CV ya Kamishna Mkuu wa mamlaka ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya

Huyu ni askari polisi kutokea kikosi cha Antinacotic,yaonekana amehitimu na kufanyakazi na INTERPOL kwenye kitengo hicho kwa muda wa kutosha,katika mikoa ya kaskazini hasa Kilimanjaro.Kuteuliwa kwake yaonekana ni mapendekezo ya INTERPOL wala sio vinginevyo.
JF hakiharibiki kitu
 
Utambulisho Mfupi wa Rogers James Sianga.

Jina la Kwanza: Rogers

Jina la Kati: James

Jina la Ukoo: Sianga

Jinsia: Mwanaume

Kabila: Mmasai

Kazi: Mkurugenzi wa Tume ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya.
Safi sana.
 
Jamani Kama kuna Mtu anajua CV ya Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Na Kupambana na Dawa za Kulevya Bwana Rogers William Sianga anijuze.:

Nimesikiliza Hotuba yake Leo kidogo nikaona nimugoogle, kwa bahati mbaya kabisa google wamefail mtihani, hawajui lolote kuhusu Kamshina zaidi ya kuchaguliwa na Rais

7.jpg
Utafeli kila mtu unataka kujua CV yake
 
Ni kweli anaonekana kama ametembea mbele huko. Cha ajabu lakini ni pale alipowalaani wajaji walio wa-acquit (waliokuta watuhumiwa wa madawa hawana hatia..

Hivi mtu mwenye exposure na mambo ya independent judiciary duniani huko unawezaje kuwa condemn majaji kwamba washughulikiwe kwa vile waliipiga chini kesi ya serikali? Hivi kwa nini Watanzania wengine wakitoka nje huko hawajifunzi?

What if serikali haikuleta kesi imara? Shutuma zenyewe hizi za sources kutoka kwa mateja wa Uwanja wa Fisi Manzese?
Hebu kuwa mwelewa amesema kuna ushahidi kuwa walitemper na kesi hizo, na hilo linajukika, lazima ujue utawala uliopita ndo haikuwa serious, lkn haimanishi vyombo huska vilikuwa havifanyi kazi, kazi ilikuwa inafsnyika, ila wakuchukua hatua ndo ilikuwa Hamna, bt record zipo!
 
Kwa mara ya kwanza kumsikia nilijuwa hapo tumepata Kamishna.

Yupo "composed", unapenda umsikilize. Anaonesha ni mtu mwenye busara sana.
Ushaanza kumtaman yani we kikongwe wewe!!! Si upumzike tu uwape smartphone wajukuu zako!!!!
 
Lets wait and see. Maana hata msajili wa vyama vya siasa tulidhani ni mtu wa kuheshimu taaluma kumbe tulikosea sana. Yupo na Lipumba wanacheza mdumange
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Anaonesha si mtu wa kutetemeka. Ni heshima tu. Hata alivyoongea alikuwa "so humble".

You can not afford not to like the guy, he is so likeable with a strong personality.


Awwww...bi shosti shemeji huwa hapitipiti huku maana.....mmmmmhh
 
Back
Top Bottom