Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,896
Mwaka 2011 nilishawahi kusema huyu mtu uwezo wake ni mdogo sana na nikasema kuna haja ya kupitia kwa kina hukumu alizotoa akiwa jaji.Ni lazima atakua alitoa hukumu kandamizi au zenye upendeleo
Tukileta CV yake ili ikamilike nadhani na nukuu zake alizowahi kutoa ziwekwe ili kuitendea haki CV hii nzito iliyosheheni usomi na experience!
We Ben wewe....hivi unajua huyo ni 'kaka msomi' aka 'learned brother'? teh teh teh
Constituent: Ex-officio Member
Political Party: AG
Office Location: Dar Es Salaam
Mkuu, Werema alifeli mtihani wa uwakili. Kwa udhaifu wa sheria na taratibu zilizopo, akaja kuteuliwa Jaji na baadae AG.We Ben wewe....hivi unajua huyo ni 'kaka msomi' aka 'learned brother'? teh teh teh
Mkuu, Werema alifeli mtihani wa uwakili. Kwa udhaifu wa sheria na taratibu zilizopo, akaja kuteuliwa Jaji na baadae AG.
We Ben wewe....hivi unajua huyo ni 'kaka msomi' aka 'learned brother'? teh teh teh
Ya kweli hayo au kwa vile tu hamumpendi na kwa vile mnadhani ni kilaza basi ndo mnaamua kumzushia?
Mtu aliyekuwa attorney general advocate (what hell is that even?) iweje afeli mtihani wa uwakili? Na kwani mtihani wa uwakili ni mgumu kuliko miaka 4 aliyosomea sheria hapo UDSM?