ua kuwa huyo balozi ni wale vichwa Nyerere alituachia katika dakika zake za mwisho wa uongozi wake. Inasemekana alikuwa mmoja wa mahakimu vijana waliotingisha enzi hizo kwa kutia hatiani vigogo wahalifu walikuo na uwezo wakununua maisha yako.
Kama ana CV hiyo, basi hakupaswa kukubali kwenda kutetea ujinga..........
Hapa basi kuna Masilingi wawili, wa Nyerere na wa JPM...........
Ni kweli kabisa, waliojaa humu JF mambo ya awamu ya kwanza na ya pili hawawezi kuyafahamu kwa undani.Wanao ulizia wanaishi dunia ipi zaidi ya dotcom? Watafute kesi na hukumu za huyu mheshimiwa zilivyokuwa vigongo.
VoA waliona wasisikilze upande mmoja.
CCTv inasubiria wahanga wstoe ushirikiana sio kukimbilia ughaibuni. Ndg wa Dewji wslitoa ushirikiano na majibu chanya yakapatikana.
TL atuambie katika utafiti wake alioufanya na kuaminisha watu amejua simu ya dereva wake iko wapi?
Alipwaya pakubwa sana na nitakuonyesha kaeneo kadogo tu, pale alipoulizwa kuwa nchini Tanzania kuna subjects au citizens? Mbona hakujibu badala yake alijumauma! Angle nyingine ni pale anapoitetea mahakama kumnyima mtu dhamana kww makosa yanayodhaminika licha ya kuwa yeye ni mwanasheria. Kiukweli hakuwa size ya Lissu na kiuhalisia wanaowatuma wanaichora nchi ni bora wakubali na kuomba po!
Ongeza na hili:
Alibisha sana juu ya hoja aidha Freeman Mbowe na Esther Matiko kuwa "there are in prison because of sedition offenses"
Yeye bwana yule pasipo hata kufikiria akasema "they are not in prison........"
Mtangazaji akam - interrupt kwa kumshona swali muunganisho...
"So, you mean, they are free, Mr Ambassador?"
Mr Mashilingi akajibu:
"No, they are in rumanπππππ!!"
Kule kwenye mahojiano ya Kiswahili, nadhani kungekuwa na muda wa kutosha zingeweza kupigwa ndani ya studio!!
Ilifika mahali Tundu Lissu akamuwakia Masilingi kwa kutetea ujinga wa kung'ang'ania eti aende nyumbani akahojiwe hata kuuliza uanasheria wa Mashilingi:
"Wewe ni mwanasheria wa wapi balozi usiye jua kuwa ipo sheria ya mtu yeyote kuhojiwa po pote ?
Kwa kifupi TL yuko very smart. Huwa wanajaribu kumwingiza kwenye 18 zao, lakini anaukwepa mtego huo na hivyo kubaki wanaelea hewani!!
Wanajua ukweli kwamba Lissu alibanwa ndio mana haja trend kama alivyokua akiongea peke yake kule BBCMasilingi hakupwaya hata kidogo. Ila zipo hoja ambazo hata ungemuweka Lissu kwenye upande wa balozi angepwaya sababu hazina majibu hadi leo. Kama waziri wa mambo ya ndani hana straight answer vipi balozi? Masilingi ni super genius na bingwa wa sheria, pia uzoefu wake ulimsaidia kumtoa Lissu kwenye angle flani ambazo wengi najua hamkuweza kusoma. Rudieni mahojiano yote muone mjadala uliegemea wapi na kwanini! Yule mzee yuko vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu kashapagawa akili si nzuri,ujinga ule ule wa wabongo wengi bora tukose wote.Nilicheka sana ile interview. Eti lissu wewe ni mdogo angu, lissu alichomjibu aibu niliona mimi
Ifike mahali watu wamuache lissu kutafuta kuumbuka tu
Hii issue ya Lissu iko Uchi sana........Hahah na kuna watu wanakwambia huyo balozi ni mwanasheria Genius kwa hapa Tz.
Ilikuwa ni tafrani...Kama tupo kariakoo.ππMbaya zaidi kwenye hii interview ya pili, hata kufuata taratibu ndogo tu za midahalo ya kistaarabu hakuweza.
Ahahaaa...! Kabisaaa. Kawaida ni kazi ngumu sana kuutetea uongo.Binafsi Nampongeza Balozi, si kazi ndogo mchana kweupe kutetea rangi nyeusi,kuwa ni nyeupe.
Sent using Jamii Forums mobile app
kumtoa lissu ni pale alipokuwa anamtattack kabla lissu hajamaliza kuongea, ni kama vile bungeni mpinzani anapoongea pale pale utasikia ccm, taarifa, kwa kweli wanapoteza kila kilichokuwa kinataka kuzungumzwa, lakini mie kwa Masilingi sijaona kabisa, alikuwa ana wahka wanavyosema wazanzibar, tulia mwenzako akimaliza na wewe ingia rumbani, sio mwenzako anaeleza wewe usharukia, pale sikupenda na inaonekana kabisa Masilingi alipaniki, nilifatilia hata kwa shaka ssali, aliulizwa swali 1 tu lakini masilingi akalijibu akiwa amesawajika na hakujibu swali, tafuta clip msikie shaka ssali alipomuuliza kuwa in TZ there is no citizen but subject, can you explainMasilingi hakupwaya hata kidogo. Ila zipo hoja ambazo hata ungemuweka Lissu kwenye upande wa balozi angepwaya sababu hazina majibu hadi leo. Kama waziri wa mambo ya ndani hana straight answer vipi balozi? Masilingi ni super genius na bingwa wa sheria, pia uzoefu wake ulimsaidia kumtoa Lissu kwenye angle flani ambazo wengi najua hamkuweza kusoma. Rudieni mahojiano yote muone mjadala uliegemea wapi na kwanini! Yule mzee yuko vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi Musiba yupo sijamsikia kitambosasa alienda kufanya nini si angeenda MUSIBA?
hahaha huwa anasema .mm co msemaji wa ccm wala serikali ni mwanachama wa kawaida tu na nimwanaharakati na mzalendo ! najiuliza mzalendo akiamua kuwa kama musiba itakuwaje?
hahahahaha
self restrain but be in control....
Lissu noma ilimjaza Balozi kwenye nyavu Nisawa mtu akutuhumu kumuibia machungwa 10 kisha ukanushe na kusema sijaiba machungwa kumi nimeiba matatu tuOngeza na hili:
Alibisha sana juu ya hoja aidha Freeman Mbowe na Esther Matiko kuwa "there are in prison because of sedition offenses"
Yeye bwana yule pasipo hata kufikiria akasema "they are not in prison........"
Mtangazaji akam - interrupt kwa kumshona swali muunganisho...
"So, you mean, they are free, Mr Ambassador?"
Mr Mashilingi akajibu:
"No, they are in rumanπππππ!!"
Kule kwenye mahojiano ya Kiswahili, nadhani kungekuwa na muda wa kutosha zingeweza kupigwa ndani ya studio!!
Ilifika mahali Tundu Lissu akamuwakia Masilingi kwa kutetea ujinga wa kung'ang'ania eti aende nyumbani akahojiwe hata kuuliza uanasheria wa Mashilingi:
"Wewe ni mwanasheria wa wapi balozi usiye jua kuwa ipo sheria ya mtu yeyote kuhojiwa po pote ?
Kwa kifupi TL yuko very smart. Huwa wanajaribu kumwingiza kwenye 18 zao, lakini anaukwepa mtego huo na hivyo kubaki wanaelea hewani!!