CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Wale wa CUHAS tupeane mawaidha hapa. Panalipa-student life ?
mbona paukweli hapo
Unajua vyuo vingine vina ubabe wa kuwanyanyasa wanafunzi mpaka wakome kuomba pale. Hasa MUHAS wana tabia hiyo chafu ya ku-terrorise wanafunzi. Si unasikia eti UDSM law wanasema wamedhalilishwa kuletewa wanafunzi wa div. 2!!
hapo kwenye muhas mbona sikuelewi elewi..nipe more info kwa ulichosema man maana nimechaguliwa pale..