Wasifu wa Dkt. Hussein Mwinyi utata mtupu!

Anonymous

Senior Member
Feb 3, 2006
125
321
HII CV INAJADILIWA KWENYE JUKWAA MOJA LA WASOMI. HEBU TUSHIRIKIANE NAO KIDOGO HAPA, IANGALIE KWA MAKINI

Name: Hussein Mwinyi
Surname: Mwinyi
First Names: Hussein Ali
Alternate Name
Title: Dr
Country of Birth : Tanzania
Positions
From To Organisation Position
2008 Ministry of Defence & National Services Minister of Defence & National Service
2006 2008 Vice-President's Office Minister of State for Union Affairs
2005 Kwahani Constituency MP for Kwahani
Date of Birth 23 Dec 1966
Political Affiliation CCM
eMail
Telephone
Address
Notes +255 744 279343 [ Retrieved on 19-07-06 ]

EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
-Hamersmith Hospital U.K/ Masters in Internal Medicine/-1993-1997 /MASTERS DEGREE
-Marmara University Turkey/ Doctor of Medicine/ 1985-1992 /CERTIFICATE
-Tambaza High School/ A-Level Education /1982-1984/ HIGH SCHOOL
-Azania Secondary Schoo/l O-Level Education/ 1981-1982 /SECONDARY
-Manor House Primary School/ Primary Education /1978-1981 /PRIMARY
-Oysterbay Primary School/ Primary Education/ 1974-1978 /PRIMARY

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Vice-President's Office - Union Affairs Minister 2006
Ministry of Health Deputy Minister 2000 2005
Hubert Kairuki Memorial University Lecturer in Medicine 1998 1998
Ministry of Health Specialist Doctor 1997 1997
Ministry of Health Doctor 1993 1993

****

POINTS TO NOTE!
1991-1992-Intern (Marmar university Turkey )
1993-1993- Doctor MMC
1994-1995- Registrar MMC

1991-1997-Masters UK

1) Kwani tofauti kati ya doctor na registrar ni nini?
2) Huyu mtu alisomaje masters tena Clinical: redface: huku anafanya intern Turkey? Tena wakati huo huo akiwa Doctor and registrar Muhimbili? Wakati huohuo akiwa anafanya masters UK?

MH. Dr. Mwinyi, ufafanuzi wako ni muhimu sana katika hili suala la sivyo tutaanza ku'doubt hizi elimu zako!

Nawasilisha

Mwinyi.PNG
 
Kwa kweli mkuu unaibua mazito duh balaa wacha wataalamu waje na hoja!!

Bungeni ni kijiwe cha kutishia na kudanganyia watu kwamba wewe umesoma. Ukisoma CV za kila mmoja utagundua kwamba bunge letu limekubali kutumiwa na mafisadi wa elimu, kila mmoja anajinafasi kwa vile anavyoweza.
 
Nasikia ali 'disco' Muhimbili (enzi zile ikiwa chini ya UDSM) na ndipo akakimbilia Uturuki. Inaonesha wakati alikuwa anasoma Masters (sijui alikuwa anasoma MRCP???), wakati huo alikuwa anasoma PhD na wakati huo huo alikuwa ameajiriwa kama registrar hapo Muhimbili!!!

School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
EDUCATIONS
Hammersmith Hospital, London, UKMasters (Medicine)19911997MASTERS DEGREE
Marmara University Medical School, Istanbul TurkeyDoctor of Medicine19851991CERTIFICATE
Tambaza High SchoolA-Level Education19841985HIGH SCHOOL
Azania Secondary SchoolO-Level Education19821984SECONDARY
Manor House Junior School, Cairo, EgyptPrimary Education19771981PRIMARY
Oysterbay Primary SchoolPrimary Education19721976PRIMARY
Hammersmith Hospital, London, UKPhD19941997PHD
Wengine wanadai hakufanya internship Tanzania, kitu ambacho ni lazima kwa daktari, mfamasia au nesi yeyote aliyesoma nje ya Tanzania kwamba ni lazima afanye internship hapa kwetu, chini ya uangalizi wa wataalamu wa kitanzania. Wengine wanadai alifanya Internship Muhimbili, lakini hakumaliza.

