Kwani hujui ubovu wa hii nchi unahusiana sana na uislam..historia ya uongo imeandikwa kwa influence za uislam under cover la ujamaa na ukomunist...?N ahata UDSM upuuzi umejengwa juu ya uislam, na hata leo udini na ukabila na uharamu wa dini fulani kuwa na uwakilishi ktk vyama ni dhana ya kiislam?Kuwa chama cha kikristu, chama kisicho cha pwani kisahau nchi..pwani na uislam....ni kitu kimoja.Ucomunist na uislama unatumi aterm ukoloni kwa kuchanganya Ukristu na Ubepari......sasa zako zikutoshe wapi..Kwani Mkwawa na Kinjekitile majina yao ya kiislam yamefichwa ila waislam wapo nyuma yao kuwapraise....?
Haha..hukubahatika mjua huyu jamaa vyema ukiwa na akili ya uchambuzi.....nilimfuatilia siku nyingi sana enzi na enzi.......na miaka km 15 baadae nikapata muda wa kuongea naye mara nyingi bila yeye kujua kuwa nahakikisha tafsiri yangu kwakwe..na hata mwaka aliofariki nilikuwa nimeongea naye...alikuwa mbabaishaji km wengine tuu..na mshabiki mkubwa wa conspiracy theories.Kila kitu kwakwe ni conspiracy theorem...Political Science ni fani rahisi na iliyokuwa genralized sana ,na biased ktk conclusions
mkuu mrundi nini?mbona unachanganya wingi na umoja! "hii" ilitakiwa iende na"ya" na sio "za"
Atakuwa anapiga jalamba kuwania ubunge Kigoma mjini!
Zito atawasilisha lini ya kwake,naona kaandaa ya kibinafi na kubandika fb
worse PHD ni ya UDSM....matakataka yaleyale ya akina haroub othman.
Kaka Marehemu Prof Haroub Othman kanifundisha Development Studies au DS. Alikuwa ni mtu wa msimamo wa alichokiamini, had I anafariki
Dip (Ed) Marangu
BA (Ed) udsm
PGD (Law) udsm
MBA (Umea-sweden)
Phd (udsm)
duh..dr.fransis atajuta kuwa mwenyekiti wa kamati. watu watamchunguza mpaka na mahawara zake wote..hahaha hii ndio siasa za tanzania
Huyu jamaa ni mkongo, jina lake ni Kasavubu. Kuna wanafunzi wengi sana amefanya nao ngono ili waweze kufaulu. Mkihitaji uthibitisho tutaubandika hapa hapa jukwaani
NIkusamehe wewe unayepea CV za hao jamaa miskitini wakiwadanganya dhulma ya nchi....huko ndio kuwajibika na kujenga nchi, n auzalendo wa hao wehu..haroub othman angekuwepo leo angeropoka kuliko Lipumba,Shivji etc....HUjamuona kinaja wake wa kihaya waliofikia mapenzi ktk siasa za misikitini hasi ubara wake ukaondoka....leo kajamaa kanastruggle..eti nako kanaamini mnaweza fnaya mchakato wa kuungana ili mvunje nchi..si ingekuwa bora kutoaungana tuu na si kuungana?Sijui hajui kua anajiabisha kuonyesha kuwa hajui tofauti ya kuimarisha muungano na kulinda serikali mbili.....
eagle wing maana tunapata phd kwa kutandika vitanda vya gesti bubuwe ulisoma chuo gani?
labda akawanie ubunge kwa vilaza moshi marangu au machame
duh..dr.fransis atajuta kuwa mwenyekiti wa kamati. watu watamchunguza mpaka na mahawara zake wote..hahaha hii ndio siasa za tanzania
Kusoma sana kwa kukariri saana kuna kufanya kuwa 'kasuku' tuu, sio mwenye akili sana, na huyu bwana ni mfano hai. Hajui hata kusoma kwa ufasaha!:A S 13:Dip (Ed) Marangu
BA (Ed) udsm
PGD (Law) udsm
MBA (Umea-sweden)
Phd (udsm)
Ni Dr wa nini sasa ?????????????????