CV ya mheshimiwa Diallo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CV ya mheshimiwa Diallo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Asprin, Sep 5, 2009.

 1. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Kuna mdau kanipeperushia CV ya mzee wetu. Nimeipitia nikaangalia mlolongo wa kusaka madigrii yake na majukumu makubwa aliyokuwa nayo kipindi hicho. Nikashangaa hizo nondo alizipatajepataje na majukumu hayo mazito aliyafanyajefanyaje? Au ndio vile vyuo vya kina Dr. Nanihiii? Nawasilisha.

  GENERAL
  Salutation: Honourable
  First Name: Dr. Anthony
  Middle Name: Mwandu
  Last Name: Diallo
  Member Type: Constituency Member
  Constituent: Mwanza Vijijini
  Political Party: CHAMA CHA MAPINDUZI
  Office Location: P.O. Box 6404, Dar es Salaam
  Office Phone: +255 784 769976
  Ext.:

  Office Fax:

  Office E-mail: adiallo@parliament. go.tz
  Member Status: Current Member
  Start Date: 28 December 2005
  End Date: 27 December 2010
  Date of Birth 25 December 1956
  EDUCATIONS
  School Name/Location Course/Degree/ Award Start Date End Date Level
  University of Phoenix, USA Masters of International Management (MM-I) 2006 - 2007: MASTERS DEGREE
  University of Phoenix, USA BA-eB (Bachelor of Science in e-Business) 2002 - 2006 GRADUATE
  RVB - Holland (Maastricht School of Management) PostGraduate Diploma in Technology Management 1992 - 1993: POSTGRADUATE
  Harvard University (Business School) AMP (Management) 1994 - 1994: POSTGRADUATE
  University of Newcastle MBA(Services Marketing) 2003 - 2005: MASTERS DEGREE
  Mwanza Sec. School Center-Private Candidate O-Level Education 1970 - 1974 SECONDARY
  University of Newcastle Doctor of Bussiness Administration 2004 - 2008: PHD

  CERTIFICATIONS
  Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
  No items on list

  EMPLOYMENT HISTORY
  Company Name Position From Date To Date
  Ministry of Water and Livestock - Deputy Minister: 2001 - 2005
  Ministry of Industry and Trade - Deputy Minister: 2000 - 2000
  Parliament of Tanzania - Member of Parliament of Tanzania: 1995 - 2010
  DM Investments Group - Managing Director: 1992
  DM Investments - General Manager: 1982
  DM Investments - Project Manager: 1979
  General Health - Sales Officer: 1978
  Mwanza Chemist - Managing Director: 1973 - 1975
  Mwananchi Dispensary - Dispensary Assistant: 1971 1972
  Roman Catholic - Mission Clerk: 1969
  Ministry of Livestock Development - Minister 10/17/2006 - 2/8/2008
  Ministry of Natural Resources and Tourism - Minister 1/1/2006 - 10/16/2006

  POLITICAL EXPERIENCE
  Ministry/Political Party/Location Position From To
  Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of National Executive Council(MNEC) 2002 To Date
  Chama Cha Mapinduzi - CCM District Political Committee Member 1995 To Date
  PUBLICATIONS
  Description Published Date
  No items on list

  SPECIAL SKILLS
  Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
  No items on list

  RECOGNITIONS
  Recognition Type Recognition Date Reason Action Taken Issued by
  No items on list
   
 2. Mchizi

  Mchizi JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2009
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 680
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 180
  Huyu ni mmoja wa wabunge wenye CV tata,akiwa na miaka 12 tu tayari alikuwa karani,miaka 17 managing director wa kampuni,hmm enzi za mwalimu hizo..du.Hizo degree zote alizoandikia hapo zote online,kama kina nchimbi.
   
 3. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2009
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160

  Hivyo Vyuo alipata vipi ikiwa hakusoma form 5 & 6? Mbona anataka kutufanya sie wote ni vihiyo kama yeye???
   
