CUF yatabiriwa makubwa kutokana na hazina zake 2 na CCM yafanya mambo kwa MIPANGO

Hatimaye pamoja na kuchukua viti vingi vya udiwani sehemu mbalimbali tanzania kwenye chaguzi ndogo, chama cha CUF kimetabiriwa makubwa hasa kutokana na hazina ya uongozi makini wa profesa wa uchumi (Lipumba) na kiongozi makini (Maalim Seif).

Kwa kuwa kimeshafanikiwa kuingia serikalini kwa upande mmoja, hali ya kisiasa inaonyesha muelekeo mzuri kwa upande wa bara kwani umakini wa wananchi juu ya chama hiki umeongezeka. CUF haikuona umuhimu wowote wa kusimamisha mgombea ARUMERU. Hali kadhalika, CCM kwa ridhaa yao wameamua kuliachia jimbo hilo kwani si muhimu tena kwao. Na muelekeo unaonyesha kuwa CCM itaendelea kuachia majimbi mengi kadiri yatakavyoendelea kupotena umuhimu.

Watanzania tuweni MAKINI na vyama fujo.

mtaalamu wa siasa za tanzania nilierejea masomoni baada ya miaka 2. Ktk kipindi chote cha masomo niliona nisimame kwanza kutumia JF ili nisome vizuri kwa maslahi ya nchi yangu.

Mkuu charityboy

Mmefanya makosa makubwa kutoweka mgombea Arumeru, namshangaa sana Mtatiro kwa uamuzi huu.

Chama bila kushiriki uchaguzi hakina sababu ya kuwepo..acheni ubaghili nyie
 
hatimaye pamoja na kuchukua viti vingi vya udiwani sehemu mbalimbali tanzania kwenye chaguzi ndogo, chama cha cuf kimetabiriwa makubwa hasa kutokana na hazina ya uongozi makini wa profesa wa uchumi (lipumba) na kiongozi makini (maalim seif).

Kwa kuwa kimeshafanikiwa kuingia serikalini kwa upande mmoja, hali ya kisiasa inaonyesha muelekeo mzuri kwa upande wa bara kwani umakini wa wananchi juu ya chama hiki umeongezeka. Cuf haikuona umuhimu wowote wa kusimamisha mgombea arumeru. Hali kadhalika, ccm kwa ridhaa yao wameamua kuliachia jimbo hilo kwani si muhimu tena kwao. Na muelekeo unaonyesha kuwa ccm itaendelea kuachia majimbi mengi kadiri yatakavyoendelea kupotena umuhimu.

Watanzania tuweni makini na vyama fujo.

Mtaalamu wa siasa za tanzania nilierejea masomoni baada ya miaka 2. Ktk kipindi chote cha masomo niliona nisimame kwanza kutumia jf ili nisome vizuri kwa maslahi ya nchi yangu.

......uharo ule....em katawaze kwanza unanuka mavi......
 
makubwa kwa CUF yapi hayo. Kimsingi CUf had died long time ago just after they got married to CCM. RIP CUF
 
Hatimaye pamoja na kuchukua viti vingi vya udiwani sehemu mbalimbali tanzania kwenye chaguzi ndogo, chama cha CUF kimetabiriwa makubwa hasa kutokana na hazina ya uongozi makini wa profesa wa uchumi (Lipumba) na kiongozi makini (Maalim Seif).

Kwa kuwa kimeshafanikiwa kuingia serikalini kwa upande mmoja, hali ya kisiasa inaonyesha muelekeo mzuri kwa upande wa bara kwani umakini wa wananchi juu ya chama hiki umeongezeka. CUF haikuona umuhimu wowote wa kusimamisha mgombea ARUMERU. Hali kadhalika, CCM kwa ridhaa yao wameamua kuliachia jimbo hilo kwani si muhimu tena kwao. Na muelekeo unaonyesha kuwa CCM itaendelea kuachia majimbi mengi kadiri yatakavyoendelea kupotena umuhimu.

