CV ya Albert Msando

kutokujua siasa kweli kazi ZZK kushinda sio kitu chaajabu ile wala sio kesi ndio maana Lissu akaipotezea haikua kesi ya kumuumiza Lissu kichwa, sanasana Albert yuko after money kashalamba zake dume kwa zzk huku kisogoni akimzomea, hakuna namna ya zzk kashakubali yeye ni mbunge wa mahakama nini tena cdm watake kwake?
 
Mkuu pole sana kwa kuwa kipofu na kutofahamu si tatizo lako inategemea umesoma wapi maake shule za kata zinazalisha mambo sana siku hizi,hivi wewe na akili zako ile nayo ni kesi hadi uanze kushangilia sasa kesi ya msingi ikifika na Zitto kushindwa utamuweka wapi Msando hebu acha mambo ya kitoto fuatilia nani zaidi ya Lissu na Msando na historia zao then uje tena hapa jamvini.
 
Vp umeporwa mkee? kama umeporwa mke si uende mahakamani, nadhan tatizo lako ni elim duni uliyonayo ndo maana unapost vitu ambavyo hata mwanangu wa kidato cha 3 hawezi post.
 
Ukijua maana "temporary injunction" utaacha kuanzisha mada za kitoto! Tafuta mtu akusaidie kusoma Order XXXVII Rule 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…