 4. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2009
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nilimaliza Mwaza secondary (MWASECO) 1975 sikuwahi kusikia jina hilo
   
 5. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2009
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huyu jamaa nilishasikia siku nyingi kuwa hiyo dr. ni feki na hunda hata jina, sasa kuangalia hii CV nafikiri elimu na udr. wake vyote ni feki. Wapinzani wake kwenye uchaguzi wa mwakani wafanyie kazi hizi data zenye utata ili wampige knockout mapema.
   
 6. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  CV inaweza kuwa imejichanganya kuetegeme na aliyeitayarisha lakini ukipata CV yake mwenyewe imekaa vizuri.

  Huyu Mheshimiwa anaweza kuwa ROLE MODEL, alianza kazi kama karani wa kanisa amepanda kupitia ngazi mbalimbali hadi kuwa Minister! Hii inatoa changamoto kwa wale wanaoanzia ngazi za chini kwamba waongeze juhudi na siku zote kuna uwezekanao wa kufanikiwa.
   
 7. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2009
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  alikuwa private candidate....soma vizuri hapo juu.
  huyu jamaa ni balaa,tokea form one mpaka pHD amesoma online though hazikuwepo internet enzi hizo,alijisomea mwenyewe. nashindwa kuelewa vizuri,enzi hizo hata private school zilikuwa chache,yeye aliwezaje kuwa private candidate?...
  anyways:namappreciate kwa kuwa mmoja wa wajasiriamali tunaowategemea nchini,it doesn't matter madegree fake or otherwise amekipata alichokitaka i.e. fedha pamoja na status.
   
 8. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  yeye alikuwa private candidate, ndio maana, lakini mhhh
   
 9. Mkereketwa

  Mkereketwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2009
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hilo siyo tatizo sana, waheshimiwa wengi sana wana hizo degree za kubumba. Mmesahau ile degree aliyoipata Mhe. Mrema aliyoisoma akapewa leaving certificate laikini alikataa kutoa/kuonyesha result slip.

  Hiyo kali
   
 10. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  yuko deep sana huyu bwana inawezekana ni born genious ndio maana kafanya investment nyingi......tumpe haki yake.Mbona kikwete sasa anaitwa Dr.kikwete mbona hamhoji kasomea wapi wakati ana majukumu mengi ya kitaifa?
  ''Mvumilivu hula mbivu.....ila mvundika mbivu hula mbovu''
   
 11. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2009
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kumbe jamaa ujanja wote elimu yake ya kuungaunga hivyo? ina maana hata elimu ya sekondari aliikosa ikabidi ajisomee privately! Siamini kama aliweza kupata elimu ya juu hivyo, tena kwenye vyuo vinavyoheshimika, bila kuona ndani ya A level. Hebu wanaomfahamu siku nyingi watuambie kama kweli jina lake ni Diallo. Hili ni jina la West Africa, alilipataje huyu? Isije iwaka hata vyeti vyake ni vya Diallo wa huko West Africa!
   
 12. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ila hiyo bachelor na masters zote kapata mwaka 2006 kivipi? how did he get the qualifications to enroll for the masters degree before completion of the first degree hapo phoenix? Kweli online mambo ni easy sana. Kama kukaa bungeni tu,unalala zako mwisho wa siku unalamba mkwanja wa nguvu unakula bata tu.
   
 13. Mathias

  Mathias Senior Member

  #13
  Sep 8, 2009
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  This it not serious
  Nafikiri hii ni total joke, manake mpangilio wa CV yenyewe haioneshi kama mtu uyu ni makini, Umri wake wa kuzaliwa, kuanza shule na kazi vina maswali mengi! Nafikiri hii sio CV yake
   
 14. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,841
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  Hii CV ni utata mtupu. Hivi hakuna audit ya wabunge? mbona watumishi wengine huwa inafanyika staff audit ambapo kila mtumishi awasilisha nakala halisi ya vyeti vyake. Ofisi ya spika inapaswa kufuatilia maelezo yanayowasilishwa na MPs.
   
 15. M

  Masatu JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mmekalia fitna, majungu na kuchimbana chimbana tu mshamua sawa elimu ya kuunga unga lakini jamaa lina excel kwenye business na siasa nyie bakini na majungu yenu tu.
   
