CUF yataka Eddy Riyami aachiliwe haraka

Chama cha CCM Zanzibar lazima kiondoke madarakani kama aliyoondoka Firauni!
 
Hebu jaribu wewe ili uwe mfano kwa wengine
 
Cuf hili la kukamata viongozi wake wasiliruhusu kabisa kama anakosa apelekwe mahakamani na kama hana aachiwe
 
CUF punguzeni kulalami, haki haijawahi patikana kwa kulalamika bali kwa kutafutwa, CUF ingekuwa bado mnatumia sera ya jino kwa jino hawa wakina Jecha wasingekuwa wanafanya ujinga
 
CUF punguzeni kulalami, haki haijawahi patikana kwa kulalamika bali kwa kutafutwa, CUF ingekuwa bado mnatumia sera ya jino kwa jino hawa wakina Jecha wasingekuwa wanafanya ujinga
Time will tell
 
Labda kuna taarifa za kiintelijensia zilizomfanya aswekwe ndani!
Hawana lolote mkuu......naamini ni ubabe tu na mkandamizo wa democrasia......Africa tena......halafu tunaongelea Tanzania Nchi yenye wananchi Malofa.....kama tulivyoitwa na Rais mstaafu.....haya mambo yanatia uchungu sana.
 
CCCM wanahubiri amani huku wakiminya Democrasia.........
 
Una maansha uchaguzi ulifutwa kwa kufuata taratibu?
au ndo muhemko wa kisiasa humu JF?
 

Riyami is a troublemaker tangu zamani; hawa ni wapinzani wa Mapinduzi anatumiwa na maadui walishindwa 1964. Ni uchaguzi wake; mwache ajipime. Alijitakia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…