CUF yasema imechoka na udhalilishaji

CUF yasema imechoka na udhalilishaji

Democracy iyende sambamba na ku protect dola..Unajua prior 1985 ilikuwa hakuna siasa za upemba na uunguja bali siasa za uhizbu na U ASP zilikuwa zipo(kwa chini chini) lakini uupemba na Uunguja..Maalim baada ya kufanya manyago yake kwenye CCM na wakamtimua..Na alichukulia ile ya kuwa ametimuliwa kwa sababu ni mpemba na hakusema kwa sababu ya shortcoming yake. Na kwa kipindi kile ile asife kisiasa akacheza karata hiyo bila ya kujua analiangamiza taifa na hata nafasi yake alipopewa Dr Omar ali Juma ikaja kampeni kubwa sana ya kuwa si mpemba kwa sababu angekubalika kama ni mpemba basi propaganda zake zingekuwa hazina Nguvu kama unakumbuka 1995 watu walifukuzwa shule znz.. Mimi ile issue naijua A to Z jinsi ilivyopikwa.Kwani kipindi hicho mimi ndiyo kwanza nipo Form six Lumumba.Sasa ile issue na mimi nilikuwa niwemo kwani tumekuwa recruited ili watu wapate political gain.. kwa sababu wengi wanaokaa dahalia kipindi kile ni wanafunzi kutoka Pemba na nakumbuka tulikwisha kuonywa shuleni tusishiriki siasa..kwa hivyo tukashawishiwa tudai kupiga kura kama haikuwezekana tugome na kuandamana..Mimi nilikuwa nakaa Unguja lakini wengi wao ilikuwa ninasoma nao pamoja. Seif alijua fika wale wanafunzi wakiandamana wanafukuzwa lakini hakujali hilo kwani wakifukuzwa anapata faida yeye na watu watamuamini anachokisema kwa sababu wale wanafunzi wote wanatoka Pemba..Kwa hivyo hizo propaganda za upemba SEIF na CUF walizipalilia(nimeshuhudia) ili kupata support ya wapemba.
Na ndiyo maana mimi sina matatizo na mtu yeyote kuwa raisi Zanzibar lakini SEIF kama nina nguvu nitazitumia zote ku prevent kitu hicho kwani hapa tulipofika siasa za upemba na uunguja yeye ndiyo chanzo...
kizibao taja maslahi yako hapo kisiwandui , mtu gani una chuki mbaya namna hii ? au wewe ndio salum jecha ?
 
Ndiyo mnavyodanganywa na huo ujumbe mzito... au ndiyo Drip zenu hizo. sijakuambia wataisoma no wazanzibar nimesema ataisoma no SEIF SHARIF HAMAD.na sasa kama hamuamini fanyeni vurugu si katika Website yenu ya mzalendo mnahimizana kule mwenye mpigane jihadi kama husomi basi pitia kidogo.
Na kitu chengine sijawahi kukaa maskani ya chama chochote Zanzibar nimeondoka Zanzibar mwaka 1998 kwa ajili ya kwenda kusoma nilirudi nilirudi 2006 kufanya internship Muhimbili. nikaondoka tena narudi znz kutembea tu na na hivi sasa nafanya post Doc nikimaliza hapa utanikuta SUZA.. Kwa hivyo usione kila mtu yuko sawa na wewe. nakuambieni Tena Masour,Mazrui au hata Jussa wanaweza kuwa Raisi wa Zanzibar lakini Seif Sharif mpaka dunia itamalizika hatokuwa raisi hata ile sekunde moja..na yeye analijua hilo...
Kizibao wewe unakosea,mkuu
Ukisema Seif wanakasirika saana,Astaghafirullah,wewe sema CUF GOD FATHER
Maana wanakuambia wao seif tuuu,sasa wao ni mtu wala sio chama.We lipumba tu wamekubali kumuuza kwa wale wale waliowaita Makafiri na kumuweka yule yule waliomita kafiri.Leo hii Duni Haji kaenda huko huko.
Hahahaha,yaaani hawa jamaa hawajaitambui hasaaa.
Na Chadema wanawamaliza BARA,mtaisoma mwaka huu,we Majimbo kiobao CUF ilikuwa ichuukue Chadema na wao wakachomekea watu wao ili CUF wakose wakachukua CCM,mfano mdogo Segerea kwa Mtatiro.CUF

Na kama huo UKAWA wenu wangekuwa na Uchungu na CUF basi wangelianzisha wao woote kususa kuapa,hadi Zanzibar kieleweke,lakini kwa vile njaa kali na CUF inaburuzwa wakaingia mtegoni,wamekuwa wapoleee.
Hadi mkutano mkuu wa Maamuzi ya chama,badala kufanyika huku Zanzibar kwenye ngome kuu wameufanya DAR.Hahahahah,kwishneyyyyyyyyy

Hapa ngoma itapigwa,na watu mtakuwa wapoleeeeee,vyama vipo kibaoooooo,HAMADA RASHID mliemfukuza CUF ndio atakuwa bosi wenu sasa,atawasomesha number.

Uktaka kujua wanafik,utawajua tuuu,wewe Wabunge wa CUF na wawakilishi wao wamelipwa mamilion ya pesa kila miaka 5,lakini kila mmoja akilipwa anasepa,hakuna taka mmoja aliefanya kwenye jimbo lake.Chezea njaa wewe.
Ukimsema mwenzio hafanyi basi wewe onyesha njia ili watu wajue kwamba unania njema,mkiambiwa hivyo utasikia kila kitu serikali,ile pesa ni ya kwao binafsi na familia zao.ebboooo
Usiumie kichwaa mkuu,wooote ni wale waleeeeeeeeeeeee
 
Tatizo jingine ni hili la CUF kujidanganya kwamba wazanzibar woote ni CUF.
Huu mtego CUF mmeingia hamtoki,chama ndio safari yake imeishia hapo.

Uchaguzi utapigwa,vyama vyenye kushiriki vitashiriki,dua la kuku litaendelea tu kama kawaida huku uzee ukiwanyemelea bila kufanya lolote la maana.
Fanyeni kazi,acheni umwinyi acheni kulalamila,Zanzibar ajira kibaooooooooo,watu mmekaa mnategema kula majumbani kwenu tuuuu.
We leo unachagua kazi eti huwezi kufanya kazi ya hotel eti kisa makafiri,hatimae leo 80% ya waajiriwa wa hotel ni kutoka Bara na wengine Kenya,ukiwauliza wazawa hasa CUF vijana wao ndio kabisaaa utaambiwa mambo teleeee.
 
Back
Top Bottom