kama hadi linacheza karate msikitini litakuja kuwa gaidi hili.. Namsihi mufti kama huyo ponda hajasoma bakwata waandae ilmu ya UPE ili type hzo za ponda wapelekwe
LAKINI WAISLAMU WANACHANGANYIKIWA ZAID KAMA MUDDY AKIKASHIFIWA KULIKO HATA MUNGU... Ina maana kwao muddy yuko juu ya Mungu? Mimi nilifikiri wangekuwa wanafura zaidi kama Mungu ndo amekashifiwa kama nyumba zake za ibada kufundishiwa kareti..hata hapa mwenge wapo nawaona na kila siku wanapigana kuteka msikiti, lakini wakisikia muvi kuhusu muddy mwingne hata hajaiona anaanza kugeuka rangi.Ndugu yangu,nani kakwambia waislamu wanamuabudu Muhammad?Muhammad ni mjumbe wa Mwenyezi Mungu kama alivyo Adam,Nuhu,Yesu,Ibrahim na wengineo.Pia hana hizo sifa za ubakaji unazodai,kuhusu kuoa wake tisa huo si ubakaji kuna hekima ndani yake,pia kwa mujibu wa uislam kama binti akivunja ungo na hakuna kinachomzuia kuolewa basi aolewe.Waislamu wanamuabudu Mungu mmoja tu ambaye hakuzaa wala hakuzaliwa,hana anachofanana nacho katika ulimwengu huu na wala hana mshirika katika Uungu wake,ufalme wake wala katika Kuabudiwa.Kuhusu elimu waislamu tumeambiwa tusome kwa jina la Mola wetu aliyetuumba na Uislamu haubagui elimu na elimu ni zaidi ya kukaa darasani!
Wewe Wahabi unawajua ?
.....................hapo ndipo mnapojichanganya nyie watu na inasababisha niamini kuwa kuna watu wana akili nyingi kuliko huyo Mungu wenu mnaemuamini. Waislamu wa madhehebu mengine mnadai kuwa Muddy Guy ndo last MeSsENGEr, at the same time waislamu wa dhehebu la Ahmmadiyah wanasema kuwa last messenger ni Sayyidina Muhammad na hao kwao huyo Muddy si kitu zaidi ya huyo Sayyidina Muhammad................hapo imekaaje kaaje tena au Muddy baadae alifufuka akawa Sayyidina Muhammad?......................ebu kaeni chini kwanza mtunge vizuri uongo wenu..............." Enyi mlioamini (Waislaam !) Mcheni Mwenyezi Mungu, na muaminini Mtume wake. Qur'an: 57: 28. Waislaam hatuabudu mtu, wala kitu ! Mtume tunamuamini akawa ni 'the last Messenger with the last Revelation.
.....................hapo ndipo mnapojichanganya nyie watu na inasababisha niamini kuwa kuna watu wana akili nyingi kuliko huyo Mungu wenu mnaemuamini. Waislamu wa madhehebu mengine mnadai kuwa Muddy Guy ndo last MeSsENGEr, at the same time waislamu wa dhehebu la Ahmmadiyah wanasema kuwa last messenger ni Sayyidina Muhammad na hao kwao huyo Muddy si kitu zaidi ya huyo Sayyidina Muhammad................hapo imekaaje kaaje tena au Muddy baadae alifufuka akawa Sayyidina Muhammad?......................ebu kaeni chini kwanza mtunge vizuri uongo wenu.
Mimi namshangaa Muft na BAKWATA yake! inamaana hakuna njia nyingine na ujanja wowote wa kumthibiti huyu anayejiita Shekh Ponda?Tumesikia kauli ya mufti nanukuu, (maneno yote hapa ni ya Mufti si yangu):
Nawatahadharisha Waislamu wote nchini kwamba Ponda Issa Ponda si mwanazuoni, si Sheikh, hakusoma elimu ya msingi ya kidunia wala ya kidini, hata Quran hajui kusoma. Anajaribu kuwatumia Waislamu kwa manufaa yake binafsi. Hatujawahi kushuhudia kutoka Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu Tanzania jambo lolote la maendeleo zaidi ya ghasia za maandamano, kupora misikiti na kudandia matukio na kuwachangisha Waislamu fedha, mwishoni mwa maandamano hayo huishia kuwatapeli waumini fedha zao ambazo huishia mifukoni mwa Ponda na wenzake.
"Ni kigenge cha watu wachache wenye kufuata madhehebu ya Mawahabi ambao kwa mujibu wa itikadi yao wanaamini kwamba Muislamu yeyote asiyefuata itikadi yao basi huyo siyo Muislamu na hafai kuwa kiongozi kwa ngazi yoyote ile"
"Vurugu, chokochoko na ghasia za uvamizi hazikuanzia Bakwata, wamekuwa wakifanya hivyo sehemu mbalimbali mikoani kwa kuvamia na kuteka misikiti na kuwaondoa viongozi waliochaguliwa kihalali kwa nguvu na udhalilishaji mkubwa na hatimaye kupora na kuhodhi rasilimali za misikiti hiyo."
"Wamekuwa wakiendesha mafunzo ya karate kwenye misikiti hiyo waliyoiteka na kuikalia kimabavu ili waweze kuendeleza dhuluma yao ya uporaji wa Misikiti na vituo vingine vya Kiislamu."
Ni vitendo vinavyokiuka maadili ya Uislamu. Kwa sababu hiyo nawaonya na kuwatahadharisha Waislamu wa madhehebu yote kuepuka vitendo vya uvunjaji wa sheria unaofanywa na kikundi hiki cha watu wachache.
Source: Mwananchi 21.09.2012
Mimi najaribu kutafuta ukweli katika haya anayosema mufti. Naombeni wanaofahamu vizuri CV ya Ponda watuwekee hapa.
..........................mnaruka ruka mara huku mara kule wakati ishu ni ndogo sana kwenye hii thread, kinachotakiwa hapa ni CV ya Pondwa tu na sio longo longo ndeeeefu. Kama hakuna aliyekuwa nayo nadhani huu mjadala utakuwa umefikia tamati na mtoa mada atakuwa kashapata jibu kuwa hakuna mwenye hiyo CV pia vile vile kwenye ule mpambano wa Mufti Vs Pondwa matokeo ni kwamba Mufti kakomba pointi zote tatu kwamba Pondwa hana ilmu dunia wala akhera na hajui kusoma wala kuandika..............." Enyi mlioamini (Waislaam !) Mcheni Mwenyezi Mungu, na muaminini Mtume wake. Qur'an: 57: 28. Waislaam hatuabudu mtu, wala kitu ! Mtume tunamuamini akawa ni 'the last Messenger with the last Revelation.
Imeulizwa CV ya Sheikh Ponda mpaka sasa imefika post ya #70 hakuna jibu huu ni udhaifu wa hali ya juu kiongozi wako wa dini hata CV hujui !.Ukimuuliza mkatoliki wa Dar CV ya Pengo au Askofu wa Same CV yake haitachukua dakika kumi unapata majibu.Nenda KKKT ukitaka CV zao maAskofu wa Dayosisi yoyote Tanzania utazipata mara moja nadhani ni suala la muundo wa taasisi ifike mahali taasisi za kiIslamu zibadilike ziende na wakati hii ni karne ya 21.
Ana elimu ya chuo.