Kwa sasa Lissu ni sawa na DEBE tupu
Lissu kesi zote za uchaguzi za wabunge wa chadema walizoshinda zilisimamiwa na lissu
Ni upuuzi kuona zuio la zzk kufanikiwa ndio kigezo cha kuona etu lissu hajui
Baada ya kesi iliyokuwa ikileta sekeseke jijini hapa na hata mikoani kati ya Mwanademokrasia wa kweli Zitto Zuberi Kabwe kwa upande mmoja, na viongozi wa CDM wahafidhina kwa upande mwingine, kutolewa maamuzi huku haki ikiendelea kutendeka na kutawala;
Tafadhari mwenye cv ya mwanasheria machachari mwenye upeo na weledi wa juu wa sheria Albert Msando naombeni aiweke hapa jamvini ili sisi wahanga wa kuonewa na kunyanyaswa na wahafidhina, mafisadi wanyanyasaji na waporaji wake za watu tuweze kujua Msando Gwiji jipya mjini hapa weledi wake kaupata vipi ili aendelee kusimamia kesi zetu.
NB: Kama wewe uko unatoka povu baada ya kunywa mbege na viroba huku ukishushia gongo, huu uzi haukuhusu!!!!!!
Unawahusu tu wale wenye kiu ya demokrasia ya kweli ndani na nje ya CDM.
HAKI ITAINUA TAIFA.

Dogo nani kakudanganya kwamba mwenye Credit hapo ni Albert Msando? Mwenye Credit hapo ni CCM! Hata kama jiwe lingekuwa wakili, lingeshinda! The Judiciary of Tanzania is not yet independent! NOT YET UHURU!!!!
Jamani naomba chadema mjiandae kisaikolojia,anguko lenu linakuja
Bandugu leteni CV hiyo adebayor adedeje anaisubili!
Dogo nani kakudanganya kwamba mwenye Credit hapo ni Albert Msando? Mwenye Credit hapo ni CCM! Hata kama jiwe lingekuwa wakili, lingeshinda! The Judiciary of Tanzania is not yet independent! NOT YET UHURU!!!!
Mwanzoni niliamini CDM inaweza kuwa mbadala wa CCM ila kwa sasa sioni mbadala wake zaidi ya giza totoro la kisiasa.
Natangaza rasmi kuhama CDM leo tar 7/1/14 pia nitaipigia kura ya ndio CCM uchaguzi ujao 2015.
ehe mungu nisaidie!!