CV ya Pascal Mayalla

Kuna sifa moja ya Paschal Mayalla ambayo haijaandikwa humu ni kwamba kabla hajawa mtangazaji wa radio na TV alikuwa ni askari wa JWTZ (Airwing) kilichopo Majumba sita Ukonga D'Salaam ambacho kwa sasa kinaitwa Air Transport Station, na Kozi ya awali ya Uanajeshi aliifanyia Kunduchi. Mimi binafsi nilikuwa naye Kikosi kimoja wakati huo Wanajeshi walikuwa na maslahi duni sana.
 
Kwanini aliacha?

Muda ulifika?

Alifukuzwa utumishi?

Aligomea mkataba?

Unampa asilimia ngapi kua anaweza kua TISS?
 
Vizuri kumfahamu
 

Duh
!Kumbe naye ni miongoni?
 

Pascal naona amekengeuka sana siku hizi, amebaki kusifia CCM kwa umakini na kuiponda Chadema kwa usiri wanaomsoma toka zamani wataungana na mimi
 
Kwa hiyo yeye ndo mvumbuzi wa jina la kitoweo pendwa cha kitimoto?
 
Bila shaka ni pamoja na Rev. Gwajima, nabii Tito, Dr. Shika nk.
 
Binafsi namkubali sana, hasa ukizingatia katika sekta ya habari waandishi wengi ni Empty set. Wengi walienda baada ya kufeli maeneo mengine. Huyu huwa namwona mwenye vitu vyenye maana. Wengi wa waandishi wetu huuliza maswali ya kujibu ndio au hapana, yasiyo maana au kuandika habari zisizo tija. Huyu wakati akiwa kwenye hizi shughuli moja kwa moja alijitahidi. Level nyingine.
Tatizo LA NYUZI zake humu JF hatoi ONYO.
Kwenye bia wameandika haiuzwi kwa walio chini ya 18 years na Sigara wanasema ni hatari kwa afya yako. Nyuzi zake nyingi huwa ngumu kuelewa kwa majority ndio maana povu huwa linatoka, angekuwa anatoa onyo, haifai kwa ........ Aaaaaah. Mimi namkubali. Kila Uzi wake hata kama heading haivutii nausoma tu.
 
hahaaa sasa hapo nimekuelewa ..alipaswa kutoa onyo kwa watu wenye upeo mdogo wakufikiri ..maana Hawa huwa wanasifa yakuto tambua/kuelewa jambo lolote lile ambalo linapaswa kutazamwa kwa jicho LA tatu nabahati mbaya taifa hili linawatu wachache wenye maono ya jicho la tatu ndio maana wanaompinga wamekuwa wengi kuliko wanaomuelewa ...

asante
 
Kwa sasa huyu jamaa anasimamia taaluma yake vizuri, nitaitafuta CV yake pale tu atakapoteuliwa na mkulu. Maana wengi baada ya teuzi taaluma zao hazina msaada kwa taifa. Je atakua miongoni mwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…