 16. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2009
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Orodha ya Watanzania waliosoma Harvard University(USA)
  1.Marehemu Tuntumeke Sanga
  2. Rakesh(Haki elimu)
  3......
  4......
  5......
  Naomba tuendele....
  Lakini Mbona A. M Diallo Jina lake halipo?????
   
 17. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2016
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kuna mdau kanipeperushia CV ya mzee wetu. Nimeipitia nikaangalia mlolongo wa kusaka madigrii yake na majukumu makubwa aliyokuwa nayo kipindi hicho. Nikashangaa hizo nondo alizipatajepataje na majukumu hayo mazito aliyafanyajefanyaje? Au ndio vile vyuo vya kina Dr. Nanihiii? Nawasilisha.
  GENERAL
  Salutation: Honourable
  First Name: Dr. Anthony
  Middle Name: Mwandu
  Last Name: Diallo
  Member Type: Constituency Member
  Constituent: Mwanza Vijijini
  Political Party: CHAMA CHA MAPINDUZI
  Office Location: P.O. Box 6404, Dar es Salaam
  Office Phone: +255 784 769976
  Ext.:
  Office Fax:
  Office E-mail: adiallo@parliament. go.tz
  Member Status: Current Member
  Start Date: 28 December 2005
  End Date: 27 December 2010
  Date of Birth 25 December 1956
  EDUCATIONS
  School Name/Location Course/Degree/ Award Start Date End Date Level
  University of Phoenix, USA Masters of International Management (MM-I) 2006 - 2007: MASTERS DEGREE
  University of Phoenix, USA BA-eB (Bachelor of Science in e-Business) 2002 - 2006 GRADUATE
  RVB - Holland (Maastricht School of Management) PostGraduate Diploma in Technology Management 1992 - 1993: POSTGRADUATE
  Harvard University (Business School) AMP (Management) 1994 - 1994: POSTGRADUATE
  University of Newcastle MBA(Services Marketing) 2003 - 2005: MASTERS DEGREE
  Mwanza Sec. School Center-Private Candidate O-Level Education 1970 - 1974 SECONDARY
  University of Newcastle Doctor of Bussiness Administration 2004 - 2008: PHD
  CERTIFICATIONS
  Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
  No items on list
  EMPLOYMENT HISTORY
  Company Name Position From Date To Date
  Ministry of Water and Livestock - Deputy Minister: 2001 - 2005
  Ministry of Industry and Trade - Deputy Minister: 2000 - 2000
  Parliament of Tanzania - Member of Parliament of Tanzania: 1995 - 2010
  DM Investments Group - Managing Director: 1992
  DM Investments - General Manager: 1982
  DM Investments - Project Manager: 1979
  General Health - Sales Officer: 1978
  Mwanza Chemist - Managing Director: 1973 - 1975
  Mwananchi Dispensary - Dispensary Assistant: 1971 1972
  Roman Catholic - Mission Clerk: 1969
  Ministry of Livestock Development - Minister 10/17/2006 - 2/8/2008
  Ministry of Natural Resources and Tourism - Minister 1/1/2006 - 10/16/2006
  POLITICAL EXPERIENCE
  Ministry/Political Party/Location Position From To
  Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of National Executive Council(MNEC) 2002 To Date
  Chama Cha Mapinduzi - CCM District Political Committee Member 1995 To Date
  PUBLICATIONS
  Description Published Date
  No items on list
  SPECIAL SKILLS
  Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
  No items on list
  RECOGNITIONS
  Recognition Type Recognition Date Reason Action Taken Issued by
   
 18. t

  treborx JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2016
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 4,387
  Likes Received: 1,979
  Trophy Points: 280
  Anasema alikuwa "Private candidate" kwa hiyo inawezekana MWZ Sec ilikuwa center kwa ajili ya kufanyia mitihani. Swali langu hapa, alikuwa anasoma wapi???? maana sidhani wakati huo kulikuw ana madarasa ya tuition kama sasa...
   
 19. k

  kulwa MG JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2016
  Joined: Aug 29, 2016
  Messages: 1,293
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  mkuu,neno ulilotumia"vihiyo" sasa linapeleka watu mahakamani....kuwa makini,bado tunakuhitaji hapa jamvini..
   
 20. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2016
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  3. Mzee wa Vijicenti
   
Loading...