wewe kuonekana mpumbavu na Trumph unapungukiwa nini?Kwa taarifa yako hYo Jecha mwenyewe vigungu alivyotumia havihusiano na marudio ya uchaguzi ulio futwa n vya uchaguzi ulio ailishwa, achilia mbali kutokuwa na mamlaka ya kufuta uchaguzi..Haya we huyaoni? Nyinyi ndo mnao sababisha Hadi wakina Trump watuwone waafrika wote wapumbavu..Tuache unafiki!
Waliliwa Madaraka sasa hawajajua Watanzania WamewachokaChanzo Cha Matatizo(CCM) sometime wAnakua kama watoto
Labda kuna taarifa za kiintelijensia zilizomfanya aswekwe ndani!Nadhani ccm hawakujua maana ya demokrasia enzi zile tulipobadili mfumo kwenda vyama vingi
Tatizo vyama vilivyokuwepo Madarakani wamejiona wamewekeana mkataba na MunguDemokrasia ndio umekuwa ni ugonjwa mkubwa afrika.
Intelejensia ishindikane kuonana na Mke wake? Intelijensia kipindi cha ccm kushindwaLabda kuna taarifa za kiintelijensia zilizomfanya aswekwe ndani!
lakini yanamwishoNdio Siasa zetu sasa.....
Unganisha dots ndio utajua imeingiajeHapa ccm imeingiaje?
Nguvu ya umma siyakucheza nayoMatamko kama haya ifike kipindi yaambatane na Actions.
Hawa jamaa ni Kama Kenge hawasikii
Udikteta nimbaya sanaMseven+mkurunzinza+shein hao ni marais Wa Afrika