Mkuu, kweli huku kwenye JF kuna Maboya sana, yaani hata unachondika hawajakuelewa! Waandikie Kikwere, ha ha haaa...!!!
dr fani yake kuongoza ibada tu! siasa anajishauwa!
Watu wengi hamuelewi mfumo wa kanisa katoliki, ni hv padri anakaa darasani kwa miaka 7 ambapo ndani yake hautasikia degree wala masters. Ambapo kwa hali ya kawaida kwa muda huo mtu ambae yupo kwenye university nyngne anaweza kuwa amemaliza masters.. Na mchangunuo wake upo hivi, baada ya kumaliza form six:
- miaka 3 philosophy; ambayo kwa hali ya kawaida ni degree hiyo, ila kutokana na mfumo wa kanisa wanaiita certificate. Baada ya hapo inafuata
- miaka 4 mingine ambayo husoma full specialization in THEOLOGY.... Na hapo ndio anaweza kuwa padri
-
Pamoja na hayo kutoka ka CHETI hadi PHD dokita wenu NOUMA!
Pamoja na hayo kutoka ka CHETI hadi PHD dokita wenu NOUMA!
Unadhani kila nchi ina bachelor degree? Ficha ujinga wako, au ndio elimu yako ni ya kata?
nimemaliza diploma yangu ya Computer Science Urusi nimesoma miaka Mitano, mwaka mmoja wa kusoma kirusi. Nilivyokuja Bongo TZ. TCU wakanipa Degree. Diploma ya Urusi ni sawa na Degree ya Tanzania.
siasa hazina fani mkuuu
Unless kama kichwa kimejaa matapishi, lakini thread unayoleta hapa ipo majukwaani kwa miaka sasa. Shughulisha ubongo wako, sio kumtumikia mume bila kufanya hata vetting ya analokutuma.
Pamoja na hayo kutoka ka CHETI hadi PHD dokita wenu NOUMA!