CV ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Augustine Ramadhani

..OK.

..Je, miaka yote aliyokuwa mahakamani je ametoa hukumu yoyote ile ya kupigiwa mfano?

..Je, huyu ni miongoni mwa Majaji wa kupigiwa mfano hapa Tz?

..Wale waliosomea sheria wamewahi kujifunza lolote darasani kutokana na hukumu za Jaji Ramadhani?

..Suala siyo ukubwa wa CV, bali amefanya nini cha kumtofautisha na wenzake ktk nafasi alizopata kushika.

..Wote wanaompigia debe wanadai hana makundi, bila kutaja sifa zake nyingine. Je, Jaji Ramadhani hana sifa nyingine zaidi ya hiyo?

cc Kichuguu, Mkandara, Jasusi, Molemo, Kapwela, Ben Saanane, NasDaz, Zanzibar-ASP, OLESAIDIMU, mkonomtupu, Rweye, Mag3, Mchambuzi

Ni mtu anayejiheshimu lakini sidhani kama ana sifa za aina ya raisi tunayemtaka Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha ufisadi. Aneoneka kuwa TOO SOFT!
 
..mimi sijamsikia Jaji Ramadhani akiwatetea wananchi wa kawaida.

..sijamsikia akijihusisha na masuala yanayoisumbua jamii yetu mfano ujinga, maradhi, amasikini, rushwa, na ufisadi.

..sifa kubwa anayokuja nayo ni kutokuwa na makundi. sasa how does that translate into maisha bora kwa wa-Tz?

..pia hata ktk historia yake kama Jaji, sijapata kusikia kwamba ametoa hukumu ambayo ni REJEA kwa wasomi wa sheria hapa nchini.

cc ZeMarcopolo, Nguruvi3, Nyani Ngabu, Kimbunga, Kibunango
 
Last edited by a moderator:
Z

mkuu kuna hukumu moja ambayo ilitolewa na jopo la majaji likiongozwa na CJ Ramadhani kuhudu mgombea binafsi ambayo imekuwa ikiwachanganya wanasheria. Hii ni ile rufaa ya serikali dhidi ya hukumu ya Jaji Lugakingira kwenye kesi ya Mch. Mtikila dhidi ya Jamhuri/mwanasheria mkuu wa serikali. Katika hukumu ya Lugakingira, Mahakama ilikubali mgombea binafsi ikisema kutoruhusu mgombea binafsi ninukiukwaji wa katiba. Katika rufaa ya serikali, mahakama ya rufaa ikasema si jukumu la mahakama kuamua kuhusu ugombea binafsi badala yake wakaamua kwamba suala hilo lirudishwe Bungeni. Nimekuwa nikisikia wanasheria wanalalama kwamba kusema hivyo ni kuiondolea mahakama wajibu wake wa kutafasri sheria na kutoa haki. Nadhani wansheria wanalijua hili wanaweza kusaidia kuhusu hukumu hiyo.
 
Kimsingi mahakama ilisema kuna kifungu cha Katiba kinachomtaka mgombea apite kwenye chama, na kwamba so jukumu LA mahakama kuamua kama kifungu kimoja cha katiba ni batili dhidi ya kifungu kingine cha katiba.
 
..kwanza wanasema alikata kadi ya TANU.

..sasa sielewi uhalali wa kisheria na kimaadili wa MZANIZIBARI kujiunga na TANU.

..halafu kuna suala la rekodi yake kama Jaji ktk mahakama zetu. hii ni rekodi ndefu sana.

..hakuna ushahidi wowote kwamba amewahi kutoa HUKUMU ambayo ni REJEA kwa wasomi wetu kutokana na UBORA wa hukumu hiyo. badala yake Jaji Ramadhani anahusishwa na hukumu ya HOVYO-HOVYO kuhusu suala la MGOMBEA BINAFSI.

..mwisho, ni suala la RUSHWA ktk MAHAKAMA zetu. hana rekodi ya kusafisha rushwa ktk mahakama zetu, sasa sina uhakika kama he has what it takes kupambana na rushwa nchi nzima.
 
Ni mtu anayejiheshimu lakini sidhani kama ana sifa za aina ya raisi tunayemtaka Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha ufisadi. Aneoneka kuwa TOO SOFT!

Na wanao act TOO HARD ni mafisadi wakubwa
 
..kwanza wanasema alikata kadi ya TANU.

..sasa sielewi uhalali wa kisheria na kimaadili wa MZANIZIBARI kujiunga na TANU.

..halafu kuna suala la rekodi yake kama Jaji ktk mahakama zetu. hii ni rekodi ndefu sana.

..hakuna ushahidi wowote kwamba amewahi kutoa HUKUMU ambayo ni REJEA kwa wasomi wetu kutokana na UBORA wa hukumu hiyo. badala yake Jaji Ramadhani anahusishwa na hukumu ya HOVYO-HOVYO kuhusu suala la MGOMBEA BINAFSI.

..mwisho, ni suala la RUSHWA ktk MAHAKAMA zetu. hana rekodi ya kusafisha rushwa ktk mahakama zetu, sasa sina uhakika kama he has what it takes kupambana na rushwa nchi nzima.

Kwani tunachagua rais wa PCCB??
 
Jitu hata familia yake inaishi ughaibuni vipi ikulu yetu si itahamia uingereza
 
..mimi sijamsikia Jaji Ramadhani akiwatetea wananchi wa kawaida.

..sijamsikia akijihusisha na masuala yanayoisumbua jamii yetu mfano ujinga, maradhi, amasikini, rushwa, na ufisadi.

..sifa kubwa anayokuja nayo ni kutokuwa na makundi. sasa how does that translate into maisha bora kwa wa-Tz?

..pia hata ktk historia yake kama Jaji, sijapata kusikia kwamba ametoa hukumu ambayo ni REJEA kwa wasomi wa sheria hapa nchini.

cc ZeMarcopolo, Nguruvi3, Nyani Ngabu, Kimbunga, Kibunango

Simply because people tend to hate soldiers otherwise makundi is inevitable!
 
Last edited by a moderator:
luteniusu;luteni;kapteni;meja;lutenikanali;kanali;brigadiajenerali;mejajenerali; jenerali;lutenijenerali;field mashooo

Ranks of Commissioned Officers in Tanzania Armed Forces: Second Lieutenant, Lieutenant, Captain, Major, Lieutenant Colonel, Colonel, Brigadier General, Major General, Lieutenant General, General.
 
Ukiwa rais kupitia CCM automatically unakuwa mwenyekiti wa Chama ..

So tunahtaji kuona alianzia wapi shughuli zake za Chama ??
 
Back
Top Bottom