Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
WApwaz nifahamisheni kuhusu mchakato mzima wa custodianship baada ya talaka
Kama mnabishana...........Less than 12 years wanakaa na mama.............. na above 12 years kama huna mbele wala nyuma sijui inakuwajeWApwaz nifahamisheni kuhusu mchakato mzima wa custodianship baada ya talaka