Customer complain

Nalonga

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
225
53
JANA NILIENDA KUMTEMBELEA RAFIKI YANGU MMOJA ANAEFANYA KAZI KAMA MAKETINGI MENEJA KATIKA KIWANDA CHA KUTENGENEZA KONDOMU,NILIPOFIKA KWAKE NILIKUTA NYUMBA YAKE IMEJAA WATOTO WACHANGA WAKILIALIA,NA MSHIKAJI NAJUA ALIKUWA NA MKE NA MTOTO MMOJA TU..SASA NLIPOMUULIZA VIPI MKUU KULIKONI,AKANIJIBU "HIZI ZOTE NI CUSTOMER COMPLAIN SI UNAJUA KAZI ZETU HIZI"KWA KWELI NILIBAKI DUH! KAZI NYINGINE BWANA,SASA CJUI CUSTOMER COMPLAIN ZA DADA POA ITAKUWAJE?:lol:
 
Katika bussines customer complain ni opportunity kwani feedback(mlisho nyuma) wa soko, ukiweza tu kuzitatua basi utafanya biashara
 
He who has no the spirit of this age, has all the misery of it. Customer complaint is part of business after sale services.
 
Ingawa Mshikaji hajaniambia wale infants wanahusiana vipi na hizo customer complian,na alikuwa yupo desperate hivyo ckumuuliza zaidi,lakini nadhani Ndom zilikuwa zinapasuka ktk game hivyo thoz infants ni wasiotarajiwa so jamaaa badala ya kuabort imebidi warudishe feedbak kwa wahusika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom