CUF yasema imechoka na udhalilishaji

CUF yasema imechoka na udhalilishaji

Hahahahaha hayo maneno ya Mazrui ni ya kujifurahisha tu, hata kwenye kanga yamo hayo maneno lakini yanasumbuwa watu na je watu wanayatilia maanani.. Kitu kimoja CUF ambacho wanakijua fika na hakitobadilika ya kuwa hawawezi kufanya kitu chochote.. sio jana, leo, kesho wala kesho kutwa.. Kwani wakisababisha vurugu tu watadundwa na tunakitangaza hama cha CUF ni cha kigaidi na kufungua mlango wa kukifuta..
Na kama huamini fanyeni na utakuja kuniambia hapa hapa. Maneno aliyazungumza Dr kitime yule hakuongea kwa kukurupuka kwani tunajua ya kuwa Muarabu hawezi kutaka kutawala Zanzibar lakini kuna vitibakwiri wakizanzibar ambao wanajiona waarabu wako Oman na UAE hao ndiyo wana matatizo na watu wana information zote mikutano yote iliyofanyaka OMAN na kuna mengine watu wametoka ZANZIBAR kwenda kuhudhuria na watu wanajua ya kuwa wamekodi PR company na inajulikana ni akina nani wali finance na hiyo PR company kwani pesa hazikutoka from CUF account na ndiyo maana baadhi ya mliyowakodi walifukuzwa Zanzibar..na Kitu chengine kama CUF haijashiriki uchaguzi hiyo inamaanisha Maalim Seif hatokuwa makamo wa Rais sasa ile kinga ya kikatiba ambayo anaipata hivi sasa kwa sababu ni makamo wa raisi iyakuwa imeshaondoka na hapo ndiyo ataisoma no..Keep my words
kama ni hivyo kwanini hamkuyasema haya kwenye kampeni zenu ili wananchi wakueleweni , mkasubiri mpaka mubwagwe na muangukie pua ndio mlete huu uzushi ? lengo lenu ni kuleta vita zanzibar na Tanganyika ? nakuhakikishia Mungu hawezi kuwa upande wenu na mtashindwa vibaya sana ! Gadaf na wanawe walikuwa miungu libya leo wako wapi ? saddam aliwapiga sumu wa kurd kwa kutumia askari kama nyinyi mnavyoyatunia mazombie , leo yuko wapi ?
 
Cuf wanapenda kuonewa hurum.
cuf wanatengeneza mazingira ya kuleta fujo.
Cuf wana vitimbi sana inawezekana kabisa baraza wamelibomoa wao lakini wanasingizia wao.
Cuf ni wazuri sana katika usanii,hatujasahau maandamano yao kulikua na watu wamejipaka damu ya kuku ili kuogofya wananchi
 
CCM watakuwa wameifurahia hiyo kauli, kwa maana walifanya hayo kwa makusudi ili CUF wachoke kuvumilia na kureact then wataonekana wao ni wabaya, hawafai kuongoza nchi. Hold on CUF, msiwape nafasi CCM kuhalalisha wanachokitafuta!!!
 
Hahahahaha hayo maneno ya Mazrui ni ya kujifurahisha tu, .. Maneno aliyazungumza Dr kitime yule hakuongea kwa kukurupuka kwani tunajua ya kuwa Muarabu hawezi kutaka kutawala Zanzibar lakini kuna vitibakwiri wakizanzibar ambao wanajiona waarabu wako Oman na UAE hao ndiyo wana matatizo ......Keep my words
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeuomba Uongozi wa Nchi wanachama wa Umoja wa Falme za Kiarabu { UAE } kuiunga mkono Zanzibar katika harakati zake za kupata usajili wa kudumu wa Kituo chake cha Usajili wa Vyombo vya usafiri wa Baharini.
Ombi hilo limetolewa na Makamuwa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati akizungumza na Balozi wa Mataifa ya Umoja wa Falme za Kiarabu aliyepo Nchini Tanzania Bwana Abdullah Ibrahim Al – Suwaidi hapo Ofisi za SMZ Mtaa wa Magogoni Jijini Dar es salaam.
Link ZanziNews : SMZ yaiomba UAE kuiunga mkono katika kupata usajili wa kudumu wa vyombo vya usafiri wa bahari
 
