CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

Status
Not open for further replies.
Mkuu Domo Zege,

Hiyo ni Open University unapiga shule wakati huo huo unafanyakazi.Mpaka sasa sioni tatizo la mheshimiwa naibu waziri wa Elimu labda kama ipo agenda nyingine.

Wadau naomba tuiangalie CV ya huyu Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi tuone kama ina kidhi majukumu mazito :

First Name: Philipo
Middle Name: Augustino
Last Name: Mulugo
Member Type: Constituency Member
Constituent: Songwe

EDUCATION
Rukwa Primary School, Chunga Primary Education 1982 1989 PRIMARY
Mbeya Secondary School O-Level Education 1990 1993 SECONDARY
Songea Boys' High School A-Level Education 1994 1996 HIGH SCHOOL
Open University of Tanzania BA (Economics Education ) 2002 2008 GRADUATE
CERTIFICATIONS

Degree miaka 6
 
Wadau naomba mwwnye connection na OUT atuthibiitishie kama kweli Mulugo ni mmoja wa wahitimu wa mwaka 2008. Isije ikawa amejiandikia tu kuwa ana B A

Ni kweli amehitimu, hilo amenithibitishia mmoja wa watu aliokuwa anawalipa kumsovia Asignments zake
 
Ahasante kwa kutujuza! Yaani Mwalimu wa shule ya Sekondari BINAFSI, asiyepata mafunzo yeyote ya UALIMU, anapanda ngazi hadi kufikia UNAIBU WAZIRI WA ELIMU!!!! Tunaipeleka wapi ELIMU katika nchi hii jamani? Lakini usishangae wana JF kibao watajitokeza na kumsifia kuwa jamaa ni KICHWA!!! We haya we!

Inashangaza sana,kuna kitu hapa.
 
Mulugo ni msaidizi wa Waziri mwenye shahada ya Uzamivu na ndiye mwenye dhamana ya wizara. Namsisitiza tu waziri huyo mwenye dhamana achangamke na kujitambulisha rasmi kuwa ndie mwenye dhamana ya wizara . Amekuwa kimya mno! Kama hayupo vile!!!!!
 
Wadau naomba tuiangalie CV ya huyu Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi tuone kama ina kidhi majukumu mazito :

First Name: Philipo
Middle Name: Augustino
Last Name: Mulugo
Member Type: Constituency Member
Constituent: Songwe

EDUCATION
Rukwa Primary School, Chunga Primary Education 1982 1989 PRIMARY
Mbeya Secondary School O-Level Education 1990 1993 SECONDARY
Songea Boys' High School A-Level Education 1994 1996 HIGH SCHOOL
Open University of Tanzania BA (Economics Education ) 2002 2008 GRADUATE
CERTIFICATIONS

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
The Parliament of Tanzania Member - Songwe Constituency 2010 2015
Southern Highland Secondary School School Managing Director 2008 2010
Southern Highland Secondary School Administrative & Personnel Officer 2005 2010
Southern Highland Secondary School Teacher 2000 2004
POLITICAL
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National Executive Committee 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Secretary General - Mbeya Region (Parents) 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - Chunya District Political Committee 2007

mhh..PAZITO. mwaka 2005 nilisikia wanachagua viongozi wenye degrees tu.. sasa ivi naona yamemshinda, sasa huyu kweli ndo atakomboa walimu. jamaa amekosa watu au ndo makundi?
 
Issue sio Elimu ila ni uzalendo na uwezo wa mtu kuwa na kipawa cha kutatua matatizo ya Elimu ndio maana hata leo sitashangaa Mwanamuziki Youssou N'dour kuwa Rais wa Senegal maana aliyeko madarakani sasa hivi Wade ni mtaalamu mwenye Madigrii luluki lakini ameshindwa kuondoa Ufisadi na Ajira lakini Youssou N'dour ambaye ameishia darasa la saba tu ameajiri vijana 4,000 ! Nani hapo anafaa kuwa Rais mzalendo wa nchi yake ? Wenye Digrii wangapi na PHD zao wameingia mikataba ya kijinga na wawekezaji na kusababisha hasara la kwa taifa( Tanzania ) hili.............??
 
