Dip (Ed) Marangu
BA (Ed) udsm
PGD (Law) udsm
MBA (Umea-sweden)
Phd (udsm)
Dip (Ed) Marangu
BA (Ed) udsm
PGD (Law) udsm
MBA (Umea-sweden)
Phd (udsm)
Kwa hiyo PGD ni lecturer; No wonder degree za c**&pi zitaikomesha TZ!!na sasa hivi.kashavuta mshiko subiri arudi chuo muone hizo nyodo...
Mbona unang'ng'ania article aliyopublish. Inaelekea haufahamu kama university ina functions nyingi zikiwemo na public outreach pamoja na kufundisha. Mbona huulizi consultancy alizofanya au evaluation ya ufundishaji wake. Kwani unafikiri hoja ya kupublish ina mashiko siku hizi? Au haujafahamu kwamba watu wanapata uprofersor na u senior lecturer kwa kulipia dollar 400 kwenye journals za nchi za nje. Dr francis hataki huo ujinga eti kwa hoja tu amepublish.
Mie namjua kwa jina la "Kasabubu" sijui kwa nini huwa halitumii hili jina?
Dip (Ed) Marangu
BA (Ed) udsm
PGD (Law) udsm
MBA (Umea-sweden)
Phd (udsm)
Naweka rekodi sawa; ni KASAVUBU, F. M. Hilo Kasavubu ndio jina lake hasa analojulikana kwalo huko nyumbani kwao.
Wewe mwehu sana...kuongelea dini ...si kuwa mdini au kukosa haki.Ni km kusema mgombea wa ubunge hana haki ya kupiga kura....au asiwe na diniGhagadema na siasa zenu za udini ... points zko zooote zinazunguka ktk udini ..mazafanta
Ila cho cha Tamthilia na mambo ya kubuni kina shida sana..hata hiyo sandwich haiwezi kuwa km za putin..sasa report za repoa ni za kupika, vitabu vinavyoandikwa km reference ni habari za kubuni....na leo wanaendelea kubuni.Alisoma sandwich programme. Ni bondia na pia mcheza basket ball.