CV ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Augustine Ramadhani

1. Swali la msingi ni sera ya elimu na yeye kusomesha watoto nje. . . . . .Upi msimamo wake??!?
2. Watoto ni wake kasomesha yeye nje ya nchi na inasemekana wanafanya kazi huko, sababu ya maslahi??!! Uraia??!! Wanachukia Tanzania au nini hayo utasema waulizwe watoto fine. . . . .yeye akiwa CJ chini yake watumishi wangapi walipata scholarship ili kuongeza elimu nje ya nchi?????
1. kifupi Baba yake mzazi alifia Uingereza na kuzikwa huko, aliwaachia watoto na wajukuu urithi hata nyumba ya kuishi wanayo.
2. anayefanya kazi humo ni last born tena huku akiwa chuo bado kama wabeba maox wengine kutoka Tanzania.
Fisrt born wake yuko NBC ni lawyer, second born yuko shirika moja linajihusisha na masuala ya ukimwi la Kimarekani lipo karibu na Upanga Makao Makuu ya Jeshi alias Ngome, Watatu yuko Arusha kampuni za kitalii what else??????
 
Mkuu hizi taarifa za kutunga umezipata wapi mbona ni tofauti kabisa na alizotoa jaji mwenyewe?
 
Nadhani wengi humu ni vijana mnaochangia,ndoto za rais kijana mmeshazitupitilia mbali kabisa....
Hamuoni ana miaka 70?????
 
kwa kifupi Jaji Mkuu Mstaafu ana watoto wanne, Francis, Bridget, Marina na Mathew. na wote wamesoma Uk-Liverpool na wamemaliza ila Mathew bado anaishi huko huko Liverpool. kwa hiyo hana jukumu la kusomesha labda wajukuu lakini watotot alishamaliza zamani. na majina hayo nimekutajia kuanzia first to last born.

Mwacheni aje atatukuta sie Ukawa tupo fiti. Ukae kwenye system alafu leo uje uweze kuigeuka hiyo system eti utapambana nayo? wadanganyeni watoto wa vidudu lakini siyo watz
 
jamii forums imbeciles at work, + viroba original
 
1. kifupi Baba yake mzazi alifia Uingereza na kuzikwa huko, aliwaachia watoto na wajukuu urithi hata nyumba ya kuishi wanayo.
2. anayefanya kazi humo ni last born tena huku akiwa chuo bado kama wabeba maox wengine kutoka Tanzania.
Fisrt born wake yuko NBC ni lawyer, second born yuko shirika moja linajihusisha na masuala ya ukimwi la Kimarekani lipo karibu na Upanga Makao Makuu ya Jeshi alias Ngome, Watatu yuko Arusha kampuni za kitalii what else??????

Nauliza mambo ya elimu unaniambia alikofia baba yake!!!
 
1. kifupi Baba yake mzazi alifia Uingereza na kuzikwa huko, aliwaachia watoto na wajukuu urithi hata nyumba ya kuishi wanayo.
2. anayefanya kazi humo ni last born tena huku akiwa chuo bado kama wabeba maox wengine kutoka Tanzania.
Fisrt born wake yuko NBC ni lawyer, second born yuko shirika moja linajihusisha na masuala ya ukimwi la Kimarekani lipo karibu na Upanga Makao Makuu ya Jeshi alias Ngome, Watatu yuko Arusha kampuni za kitalii what else??????

1. Nauliza mambo ya elimu unaniambia alikofia baba yake!!!
2. Haamini mfumo wa elimu ya bongo I wish kujua nini msimamo wake ju ya hilo. . . .As well kama kasomesha watoto nje je katika madaraka yake kapeleka wangapi nje kusoma sababu premise ya hapo juu ni kuwa haamini na haukubali mfumo wa elimu ya bongo. . . . .anataka kuongoza watu wengi wenye elimu hiyo, baraza lake la mawaziri atachagua waliosoma nje tu??!!! Wakurugenzi??!! Wabunge??!! Wakuu wa mikoa??!! Mabalozi??!!!

Kama huna majibu ya hayo maswali yaache tu mkuu tukubaliane kutofautiana. . . .
 