Company NamePositionFrom DateTo Date
EMPLOYMENT HISTORY
Hubert Kairuki Memorial UniversityLecturer19982000
Hubert Kairuki Memorial UniversitySpecialist Doctor19981999
Ministry of Health - Muhimbili HospitalRegistrar19941995
Ministry of Health - Muhimbili HospitalDoctor19931993
Marmara UniversityIntern19911992
Wasomi wa kitanzania bwana, utata mtupu!!!
 
Huyu jamaa ni kilazaa zaidi ya Dr. Mponda ngoja mtaona madudu yake kwenye hiyo wizara ya afya. Huyu akiwa wizara hiyo hiyo alishawahi toa kauli za kushangaza kuwafukuza Ma Dr nchini kwa kitendo cha kugoma.
 
Jamani mie ningependa siku nione cv ya ****** nione alivyounga unga mwana.
 
Huyu jamaa ni kilazaa zaidi ya Dr. Mponda ngoja mtaona madudu yake kwenye hiyo wizara ya afya.Huyu akiwa wizara hiyo hiyo alishawahi toa kauli za kushangaza kuwafukuza Ma Dr nchini kwa kitendo cha kugoma.

Hivi hii tabia ya kulipana fadhila kwenye haka kanchi kataisha lini. Hawa washauri wa baba Riz1 wanamshauri nini wakisikia mtu anaitwa dokta tu wao wanakurupuka kumpatia nafasi kwa elimu ya kuungaunga tu.
 
MIMI NINAVYOFAHAMU NI KWAMBA DKT. MWINYI AMESOMA COMPETENTLY NA NI QUALIFIED PHYSICIAN. Ama kuhusu hii CV sina uhakika ni nani kaichakachua. Kazi yake aliyokuwa akiifanya kabla ya kuanza siasa mwaka 2000 ilikuwa ni Mhadhiri, uhadhiri hauendani na uchakachuaji wa elimu
 
MIMI NINAVYOFAHAMU NI KWAMBA DKT MWINYI AMESOMA COMPETENTLY NA NI QUALIFIED PHYSICIAN. Ama kuhusu hii CV sina uhakika ni nani kaichakachua. Kazi yake aliyokuwa akiifanya kabla ya kuanza siasa mwaka 2000 ilikuwa ni Mhadhiri, uhadhiri hauendani na uchakachuaji wa elimu

- Sawa sawa mkuu, balanced na imetulia sana!, labda tuseme mapungufu yake kiuongozi lakini siamini kwamba elimu yake ina utata hata kidogo!


William.
 
Huyu jamaa ni kilazaa zaidi ya Dr. Mponda ngoja mtaona madudu yake kwenye hiyo wizara ya afya.Huyu akiwa wizara hiyo hiyo alishawahi toa kauli za kushangaza kuwafukuza Ma Dr nchini kwa kitendo cha kugoma.

Hivi siye mie niliesoma ktk gazeti la Mwananchi kuwa madaktari wamepongeza uteuzi wake au ilikuwa ndoto ya aladin na taa yake ya ajabu au?
 
MIMI NINAVYOFAHAMU NI KWAMBA DKT MWINYI AMESOMA COMPETENTLY NA NI QUALIFIED PHYSICIAN. Ama kuhusu hii CV sina uhakika ni nani kaichakachua. Kazi yake aliyokuwa akiifanya kabla ya kuanza siasa mwaka 2000 ilikuwa ni Mhadhiri, uhadhiri hauendani na uchakachuaji wa elimu

I am afraid kwa sasa tumepata hii version, kama iko nyingine inayomuonesha kuwa competent zaidi ni vema ikawekwa hapa vinginevyo profile ya mtu ndiyo hivyo inaingia mchanga.
 
2sicomment ki2 ambacho huna uhakika nacho,lazma yeye mwnyewe akiri km ni CV yake,c o 2nacomment tu busara inahitajika!
 
Back
Top Bottom