Hebu jaribu wewe ili uwe mfano kwa wengineHivi cuf bado wanafikiri wanaweza kusikilizwa na policcm? Wanajisumbua tu kutoa taarifa hizi ambazo haziwezi kuleta matokeo yoyote. Nchi za kiafrica lazima zipitie tanuru baya kama walilopitia Kenya ndo wapate adabu. Kenya wanaheshimiana knoma wakati huu. Viongozi wetu watuhurumie kwakweli.
Kumbuka unatawala Tanzania tu na si dunia nzimaAnaye leta fyokofyoko anakipata cha mtema kuni
Time will tellCUF punguzeni kulalami, haki haijawahi patikana kwa kulalamika bali kwa kutafutwa, CUF ingekuwa bado mnatumia sera ya jino kwa jino hawa wakina Jecha wasingekuwa wanafanya ujinga
NNdio mnavyotisha watuHebu jaribu wewe ili uwe mfano kwa wengine
Hawa jama wa michicha hawafai duniani na hata....Chama cha CCM Zanzibar lazima kiondoke madarakani kama aliyoondoka Firauni!
Hawana lolote mkuu......naamini ni ubabe tu na mkandamizo wa democrasia......Africa tena......halafu tunaongelea Tanzania Nchi yenye wananchi Malofa.....kama tulivyoitwa na Rais mstaafu.....haya mambo yanatia uchungu sana.Labda kuna taarifa za kiintelijensia zilizomfanya aswekwe ndani!
Nisawasawa kumuogesha mbwa na petroli alafu unauliza ametakataCCCM wanahubiri amani huku wakiminya Democrasia.........
Naona serikali inawachokoza wananchiNadhani ccm hawakujua maana ya demokrasia enzi zile tulipobadili mfumo kwenda vyama vingi
Una maansha uchaguzi ulifutwa kwa kufuata taratibu?Kwani umeambiwa wamelazimishwa ? hivi mnakaa angalau mkasoma vizuri ama kusikiliza hizi habari zinaporipotiwa? Jecha amewaambia hawajafuata taratibu na ndio maana akawambia tume inawatambua kama washiriki sasa si wafuate taratibu kesi ishe, ata kwenye upatu huwezi kuamka ukasema ati mimi najitoa kuna taratibu zake bhana kubwa..munaendekeza sana siasa za hisia kuliko uhalisia .
Hiyo taarifa umeisoma yote?Hapa ccm imeingiaje?
Uwahi=Uhaiccm chama cha maintarahamwe, wapo tayari kutoa hata uwahi wa watu kisa madaraka.
Ngoja li-Trump liwakute! Lazima liwapige marufuku kukanyaga ardhi ya Marekani!Mseven+mkurunzinza+shein hao ni marais Wa Afrika
Nimeipenda hii: "Chanzo Cha Matatizo (CCM)"Chanzo Cha Matatizo(CCM) sometime wAnakua kama watoto
Tena huo mwisho uko karibu!lakini yanamwisho
MSAME BURE HUYO NI FISI ANAWAHI MIKONO YA BINADAMU IDONDOKE ILI APATE MLOHiyo taarifa umeisoma yote?
@: Haijalishi ulaini wa maneno watakayotumia lakini mantiki inabaki ile ile, niwekee hapa kifungu cha katiba kinachoeleza kuwa Mwenyekiti wa ZEC anaweza kufuta uchaguzi na kuamuru urudiwe kwa kadri atakavyo yeye na kama hakipo tusipotezeane muda. Refa aliyeharibu pambano lililopita hana uhalali wa kimaadili kuchezesha mechi ya marudio.