By OLESAIDIMU
1. Swali la msingi ni sera ya elimu na yeye kusomesha watoto nje. . . . . .Upi msimamo wake??!?
2. Watoto ni wake kasomesha yeye nje ya nchi na inasemekana wanafanya kazi huko, sababu ya maslahi??!! Uraia??!! Wanachukia Tanzania au nini hayo utasema waulizwe watoto fine. . . . .yeye akiwa CJ chini yake watumishi wangapi walipata scholarship ili kuongeza elimu nje ya nchi?????

jamii forums imbeciles at work, + viroba original

Matusi, kukwepa hoja, kushambulia ni dalili na maana halisi ya hilo neno. . . . . . . Embashala. . .!!!!
 
Kweli huyu jamaa ni mkonomtupu, matusi tu ndo kipaji chako. Mzee wenu alishindwa kuisimamia mahakama mpaka ikawa taasisi inayoongoza kwa Rushwa ndo ataiweza kwenye level ya Taifa? atwambie wahanga wanyonge waliopoteza haki zao kwasababu ya Rushwa iliyostawi wakati wa uongozi wake atawalipa nini?
 
Good inaeleweka ila sasa akipata Urais . . . . . .ataandaa sera ya kupeleka watoto nje kusoma au ataimarisha elimu ya ndani??!!!

Kwani hata hao wanaosomesha watoto wao ndani wamefanya nn kuboresha elimu yetu?
...hata we we ukipata fursa ya wanao kwenda kusoma nje utagoma wasiende kwa kigezo cha uzalendo?!
 
1. Naongelea sera ambayo itanufaisha watu kwa mapana sio kila mtu aangalie watoto wake basi. . . . kama waliosomesha ndani hawajafanya kitu basi ndio uwe mbuni kuficha kichwa uache mwili wakati mwili ndio unatafutwa kwa kitoweo???!!

2. Hata wanangu wakienda haiondoi sababu za mie kuulizwa juu ya msimamo na mpango wangu juu ya elimu ndani. . . .Sera ndio uti wa mgongo. . . . .Aseme msimamo wake baas
 
CCM isiangalie cv yake iangalie siasa za sasa anaziweza maana hata kwenye miji mikubwa kama ARUSHA tumeona wenye cv kubwa wanapigwa chini na mtu mwenye cv ndogo kisa anajulikana na anaonyesha ukali wa kupinga wala rushwa,watafakari sana wakishindwa sana kwa MAGUFULI amabye anaweza kuwasaidia washinde kiuraisi kwa kufaamika bac wampitishe ila wanakazi kubwa sana ushindi wao utakuwa wa kupambana kufa na kupona na wabunge wao watawapoteza wengi,
 
he's got one degree
Bill Gates has none (only honorable ones)!
There is a list of presidents with zero degree; just google it.
Being a leader require unique skills some of which cannot be taught...
Nevertheless, I would agree with you that education (and more of it) is still a very good thing.
 
..OK.

..Je, miaka yote aliyokuwa mahakamani je ametoa hukumu yoyote ile ya kupigiwa mfano?

..Je, huyu ni miongoni mwa Majaji wa kupigiwa mfano hapa Tz?

..Wale waliosomea sheria wamewahi kujifunza lolote darasani kutokana na hukumu za Jaji Ramadhani?

..Suala siyo ukubwa wa CV, bali amefanya nini cha kumtofautisha na wenzake ktk nafasi alizopata kushika.

..Wote wanaompigia debe wanadai hana makundi, bila kutaja sifa zake nyingine. Je, Jaji Ramadhani hana sifa nyingine zaidi ya hiyo?

cc Kichuguu, Mkandara, Jasusi, Molemo, Kapwela, Ben Saanane, NasDaz, Zanzibar-ASP, OLESAIDIMU, mkonomtupu, Rweye, Mag3, Mchambuzi
 
Last edited by a moderator:
Kweli huyu jamaa ni mkonomtupu, matusi tu ndo kipaji chako. Mzee wenu alishindwa kuisimamia mahakama mpaka ikawa taasisi inayoongoza kwa Rushwa ndo ataiweza kwenye level ya Taifa? atwambie wahanga wanyonge waliopoteza haki zao kwasababu ya Rushwa iliyostawi wakati wa uongozi wake atawalipa nini?

usisahau jinsi alivyochakachua hukumu ya mgombea binafsi! nasikia kuna majaji walijiuzulu!
 
Back
Top Bottom