CV ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Augustine Ramadhani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CV ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Augustine Ramadhani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chapakazi, Jun 24, 2010.

 1. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wakuu nilikuwa naomba kama kuna mtu mwenye CV ya huyu bwana amwage hapa. Education and work experience ndo vya maana zaidi. Mambo mengine ni ya ziada! Natanguliza shukrani.

   
 2. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Justice Ramadhani is a Justice of Appeal of the Court of Appeal of Tanzania, Judge of the East African Court of Justice and Vice-Chairman of the National Electoral Commission of Tanzania.

  He is also Registrar of the Anglican Church of Tanzania.
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Jaji mkuu pia ni mwanajeshi mwenye cheo cha brigadia general
   
 4. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  be serious guys!
   
 5. minda

  minda JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  uliza wanasheria watakuambia what it takes to be a justice of appeal na jdg wa mahakama kuu. hiyo itakuwa education. work experience ni kwamba sasa yeye ni judge mkuu.
   
 6. Engineer2

  Engineer2 Senior Member

  #6
  Jun 24, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ???
   
 7. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Code:
  [FONT=courier new][COLOR=#000080]
    [SIZE=3][IMG]http://www.bongo5.com/images/stories/jaji_ramadhani.jpg[/IMG]
  
   [/SIZE][/COLOR][/FONT][SIZE=4][FONT=courier new]RAIS Jakaya Kikwete amemteua Jaji Augustino Ramadhan kuwa Jaji Mkuu wa nne wa Tanzania, baada ya Jaji Mkuu Barnabas Samatta kustaafu rasmi. 
  
   Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi,  Phillemon Luhanjo jana, uteuzi wa Jaji Ramadhan ambaye ni Jaji wa  Mahakama ya Rufani kwa muda mrefu sasa, unaanza mara moja. 
  
   Taarifa hiyo ilielezea kuwa Jaji Ramadhani ataapishwa kesho jioni Ikulu jijini Dar es Salaam. 
  
   Jaji Ramadhani ambaye ni mwenye vipaji vingi, kabla ya kuingia katika  shughuli za mahakama, alikuwa katika jeshi la Wananchi wa Tanzania  (JWTZ) akifanya kazi huko katika Idara ya Sheria na alitoka jeshini  akiwa na cheo cha Brigedia Jenerali. 
  
   Pia amewahi kuwa Jaji katika Mahakama ya Afrika Mashariki ambako  alikuwa yeye pamoja na Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Jaji Joseph  Warioba, walikuwa wakiiwakilisha Tanzania. 
  
   Kwa upande wake, Kenya ilikuwa ikiwakilishwa na Jaji Moijo ole Keiwu  na Jaji Kassanga Mulwa walioteuliwa na Rais wa zamani wa Kenya, Daniel  arap Moi. 
  
   Kwa Uganda walikuwepo majaji Joseph Mulenga na Jaji Solony Bosse,  aliyepata kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki. 
  
   Sambamba na hilo, Jaji Ramadhan pia ni mpiga kinanda maarufu katika kwaya ya wa Kanisa la Anglikana jijini Dar es Salaam. 
   Taarifa iliyotolewa juzi kwa vyombo vya habari na Idara ya Habari  (Maelezo), ilisema kuwa Mahakama ya Tanzania itafanya kikao maalum cha  kumuaga kitaaluma Jaji Msataafu Samatta, ambacho kitafanyika Julai 19,  mwaka huu kwenye jengo la Mahakama ya Rufani iliyopo Kivukoni Front. 
  
   Taarifa hiyo ilieleza kuwa Jaji Samatta atastaafu ifikapo Julai 20, mwaka huu. 
  
   Katika shughuli za kumwaga, atakagua gwaride la heshima mbele ya jengo hilo. 
  
   Miongoni mwa watu watakaohudhuria siku hiyo ni Waziri Mkuu, Edward  Lowassa, Waziri wa Sheria na Katiba, Dk Mary Nagu akiwemo Naibu wake,  Mathias Chikawe, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Johnson Mwanyika  ambaye atatoa hotuba. 
  
   Mbali na Jaji Samatta, Watanzania wengine wazalendo waliowahi  kushikilia nafasi ya Jaji Mkuu ni Augustino Saidi na Francis Nyalali. 
  
   Hii ina maana kwamba Jaji Ramadhan anakuwa pia Mzanzibari wa kwanza  kushika wadhifa wa juu katika duru za mahakama nchini Tanzania. 
  
   Source: Mwananchi[/FONT][/SIZE]
   
 8. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kweli tuna kazi...kumbe hata kupata CV ya huyu bwana ni shughuli!!
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Yes its true...Retired Brigadier General Of TPDF...btw JK is a Liutenant Colonel........
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  Jun 25, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Cheo kipi kikubwa hapa? Wengine hatujapita huko wandugu!
   
 11. N

  Ngala Senior Member

  #11
  Jun 25, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  luteniusu;luteni;kapteni;meja;lutenikanali;kanali;brigadiajenerali;mejajenerali; jenerali;lutenijenerali;field mashooo
   
 12. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kweli wanasheria hamjui education ya CJ wenu? Nikisema ana vyeti feki kuna mtu ana evidence ya kupinga?
   
 13. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #13
  Jun 27, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Umekosea kidogo: kati ya Major General na genera kune Lieutenant General; wewe umemeka Lt. Gen. kuwa mbele ye Gen.

  OK tumeambiwa kazi alizowahi kufanya; je jaji mkuu alipatia wapi elimu yake ya sheria? Jibu lake ni hili:

  Naona kuwa huyu jaji, pamoja na kuwa ni mzanzibari, ni mtu ambaye sehemu kubwa sana ya maisha yake ameitumia akiwa Tanganyika. Sijui akiambiwa aamue kesi ya katiba kuhusu Muungano wa Tangayika na Zanzibar ataichukuliaje.
   
 14. T

  Taso JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,648
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  he's got one degree
   
 15. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Alimaliza na honors au vipi? Inaelekea yeye sio academic bali ni practitioner zaidi!
   
 16. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  With exclamation marks, that is "he's got one degree!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!"
   
 17. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  He has amazing experience!!!
   
 18. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kumbe amefanya sana kazi kwenye hizi tume za uchaguzi ZEC na NEC siyo?
  Kumbe anajua vizuri udanganyifu wa mambo yao katika chaguzi zetu. Na hata katika kesi hii alikuwa na background ya mambo haya ya hivi vitume kichwani. Alichofanya ni kuwashawishi tu wenzie wakubaliane naye.
   
 19. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  mtu anaweza kuwa hajasoma kivileee,ila akili na experiance yake maishani ndivo vvya msingi
  madegree nini bwana?ni kuklemu tu sometimes (sio wakati wote)
  nimeipenda CV yake
   
 20. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Totally agree...i wld prefer someone with extensive experience over an academic anytime!I've spent time with too many academics!In the end...they dont make a difference!
   
Loading...