CV ya Kamishna Mkuu wa mamlaka ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya

LOSEJMASAI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
332
856
Jamani Kama kuna Mtu anajua CV ya Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Na Kupambana na Dawa za Kulevya Bwana Rogers William Sianga anijuze.:

Nimesikiliza Hotuba yake Leo kidogo nikaona nimugoogle, kwa bahati mbaya kabisa google wamefail mtihani, hawajui lolote kuhusu Kamshina zaidi ya kuchaguliwa na Rais

7.jpg
 
Upere umepata mkunaji kwa uteuzi huu, ngoja tusubilie matendo yake watanyooooka
 
jamaa yuko vizuri na toka anaanza kuongea mpaka mwisho hachoshi na anaeleweka na anajua anachokifanya na ukiwa na akili utaona tofauti kati ya siasa na taaluma......khe chid mapenzi kaokotwa
Naona wenyewe mmeomba po ya kutotaka Maji yatajwe..toka enzi za jk mlikuwa mkitaka majina yatajwe..nadhani ile tabia yenu ya kutakaga majina kwenye kila ishu imewatokea puani..na msitake kujua tena watu walioweka pesa uswiss..na hata wale waliobakia kwenye list ya escrow..tunataka upinzani mfunge midomo na kina mbowe wawaombe radhi kina jk kwa kuwataja hadharani kwenye list of shame
 
Back
Top Bottom