CUTE piga jalamba.

umeona mama,mwenyewe nshakufa nkazikwa kwake bt ye ndo hajiamini!

Hili swala linahitaji mjadala wa zaidi, itabidi kuwa na kikao cha dharura ft. Mama Mkwe na mshenga.
BTW: Uamuzi wangu bado haujabadilika wanajamvi.
 
bora tukae kikao make mambo ni mabaya! haya lin na wapi my mupenzi?
 
Naitosha Kikao cha dharura kesho, wote muhudhurie na mshenga awepo. Babu @ Bishanga asikozekane

asante mama,nitawah b4 wote. ndo mana nakupendaga. dedication. mama mama mama uwezo wa kukulipa cna. by naniliiî
 
Hujajibu la kumtaka mdogo wake Yang Masta, ukasema uko radhi kunitaliki...

Hawezi kukutaliki Mkwe! Mie mama nishakupa binti, mwanangu kwako hasikii la mtu na sie wazazi tumeridhia, alikuwa anatania Mkwe! Umesahau tena???
 
my lavu nilikuwa namtania, ndo mana hata ckuendelea kumtafta. uwiii niitieni ambulance presha inapanda! mamamaaa!
 
Hawezi kukutaliki Mkwe! Mie mama nishakupa binti, mwanangu kwako hasikii la mtu na sie wazazi tumeridhia, alikuwa anatania Mkwe! Umesahau tena???

umeona mama me mtu wa utan,cjui mkweo kanisahau?
 
Hawezi kukutaliki Mkwe! Mie mama nishakupa binti, mwanangu kwako hasikii la mtu na sie wazazi tumeridhia, alikuwa anatania Mkwe! Umesahau tena???

Mkwe usiusemee moyo, utani gani post zaidi ya 4? Au mpaka nipaste hapa...
 
huenda post ilijipost 4times,bt me nlipost 1 tu. mh ICU INANUKIA . . .
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…