji wa jeans mlegezo,chain kubwa, kofia kugeuzia nyuma kama 50 cent yuko kukwaani sasa kweli kuna dc hapa? Labda abadilike....ila kama una cv weka hapa...,
Wadau!
Mwenye cv ya huyu mtu aweke hapa maana hakika serikali imeamua ikajidhalilishe kwa kumtumia huyu jamaa maana licha ya kuwa alikuwa mkurugenzi kiwanda cha nyama ila anamaisha ya kihuni- huni, kama uvaaji wa jeans mlegezo,chain kubwa, kofia kugeuzia nyuma kama 50 cent yuko kukwaani sasa kweli kuna Dc hapa? Labda abadilike....ila kama una Cv weka hapa...,
Wadau!
Mwenye cv ya huyu mtu aweke hapa maana hakika serikali imeamua ikajidhalilishe kwa kumtumia huyu jamaa maana licha ya kuwa alikuwa mkurugenzi kiwanda cha nyama ila anamaisha ya kihuni- huni, kama uvaaji wa jeans mlegezo,chain kubwa, kofia kugeuzia nyuma kama 50 cent yuko kukwaani sasa kweli kuna Dc hapa? Labda abadilike....ila kama una Cv weka hapa...,
Mheshimiwa sharobaro
Doma utashambuliwa sana humu jamvini,jamaa ana washkaji wengi humu nashangaa mbona Cv za wengine mnaponda hii mnatetea.Jamaa amesoma Forest sec. morogoro enzi hizo baba Rc wa moro badaye akaingia chuo cha diplomasia Kurasini kwa ajili ya diploma,baada ya hapo alienda UK sijui alisoma/alimaliza nini huko then akarejea bongo.
SHAME ON U,ask urself dat silly question! kumbe unajiona ulivo **** na mjinga km unaona ni kitu kidogo ukuu wa wilaya kwanini ukaandika msg ya kipumbavu wch means imekuuma.so far i never argue wth fools n the nxt thing is 2 block u,wanaume wengne km mashoga duu!! ishi maisha yako achana na mzinda's u looser!! on top ov dat mzee wetu alishakua waziri wkt wa nyerere so if it happens akapata another fam member dat aint gonna b strange 2 our family...poleey
duh!! kazi ipo!SHAME ON U,ask urself dat silly question! kumbe unajiona ulivo **** na mjinga km unaona ni kitu kidogo ukuu wa wilaya kwanini ukaandika msg ya kipumbavu wch means imekuuma.so far i never argue wth fools n the nxt thing is 2 block u,wanaume wengne km mashoga duu!! ishi maisha yako achana na mzinda's u looser!! on top ov dat mzee wetu alishakua waziri wkt wa nyerere so if it happens akapata another fam member dat aint gonna b strange 2 our family...poleey