Customer care zetu hapa Tz ndivyo zilivyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Customer care zetu hapa Tz ndivyo zilivyo

Discussion in 'Jamii Photos' started by Shine, Jan 9, 2012.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  [​IMG]


  307735_236456579744979_100001419162673_657194_512116639_n.jpg
  Hii ndo hali halisi imenikuta leo nilipoingia chuo kimoja hapa Dar
   
 2. sister

  sister JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,029
  Likes Received: 3,940
  Trophy Points: 280
  ndo hvyo customer care ni zero kabisa, utadhani hyo huduma unaipata bure wakati unailipia.
   
 3. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  wana katabia kakujisikia wakati utakuta kazi yenyewe kaipata kwa kuvuliwa ch*pi
   
 4. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Naomba kwenda mbali zaidi,nadhani hii ni ya tigo.
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Customer care ya hivi, Mtambuzi hataki kuhudumiwa. Wakibaki watu 2 mbele yake anarudi nyumba watu 10, ilimradi view iruhusu
   
 6. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  matatizo ya kazi za vimemo hayo. "mwangalie huyu ni mtoto wa dada"
   
 7. Sanja

  Sanja JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  yaani hawa tigo basi tu, utapiga zaidi ya mara tatu simu inaita mpaka inakata yenyewe na 100 zao wanakata na huduma hawatoi.
   
 8. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  kila mtu anajiona mungu mtu wakati hata elimu hana....
   
 9. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kweli kabisa, customer care za Bongo, zinahitaji kwenda shule kwani ni sifuri kabisa. Concept ya kuwa mteja ni mfalme wao hawaifahamu kabisa
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hapo ndipo panaaribu mambo mengi haswaa!
   
 11. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  wauza nyago
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Halafu utasikia mtu anakuambia Tz itakuja kuendelea
   
 13. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Si bure ... atoe wapi kujiamini huko kwa kipuuzi ... kama naye hana "kastama kae wake" anayemlinda kazini?
   
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kitaje tu hcho chuo ndo wajifunze.wabongo tuache kuoneana haya kwenye mambo ya msingi
   
 15. driller

  driller JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mimi hua siwakwepeshi nawapa hapo hapo..! pumbavu kwakweli hua sina mda wa kumkwepesha mtu..! hua mimi ni mtu mzuri sana na considerate ila kwa mambo ya mtindo huu kwakweli ni hapo hapo tu..!
   
 16. Bob Lee Swagger

  Bob Lee Swagger JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Yalinikuta ya hivyo nlipoingia katika moja ya ofisi za vodacom pale jengo ppf siku moja nikiwa mwanza! mmoja wao alipigiwa simu na mtu halafu akaamua kuizungusha ofisi nzima:
  "chukua simu uongee na nanii!! akapewa simu yule dada kabla hata hajanisikiliza, akaanza, sijui fulani huyu(sikumbuki jina lililotajwa), eh mambo vipi? eeh kumbe umehamia dar?! utakuwa umependeza mwenyewe!!? wakapigiana simu, wakaongea waliyoongea huku mimi macho yamanitoka, walipomaliza ndo nikaambiwa, karibu kaka...

  Ukiwaangalia unaona ni watu wazima, ila wanafanya mambo ya kitoto kabisa!
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unamnyang'anya simu alafu unamwambia aliepo upande wa pili "nahitaji kuhudumiwa hapa" kabla ya kuikata na kuweka mezani.
   
 18. S

  Shigo Siyc Member

  #18
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yani hawa customer care bora wacngewapa hilo jina kwani they dont care wateja wao..huu ni upumbavu..
   
 19. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #19
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ........... hii ni Hospitali ya Tumaini Upanga, inayoendeshwa na Umoja wa Madaktari Muhimbili. Wameishiwa dawa kama Amana ! Hovyooo kabisa ! Pharmacist anafurahia kukwambia dawa hakuna !
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nadhani wenzetu wakenya ndo wanaweza kufanya hii mambo kwani wanajua sana haki zao
   
Loading...