mimi hua siwakwepeshi nawapa hapo hapo..! pumbavu kwakweli hua sina mda wa kumkwepesha mtu..! hua mimi ni mtu mzuri sana na considerate ila kwa mambo ya mtindo huu kwakweli ni hapo hapo tu..!
Yalinikuta ya hivyo nlipoingia katika moja ya ofisi za vodacom pale jengo ppf siku moja nikiwa mwanza! mmoja wao alipigiwa simu na mtu halafu akaamua kuizungusha ofisi nzima:
"chukua simu uongee na nanii!! akapewa simu yule dada kabla hata hajanisikiliza, akaanza, sijui fulani huyu(sikumbuki jina lililotajwa), eh mambo vipi? eeh kumbe umehamia dar?! utakuwa umependeza mwenyewe!!? wakapigiana simu, wakaongea waliyoongea huku mimi macho yamanitoka, walipomaliza ndo nikaambiwa, karibu kaka...
Ukiwaangalia unaona ni watu wazima, ila wanafanya mambo ya kitoto kabisa!
........... hii ni Hospitali ya Tumaini Upanga, inayoendeshwa na Umoja wa Madaktari Muhimbili. Wameishiwa dawa kama Amana ! Hovyooo kabisa ! Pharmacist anafurahia kukwambia dawa hakuna !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.