worse PHD ni ya UDSM....matakataka yaleyale ya akina haroub othman.
worse PHD ni ya UDSM....matakataka yaleyale ya akina haroub othman.
Dip (Ed) Marangu
BA (Ed) udsm
PGD (Law) udsm
MBA (Umea-sweden)
Phd (udsm)
we ulisoma chuo gani?
Ukimkuta huyo Kasavubu kwenye "Industrial Relations and Labour Law" ana pozi na misifa utamkoma!!!!!
Huyu jamaa ni mkongo, jina lake ni Kasavubu. Kuna wanafunzi wengi sana amefanya nao ngono ili waweze kufaulu. Mkihitaji uthibitisho tutaubandika hapa hapa jukwaani
huyu alisomea darasani na anaheshimu alichosomea, sio kama akina mwakyembe anapingana na thiesis iliyompa u dr
ndio mfano bora wa propagandist...mfano bora wa mouth piece ya akina ghaddafi, siasa za middle east,wahubiri wa unyanyasaji na harakati za kiislam, mabingwa wa kugeuza matukio y akigaidi ya kiislama ktk hii nchi kuwa y akihalifu au watu wasiojulikana.Mabingwa wa kupigana vita ya kidini kw akisingizio cha ukoloni,ubepari etc. Huyo boya kwa kutojielewa na kuwalewa matakataka mengine waliopewa sifa nyingi km JK kablaya kuchaguliwa n akupewa sifa y amatumaini ya watanzania ili kuhsinikiza fikra za watu kumchagua..Km Kinana na uovu wake kupigia upatu kuwa bingwa wa siasa za nchi, sijui kiungo kizuri cha CCM ..huku sasa hivi anafuel CCM kufanya kazi za wanaharakati. Anachofanya huyu boya ni ushetani wa UDSM kutumika....ili wapandishwe umaarufu haraka ktk matukio,midahalo na upuuzi mwingine ili aanze itwa gwiji..haroub othman amefanyaje hapa? muda mwingine kama hujisikii kuongea ni bora kunyamaza
Kumbe unamjua! !!!!!!
Na mambao mengine yanayotokana na huyo supervisor....ila nia, kusimama school of thoughts,na kuheshimu kazi ni vitu vinavyoweza geuza msomi kuwa storage of data zaidi ya kuwa na braina yenye analytical power,ethics, na other inner values..zina mshape binadamu na kumfanya afanye right and responsible choice in every stage of decision and choices...ndio maana akili yake haikumsaidia sana kujua nini anakitetea na kwa faida gani, na kinachotakiwa kuwa cha nani,na mapana ya ya hasara ya maamuzi yake.PhD mkuu ni kazi binafsi na supervisor na access ya material kuliko ulipo!!!!
Na mambao mengine yanayotokana na huyo supervisor....ila nia, kusimama school of thoughts,na kuheshimu kazi ni vitu vinavyoweza geuza msomi kuwa storage of data zaidi ya kuwa na braina yenye analytical power,ethics, na other inner values..zina mshape binadamu na kumfanya afanye right and responsible choice in every stage of decision and choices...ndio maana akili yake haikumsaidia sana kujua nini anakitetea na kwa faida gani, na kinachotakiwa kuwa cha nani,na mapana ya ya hasara ya maamuzi yake.