najaribu kufikiri kwa undani juu ya haya mambo na napata mixed conclusions.
Cha msingi hapa ni 'inner intention' ya kila mtu maana wasomi waliojaa Tanzania kwa sasa haikuwa fair kuona ma-prof na ma-dr wakisimama majukwaani kutwambia ujinga wanaotueleza kila kukicha.
Ila unaweza kufikiri kwa kuwaangalia watu Kama Steve Jobs, Teddy Turner, Bill Gates na wengineo waliogeuza mitazamo ya watu na kulinganisha na matokeo yao ya shule! Ila binafsi nakuwa na mashaka na mtu yeyote (hasa nafasi za kisiasa) ambaye ni 'product' ya hii regime
Kuna:-
1.Dr Shukuru Kawambwa
2.Prof Jumanne Magembe
3.Prof Juma Kabuya
Hao wote CV zao za kueshimika kuliko huyo jamaa, ila angalia Wizara ya Elimu walivyoziongoza?!
Tunao mfahamu
Mbeya Secondary School O-Level Education 1990 1993 SECONDARY Div Three
Songea Boys' High School A-Level Education 1994 1996 HIGH SCHOOL Div Four
Kwani hao waliopata Div I wantusaidia nini kama sio ufisadi mtupu?
 
Mi nadhani mwisho wa siku tuangalie perfomance yake kikazi si suala la elimu kwani tuna viongozi wangapi waliosoma sana na wanaishia kuharibu tu?Mi naona kama jamaa anajitahidi kupambana japo sina uhakika na style yake
 
Anamiliki shule halafu ni naibu waziri wa elimu. Ile kitu inaitwa "conflict of interest" haimgusi kweli? Ndio maana wizara hii imeshindwa kuunda kitu kama EWURA kwenye ELIMU?
 
nadhani hatuhitaji cv nzito suala hapa anatekeleza kazi zake ipasavyo anasimamia majukumu yake.hao waliotangulia mbona wametufikisha pabaya.kama mmekosa la kungea bora kukaa kimya.

Kwenye hoja nzito zinazohusu mstakabali wa taifa usilete mzaha bwana saidsabke. Haijalishi mahusiano muliyonayo na huyu Naibu Waziri. Imefika wakati binadamu ukiri kosa kama umekosea. Hili la uteuzi wa Philip Mulugo ni kosa kubwa. Mkunje samaki angali mbichi, hivyo ndiyo wahenga walivyosema
 
Mkuu sasa wewe unataka kuwatukana watanzania hasa wapiga kura wa majimbo iliyoyataja! Lema alipambanishwa na PhD wananchi wakamchagua yeye wakamuacha PhD kwa hiyo hayo ni matakwa ya wananchi wa Arusha. Na wao wana akili na wanajua kuwa huyo Lema ni.STD VII na yule mwingine ni PhD lakini ndio matakwa yao. Nenda Rorya waulize akina Prof. Monyo nini kiliwapata kwa mbunge mmoja jina lake sijui Ayilo. Nasikia jamaa ni std saba lakini aliwagaragaza maprofesa! Tukubali tu na kuyaheshimu matakwa ya wapiga kura.

hakianani kumbe yule mlugo tulikuwa tunakutana karembo bar ndo waziri!! Jamaa mwenye shule ya southern highland? Jamaa is purely kihiyo.nilibahatika kukaa nae meza moja ni mtu ambaye uwezo wake wa kujua mambo na kuyachanganua ni ovyo.afadhali hata huo ubunge lema ambaye ni mwalim mkuu kule mkwajuni aliyeanguka kura za maoni.huyu jk uteuzi wake ovyo.anakuja kujua kuwa mteule wake hafai too late kama alivyomzawadia yule daktari wa rufaa mbeya unaibu w wa afya kwa sababu tu ya ushoga halaf akamtema badae
 
Wadau naomba tuiangalie CV ya huyu Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi tuone kama ina kidhi majukumu mazito :

First Name: Philipo
Middle Name: Augustino
Last Name: Mulugo
Member Type: Constituency Member
Constituent: Songwe

EDUCATION
Rukwa Primary School, Chunga Primary Education 1982 1989 PRIMARY
Mbeya Secondary School O-Level Education 1990 1993 SECONDARY
Songea Boys' High School A-Level Education 1994 1996 HIGH SCHOOL
Open University of Tanzania BA (Economics Education ) 2002 2008 GRADUATE
CERTIFICATIONS

Degree miaka 6

si tu miaka 6!!degree ya open!!!!!
 
Huyu jamaa nimefundisha nae pale Southern highlands sec. school, mimi ndo niliye mfundisha kuandaa lesson plan na scheme of work, kwani wamiliki wa shule ile (wahindi) walimwajili kama kumsaidia baada ya kufiwa na baba pamoja na mama yake kwa kuliwa na mamba! Hana kitu kichwani, hata lesson notes hakuweza kuandaa badala yake alikuwa anatumia yellow materials (notes alizosomea yeye au kuomba kwa walimu wazoefu).
 
Nchi hii kwa hata muendesha guta atakuja kukamata uwaziri..kisa uwaziri hausomewi...
 
