JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 532
- 646
Hili jina la Diallo ni kama la watu wanaotokea nchi zinazoongea kifaransa.
Ni msukuma wa meatu pure kabisa, wazazi wake nilikuwa nawafahamu kabla hawajatangulia mbele za hakiHili jina la Diallo ni kama la watu wanaotokea nchi zinazoongea kifaransa.
Okay. Nilidhani Gwajima anamfahamu vizuri.Ni msukuma wa meatu pure kabisa, wazazi wake nilikuwa nawafahamu kabla hawajatangulia mbele za haki