CUF yataka Eddy Riyami aachiliwe haraka

Itafika wakati ubabe utakwisha,hakunaga marefu yasiyo na ncha...utaisha lini na kwa tukio gani Mungu anajua
 
kubagua watu kwa kuangalia majina na yenyewe ni jipu kwa upande wako! Usingeambiwa majina ungesema "sura zao za bara"? Majina ya bara ndio yakoje hayo?
 
Mshauri wa uchi mahaba ya ccm yamekupondaponda kama nyanya.
 
Simpendi Tramp awe raisi lakini mambo kama haya saa nyingine yananisukuma wampe nchi chizi atawale labda atatusaidia....... hii sio sawa... viongozo wa upinzani ndo polisi inawahusu tu... hii kweli na je kwa nini msimpeleke mahakamani?
 
Wagombea walikula kiapo mahakamani na kupata udhamini wa uchaguzi wa tar 25/10/2015.
Uchaguzi ule umefutwa wote,sasa ni mgombea gani alikula kiapo mahakamani cha uchaguzi wa tar 20 march?
 

JECHA HUYO HUYO ALIENDEKEZA HISIA ZAKE. HAKUNA SHERIA YA KURUDIA UCHAGUZI, WALA UCHAGUZI WA RAIS HAUSHITAKIWI MAHAKAMANI NI SHERIA. BADO ANATAKA KAMA MAALIM HAJALIDHIKA AENDE MAHAKAMANI. IPI?
 
CUF kuweni makini sana hapo CCM watakamata viongozi wenu na mwisho wa siku ikifikia wakati wa uchaguzi watafanya uchaguzi huku viongozi wakiwa ndani na hiyo ndio itakuwa sababu ya wenyewe kushinda uchaguzi...

WATSHINAJE? KWANI KUNA MTU ATAPIGA KURA? LABDA WAO WENYEWE CCM
 
KAMA BURUNDI,UGANDA,RWANDA NA DRC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…