CUF yataka serikali tatu

CUF yataka serikali tatu

ishieni zenu huko. Hutuwataki. Mmejaa chokochoko. Bora kuungana na malawi kuliko nyie.
acheni jazba, unajua sisi ni ndugu, ila nakubaliana na kwamba tutahitaji kuungana na wamaluawi, warundi, rwanga, kenya uganda, kongo na sudani. Lakini sio katika mfumo huu.
 
Ishieni zenu huko. Hutuwataki. Mmejaa chokochoko. Bora kuungana na malawi kuliko nyie.

Tena Malawi ni issue ndogo tu maana tayari kuna kitu tunashare(tofauti ndoogo ndogo tutazimaliza mezani)!!
 
Tunataka serikali tatu, wizara 15 zinatosha, bunge tatu inatosha, mishahara ya wabunge iende kwa kulingana na mishahara ya wakuu wa shule za sekondari, ikipanda ikishuka, mawaziri nao mishaara yao iwe ina vigezo. Raisi asiwe tena na mamlaka ya kutengua uteuzi wa viongozi wakuu ila kwa baraka za Bunge. Cuf wameandika vizuri sana.
 
Mbona hizi habari hatuzisikii kutoka upande wa tanganyika ,Za zanzibar zinatangazwa kama mpira ama kweli zumari ikipulizwa Zanzibar walio maziwa makuu huhemkwa !
Tanganyika si shamba la bibi
 
Back
Top Bottom