baada ya kesi iliyokuwa ikileta sekeseke jijini hapa na hata mikoani kati ya mwanademokrasia wa kweli zitto zuberi kabwe kwa upande mmoja, na viongozi wa cdm wahafidhina kwa upande mwingine, kutolewa maamuzi huku haki ikiendelea kutendeka na kutawala;
tafadhari mwenye cv ya mwanasheria machachari mwenye upeo na weledi wa juu wa sheria albert msando naombeni aiweke hapa jamvini ili sisi wahanga wa kuonewa na kunyanyaswa na wahafidhina, mafisadi wanyanyasaji na waporaji wake za watu tuweze kujua msando gwiji jipya mjini hapa weledi wake kaupata vipi ili aendelee kusimamia kesi zetu.
Nb: Kama wewe uko unatoka povu baada ya kunywa mbege na viroba huku ukishushia gongo, huu uzi haukuhusu!!!!!!
Unawahusu tu wale wenye kiu ya demokrasia ya kweli ndani na nje ya cdm.
Haki itainua taifa.
na wewe ni sawa na nini? Kopo la chooni! Usipende sana kujudge watu na profession zao kirahisi hivyo. Huwezi lingana na uwezo wa Lissu kwenye medani ya sheria wewe na ukoo wako wote! Na waonyesha jinsi ubongo wako ulivyo mtupu! Huyo Msando wako cha mtoto tu kwa Lissu hata presida wako analitambua hilo ndo maana akamkandia ili naye aonekane wamo! Mbona aliyokuwa anayapigania ndo yanayotekelezwa sasa kwenye maandalizi ya bunge la katiba lijalo? Jitambue wewe shabiki usiye na timu!?
wa kujiandaa kisaikolojia ni yule mwenye nacho(ccm) linapokuja suala la kuloose manake hajui kutawaliwa na kuongozwa.
Na mwenye anguko ni ccm kwani safari hii hakuna kuibiwa. Wasijidanganye kwani mwisho wa uongo na wizi wao upo maungoni mwao unawawasha.!
BABA NI BABA TU, hawezi kuwa mwana. CCM BADO NI CHAMA BORA NA TUNA UHAKIKA WA USHINDI WA KISHINDO 2015. No doubt. Nyie ni debe tupu, hamuishi kuvuma
Walikuwa wanahonga majaji lakini zitto anawajua kuwa wanatabia ya kuhonga majaji kawabana.Lissu kesi zote za uchaguzi za wabunge wa chadema walizoshinda zilisimamiwa na lissu
Ni upuuzi kuona zuio la zzk kufanikiwa ndio kigezo cha kuona etu lissu hajui
Kwa sasa Lissu ni sawa na DEBE tupu
Walikuwa wanahonga majaji lakini zitto anawajua kuwa wanatabia ya kuhonga majaji kawabana.
ni upuuzi kujadiri CV ya kilaza kama Msando!
WACHANA na fikra tasa,huna uchungu na nchi yako,huyo baba ametufikisha wapi mpaka sasa?Bei za vitu zinazidi kupanda,achilia mbali ww mwenye uwezo wa kupata mkate wa kila siku,Je,Mwananchi wa kawaida asiyeweza kuafford mnansaidia vipi kama BABA wa Nchi?? CCM inaendelea kuwakandamiza wanyongee,...Wake up to reality!!!
Walikuwa wanahonga majaji lakini zitto anawajua kuwa wanatabia ya kuhonga majaji kawabana.
Jamani naomba chadema mjiandae kisaikolojia,anguko lenu linakuja
khaaa misukule ya mbowe sijui leo haijapewa unga haielewi kabisa...mtu anataka cv ya professional Albert Msando mnaleta porojo za TOBO LISSU NA MZINZI SLA
Zitto chaguo la umma...mbowe chaguo la mtei
Kwa sasa Lissu ni sawa na DEBE tupu