uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,324
- 2,090
Hapo ndipo anaposhindaga TL kamheshimu in terms of age na utangulizi kwenye fani ya sheria lakini kwenye hoja alikalishwa mpaka anataka kupiganaTL mwenyewe alichachawa na kila wakati akimwita a very senior lawyer in Tanzania which means TL na misifasifa yake yote anakubali ni jr kwa mh Masilingi.
Angle zipi hizo?? Unalinganisha kichwa na Nazi??Masilingi hakupwaya hata kidogo. Ila zipo hoja ambazo hata ungemuweka Lissu kwenye upande wa balozi angepwaya sababu hazina majibu hadi leo. Kama waziri wa mambo ya ndani hana straight answer vipi balozi? Masilingi ni super genius na bingwa wa sheria, pia uzoefu wake ulimsaidia kumtoa Lissu kwenye angle flani ambazo wengi najua hamkuweza kusoma. Rudieni mahojiano yote muone mjadala uliegemea wapi na kwanini! Yule mzee yuko vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanataka takwimu tu ...mengine mbwembwe tuUnaishi ulimwengu upi?
Balozi ni kilaza hajielewi kabsaAngalia na saikolojia yake Kuna watu huwa sio waongeaji hivyo akikutana na muongeaji lzm apigwe chini hii hali ipo kimakundi fatilia sayansi ya saikolojia huyo balozi mnamuonea bure tu hawezi kushindana na lisu hasa kama hana taarifa za kutosha juu ya tukio la lisu
angetumbua macho uyo
Nilicheka sana ile interview. Eti lissu wewe ni mdogo angu, lissu alichomjibu aibu niliona mimi
Ifike mahali watu wamuache lissu kutafuta kuumbuka tu
".....mtangazaji na mgeni mwalikwa wote wako dhidi yako...", umetumia akili nyingi kuliona hilo. Shaka mpaka sasa Uganda huingia kwa kunyemelea kutokana na propaganda zake dhidi ya Afrika kupitia VoA. Msilingi alijikuta katikati ya vibaraka wawili wa mabeberu na shahidi(kiranja)mmoja.Wengi wameshindwa kuwa na moyo aliokuwa nao Masilingi. Kwenda kubishana na Lissu kwenye chombo cha habari cha kimataifa, tena ughaibuni, kwa lugha ya kingereza, mtangazaji na mgeni mwalikwa mwenzio wote wako dhidi yako. Yataka moyo
Lissu angekuwa peke yake kwenye mdahalo ingekuwa fursa ya kufunguka anavyotaka lakini uwepo wa Masilingi umefanya mjadala uegemee kwenye counter attack za Masilingi na mwisho ile impact imekuwa diluted to satisfactory level. Shortly swala limebaki na utata ule ule hadi Polisi watapotoa taarifa yao baada ya uchaguzi.Wanajua ukweli kwamba Lissu alibanwa ndio mana haja trend kama alivyokua akiongea peke yake kule BBC
Ushirikiano upi?mlishindwa kwenda kumhoji Hapo Nairobi,mmeshindwa kutumia INTERPOL kumhoji huko Brussels,mligoma vyombo vya kigeni kuja kuchunguza wkt kipindi kile cha JK Serikali ilikubali FBI waje nchini kwny lile sakata kule Zanzibar(au ulikua bado mdogo hujui hata kilichokua kinaendelea)?
Hahah kama CCTV tu mizinguo ije kua simu ya dereva wa lissu?empty brain.
Sent from my iPhone using JamiiForums
hahahahhahahahahahahah we jamaaa umeuasasa alienda kufanya nini si angeenda MUSIBA?
Msiba saizi yake ya kufanya mijadala ni watu kama Lusinde, Musukuma, Kesy, na wengine wa namna hiyo.
😂😂😂😂😂 Lissu ile kichwa ni automatic ndio maana jk alisema Bora Dr silaha awe Rais kuliko Lissu kwenda Bungeni!Nilicheka sana ile interview. Eti lissu wewe ni mdogo angu, lissu alichomjibu aibu niliona mimi
Ifike mahali watu wamuache lissu kutafuta kuumbuka tu
Yale macho yake ni sawa na bulb ya kitungu yenye 260W !angetumbua macho uyo