Watanzania tuweni MAKINI na vyama fujo.

mtaalamu wa siasa za tanzania nilierejea masomoni baada ya miaka 2. Ktk kipindi chote cha masomo niliona nisimame kwanza kutumia JF ili nisome vizuri kwa maslahi ya nchi yangu.

We kijana, ume-join JF November 2010 na hapo hapo unadai uliacha kuitumia JF kwa miaka miwili ili kubukua.....mbona hata huo u-member wako humu haujatimia hiyo miaka miwili?!
 
Hatimaye pamoja na kuchukua viti vingi vya udiwani sehemu mbalimbali tanzania kwenye chaguzi ndogo, chama cha CUF kimetabiriwa makubwa hasa kutokana na hazina ya uongozi makini wa profesa wa uchumi (Lipumba) na kiongozi makini (Maalim Seif).

Kwa kuwa kimeshafanikiwa kuingia serikalini kwa upande mmoja, hali ya kisiasa inaonyesha muelekeo mzuri kwa upande wa bara kwani umakini wa wananchi juu ya chama hiki umeongezeka. CUF haikuona umuhimu wowote wa kusimamisha mgombea ARUMERU. Hali kadhalika, CCM kwa ridhaa yao wameamua kuliachia jimbo hilo kwani si muhimu tena kwao. Na muelekeo unaonyesha kuwa CCM itaendelea kuachia majimbi mengi kadiri yatakavyoendelea kupotena umuhimu.

Watanzania tuweni MAKINI na vyama fujo.

mtaalamu wa siasa za tanzania nilierejea masomoni baada ya miaka 2. Ktk kipindi chote cha masomo niliona nisimame kwanza kutumia JF ili nisome vizuri kwa maslahi ya nchi yangu.

>>>>>>>>>>>>>
View attachment 50860
 
huyu ndio 'msomi' karudi kujenga chama!! Among the think tank ya chama!! Kaaaazi kweli kweli!!
 
Huyu mleta mada mbona kama anaishi kwenye nchi ya ndotoni au tuseme kusadikika! Nina wasi wasi ama anajikomba kwa Lipumba na Seif au hajui maana ya neno hazina. Kwa ufupi siasa uchwara kama hizi hazifai hapa ingawa nako siku hizi pameingiliwa. Hii ni sehemu ya kufikiri siyo kujikomba jamani.
 
where is recycle bin? this post deserve

Ndugu recycle bin vinakaa taka ambazo zinaweza kuwa useful again! This deserves to be burnt away.

BTW hajasema alikuwa shule gani miaka 2, lakini kama sikosei walikuwa wanakaa chini.
 
where is recycle bin ? this post deserve

Kweli kabisa LAT..ngoja nimhoji huyu msomi, mtaalamu wa siasa za Tanzania..aliyezisomea nje.?KATA Moja kati ya nane ndiyo nyingi?, Uliposoma uliambiwa kwamba chama kikishindwa uchaguz wa kata,jimbo au hata nchi kinakuwa kimeachia eti kwa sababu ya hayo maeneo kukosa umuhimu..?. kwa nini kishiriki uchaguzi kama maeneo hayo hayana umuhimu? Nadhani huo utaalamu wako wa siasa za tanzania ulioupata nje ya Tanzania ni sawa na majipu huko kichwani yanayosubiri kupasuka.
 
Mkuu charityboy

Mmefanya makosa makubwa kutoweka mgombea Arumeru, namshangaa sana Mtatiro kwa uamuzi huu.

Chama bila kushiriki uchaguzi hakina sababu ya kuwepo..acheni ubaghili nyie

ccm waliwazuia wasiweke mgombea! daah.
 
cuf wabaguzi hawawataki watanganyika chama cha wapemba kina nafasi pemba na unguja huku bara hawana chao.

kina mshiko kwa waislam. Tanga wamepata udiwani katika uchaguzi mdogo uliomalizika juzi
 
Back
Top Bottom