Mrema aliwahi kuwa NAIBU WAZIRI MKUU na Waziri wa Mambo ya ndani akiwa na darasa la nane tu na ukuruta wa UwT basi.
 
Wadau naomba tuiangalie CV ya huyu Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi tuone kama ina kidhi majukumu mazito :

First Name: Philipo
Middle Name: Augustino
Last Name: Mulugo
Member Type: Constituency Member
Constituent: Songwe

EDUCATION
Rukwa Primary School, Chunga Primary Education 1982 1989 PRIMARY
Mbeya Secondary School O-Level Education 1990 1993 SECONDARY
Songea Boys' High School A-Level Education 1994 1996 HIGH SCHOOL
Open University of Tanzania BA (Economics Education ) 2002 2008 GRADUATE
CERTIFICATIONS

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
The Parliament of Tanzania Member - Songwe Constituency 2010 2015
Southern Highland Secondary School School Managing Director 2008 2010
Southern Highland Secondary School Administrative & Personnel Officer 2005 2010
Southern Highland Secondary School Teacher 2000 2004
POLITICAL
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National Executive Committee 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Secretary General - Mbeya Region (Parents) 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - Chunya District Political Committee 2007

Kuna wakati nilisha wahi kuuliza humu ndani. Hivi ni nani huwa anawatengenezea CV hawa jamaa. Maana hiyo CV hata form two anaweza kuja na CV inayoeleweka kuliko hii. Inaonyehs ni njinsi gani jamaa asivyo na upeo kielimu ingawa ana the so called degree!!
  • Hivi Chunga Primary Education ina maana gani??
  • Hivi kuna degree inayoitwa BA (Economics Education )??
  • Hlafu hii GRAUATE CERTIFICATIONS ndiyo nini??
Hii CV bomu kweli kweli. No wonder kafanya kazi sehemu moja tu.
 
Mkuu Domo Zege,

Hiyo ni Open University unapiga shule wakati huo huo unafanyakazi.Mpaka sasa sioni tatizo la mheshimiwa naibu waziri wa Elimu labda kama ipo agenda nyingine.

Huoni tatizo wakati waziri hawezi hata kutengeneza CV yake?? Mfano hapo anaposema Chunga Primary Education au Graduate certification wewe unaelewa nini hapo.??? Tatizo hapa siyo kusoma Open University!!!!
 
Mkuu Zamaulid,

Nimefanya paper module E & F za NBAA na wanafunzi wa Open University B'Com Accounting wengi walifaulu vizuri mwanzoni hata mimi nilikuwa na wasiwasi na uwezo wa Open nikajagundua wako vizuri kuliko nilivyowawazia.Wanasoma units zote mwanafunzi wa UD na Mzumbe.

Taifa la China lenye uchumi namba mbili kwa ukubwa duniani limeweza kufanya mapinduzi katika sekta nyingi kwasababu lilitumia fursa ya elimu huria ambayo ni rahisi kuitoa kulinganisha na elimu tuliyozoea kuipata vyuoni.Gharama za kumsomesha mwanafunzi mmoja chuo kikuu cha Dar zinaweza kuwasomesha wanafunzi kumi Open University.

si tu miaka 6!!degree ya open!!!!!
 
Kwenye hoja nzito zinazohusu mstakabali wa taifa usilete mzaha bwana saidsabke. Haijalishi mahusiano muliyonayo na huyu Naibu Waziri. Imefika wakati binadamu ukiri kosa kama umekosea. Hili la uteuzi wa Philip Mulugo ni kosa kubwa. Mkunje samaki angali mbichi, hivyo ndiyo wahenga walivyosema

sasa unafikiri angemteua nani kwa mkoa wa mbeya? wananchi ndio wabunge waliowachagua na jk anachagua mule nyie wananchi mliowachagua, mulugo anaziba nafasi ya lucas siame jamani ambae alikuwa waziri na alishindwa uchaguzi na chadema na ndio maana akina gideon cheyo wa ileje alikaa muda mwingi kwenye uwaziri kwa ajiri ya ratio hata kibona nae wa ileje na ndio maana ilibidi mwakyusa awedroped ili mwakyembe aingie na pia chunya ni jimbo halijawahi toa waziri hivi vitu vinakwenda kwa ratio!! sasa hapo wa kulaumiwa ni wanachi wa songwe kumpa ubunge mulugo wangempa mtu mwenye madegree sio?

hoja hapa zungumza kuwa mulugo hakustahili wizara ya elimu na alistahili wizara ipi? maana uwaziri ni stahili yake kutoka miongoni mwa wabunge wa ccm wa mkoa wa mbeya

nadhani umenielewa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom