CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

Status
Not open for further replies.
Ritz tunaomba na CV yako basi maana unavyoargue sidhani kama hata darasa la saba ulimaliza!
Hakuna haja ya kutokwa na povu hii thread ni mpya JF kuna members wapya wanaitaji mijadala kama wewe ulijadili siku nyingi kaa pembeni waachie members wapya hii ndio maana ya forums...halafu nikukumbushe acha kulia lia JF sio mali ya Chadema.
 
Ritz tunaomba na CV yako basi maana unavyoargue sidhani kama hata darasa la saba ulimaliza!

CV yangu wewe ya nini kwani mimi mwanasiasa au nimekuambia nataka kugombea nafasi yeyote ya uongozi.

Mtu yeyote akiamua kutaka kuwaongoza wananchi lazima watu wahoji elimu yake.

CV ya Dr Slaa imekaa kidini zaidi hata mwenyewe amekiri.
 
Huyu ana udokta wa upadri wa kuchukua wake za watu baaaaac,padri muasi
 
Leo hii kamanda kwa hiyo unataka tuongozwe na vilaza hao uliowataja bahati mbaya siyo wanasiasa.
 
CV yangu wewe ya nini kwani mimi mwanasiasa au nimekuambia nataka kugombea nafasi yeyote ya uongozi.

Mtu yeyote akiamua kutaka kuwaongoza wananchi lazima watu wahoji elimu yake.

CV ya Dr Slaa imekaa kidini zaidi hata mwenyewe amekiri.

Mbona maandishinyako dhidi ya Dr wa ukweli yanathibitisha uanasiasa wako?
 
CV yangu wewe ya nini kwani mimi mwanasiasa au nimekuambia nataka kugombea nafasi yeyote ya uongozi.

Mtu yeyote akiamua kutaka kuwaongoza wananchi lazima watu wahoji elimu yake.

CV ya Dr Slaa imekaa kidini zaidi hata mwenyewe amekiri.

tofautisha elimu na CV

elimu yake ndo imekaa kidini kwani amesoma shule za seminari lakini CV yake sio ya kidini tu kwani amekuwa mbunge na

kiongozi wa chadema kwa takribani miaka 20.

mbona Bernard Membe kasoma Dungunyi seminari miaka sita na usiseme kwamba amekaa kidini zaidi
 
Kama Membe naye ana PhD ya Kanisa basi naye namuweka kapu moja na Dr Slaa.
 
Leo hii kamanda kwa hiyo unataka tuongozwe na vilaza hao uliowataja bahati mbaya siyo wanasiasa.
mkuu hao si vilaza kabisa. wako gifted.ni special personalities. bill gates gates ndo founder wa modern computer systems,windows operating systems, microsoft office packages na vinginevyo vingi.ni computer guru.bila kumsahau steve jobs mwannzilishi wa computer za apple,iphones, MAC OS, etc

kusema kwamba hawa jamaa ni vilaza inaonesha jinsi gani ambavyo we mwenyewe ndo kilaza.

kwenye list ya FORBES ya top 100 most powerful people in the world Bill Gates ni wa pili baada ya Barack Obama. na

Mark Zuckerberg Mwanzilishi wa Facebook ni mtu wa 34.

hawa ata degree hawana
 
Haha kumbe ni Ritz!kuna vi2 viwili about him 1)anaponda wakristu hata kama kuna ukweli
2)anti-chadema co kwa hoja but kwa kupandkiza mambo ya uongo.
Ona atakavyobisha
 
Babu hajatoa maelezo ya Advance diploma ya mwaka 1980 - 1981
 
Haha kumbe ni Ritz!kuna vi2 viwili about him 1)anaponda wakristu hata kama kuna ukweli
2)anti-chadema co kwa hoja but kwa kupandkiza mambo ya uongo.
Ona atakavyobisha

Mkuu wapi nimeponda ukuristo kamanda?
 
Babu kabla kufikiria kugombea tena urais au uongozi wowote bora arudi elimu ya watu wazima kuongeza elimu.
 
Ritz huna hoja. Hivi kwanini watu wa CCM mnapenda sana kuwaongelea viongozi wa Chadema kuliko viongozi wenu? Hivi Ritz unaweza ukatuhakikishia hapa jukwaani kuwa umesoma ilani za chama chako walau za chaguzi nne zilizopita na kutupa nini tofati yake? Unaweza ukaelezea jukwaa hili nini falsafa ya chama chako cha CCM? CCM tupeni ya kwenu achaneni na ya Chadema, Chadema wanahaki ya kuwasema CCM kwasababu serikali yenu inakusanya kodi zao pia.
 
mtoa maada anaonesha alivyo kilaza! ushaelekezwamala nyingii jinsi unavyoweza kupata phd huelewi, angalia cv ya prof mwandosya kama alisoma hiyo masters yako! ukiona hali kamahiyo ujue alikuwa extra geneous!

Tatizo la magamba wa lumumba wanabei,buku 7 itakuja watokea puani serukamba wakubwa nyie
 
CCM Ni wafa maji.
Ogopa sana mtu asiyejua kuogelea anaokuwa anazama.
Akikushika lazima afe na wewe.
 
Ritz badala ya kuleta uzi wa mwaka juzi ambao ushapatiwa ufumbuzi miaka mingi tu hebu tuwekee CV yko na sie tuijadili,Pia nikupe tu akiba ya maneno sie tunajadili masuala yanayoipiga nchi pamoja na Serikali yenu na kilaza wenu Kikwete kutokusikia vilio vya wananchi,kupigwa kwa watu n kuchomolewa kucha wakiwemo kina Dr Ulimboko,Kibanda,kuuliwa kwa Padri kule Zanzibar kumwagiwa tindikali Sheik na mwananchi mwngine huko huko Zanzibar wewe leo hii unaleta takataka hapa.Nisingependa kukuandikia hapa kama nilivyosema lakini nimeona nikuamshe maake umelala.
 
Mwl. Julius K. Nyerere alisoma 'Certificate' ya ualimu pale Makerere (hadi anaaga dunia Mwl. hakuwahi kuwa na BA), baadaye alielekea Edinburg na kuibuka na MA ya kwanza kwa WaTZ (Ingawa hatuelezwi mtu wa kwanza kupata MSc ni nani). Nini cha ajabu kwa Dr. Slaa kupata PhD bila LLB wala LLM? Kuruka shule ni dalili za kuwa kipanga!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…