Hahahahaha hayo maneno ya Mazrui ni ya kujifurahisha tu, hata kwenye kanga yamo hayo maneno lakini yanasumbuwa watu na je watu wanayatilia maanani.. Kitu kimoja CUF ambacho wanakijua fika na hakitobadilika ya kuwa hawawezi kufanya kitu chochote.. sio jana, leo, kesho wala kesho kutwa.. Kwani wakisababisha vurugu tu watadundwa na tunakitangaza hama cha CUF ni cha kigaidi na kufungua mlango wa kukifuta..
Na kama huamini fanyeni na utakuja kuniambia hapa hapa. Maneno aliyazungumza Dr kitime yule hakuongea kwa kukurupuka kwani tunajua ya kuwa Muarabu hawezi kutaka kutawala Zanzibar lakini kuna vitibakwiri wakizanzibar ambao wanajiona waarabu wako Oman na UAE hao ndiyo wana matatizo na watu wana information zote mikutano yote iliyofanyaka OMAN na kuna mengine watu wametoka ZANZIBAR kwenda kuhudhuria na watu wanajua ya kuwa wamekodi PR company na inajulikana ni akina nani wali finance na hiyo PR company kwani pesa hazikutoka from CUF account na ndiyo maana baadhi ya mliyowakodi walifukuzwa Zanzibar..na Kitu chengine kama CUF haijashiriki uchaguzi hiyo inamaanisha Maalim Seif hatokuwa makamo wa Rais sasa ile kinga ya kikatiba ambayo anaipata hivi sasa kwa sababu ni makamo wa raisi iyakuwa imeshaondoka na hapo ndiyo ataisoma no..Keep my words
Unamtisha nani sio mwaka wa kutishana huu degree ya ujinga
 
Shule ni kitu muhimu, waliogopa umande ndio walikosa elimu wakasingizia ukoloni. Wameishiwa hata kupatariziki ya kutia tonge kinywani basi inatokana na fitina. Bila fitina hawali.

Choyo na kijicho ndio sera zao na kushinda kutwa kwenye maskani. Upuuzi wa mtoa mada hapo juu unatokana na wale watu waliokimbia umande na kutoroka shule. Halaiki na chipukizi ndivyo alivyotumia ujana wake na ndio shule yake.

Ni wazi CUF haiwezi kupambana na dola lisioheshimu utu na haki. Lakini ni ujinga usiopingika kuwa huwezi kumkuta CCM Mzanzibari mshirazi ambae hakuchanganya damu na mfuasi wa CUF. Kwa hiyo hakuna mtu atakaeisoma namba zaidi ya CCM WAKATA MAJI.

Wakati wa kukipachika chama cha CUF kuwa ni chama cha kigaidi zimepitwa na wakati. Ulimwengu umeshaelewa nani gaidi Zanzibar, Janjaweed, Mazombie au Mbarkowa!

Uchaguzi wa Oktoba 2015 umepeleka ujumbe mzito kwa nchi za nje hali halisi ya siasa za Zanzibar na hawawababahwi tena. Hakuna mtu mwenye uthubutu wa kukifuta chama cha CUF , na kwa kosa gani? la kuismbaratisha CCM Zanzibar kwenye uchaguzi? huo ndio ugaidi kwenye kamusi ya CCM?

CCM watakuwa wameifurahia hiyo kauli, kwa maana walifanya hayo kwa makusudi ili CUF wachoke kuvumilia na kureact then wataonekana wao ni wabaya, hawafai kuongoza nchi. Hold on CUF, msiwape nafasi CCM kuhalalisha wanachokitafuta!!!

Kwahiyo Sheikh Wangu ukifanywa kama hivyo hapo juu utaendelea kuhold on?
 
Hahahahaha hayo maneno ya Mazrui ni ya kujifurahisha tu, hata kwenye kanga yamo hayo maneno lakini yanasumbuwa watu na je watu wanayatilia maanani.. Kitu kimoja CUF ambacho wanakijua fika na hakitobadilika ya kuwa hawawezi kufanya kitu chochote.. sio jana, leo, kesho wala kesho kutwa.. Kwani wakisababisha vurugu tu watadundwa na tunakitangaza hama cha CUF ni cha kigaidi na kufungua mlango wa kukifuta..
Na kama huamini fanyeni na utakuja kuniambia hapa hapa. Maneno aliyazungumza Dr kitime yule hakuongea kwa kukurupuka kwani tunajua ya kuwa Muarabu hawezi kutaka kutawala Zanzibar lakini kuna vitibakwiri wakizanzibar ambao wanajiona waarabu wako Oman na UAE hao ndiyo wana matatizo na watu wana information zote mikutano yote iliyofanyaka OMAN na kuna mengine watu wametoka ZANZIBAR kwenda kuhudhuria na watu wanajua ya kuwa wamekodi PR company na inajulikana ni akina nani wali finance na hiyo PR company kwani pesa hazikutoka from CUF account na ndiyo maana baadhi ya mliyowakodi walifukuzwa Zanzibar..na Kitu chengine kama CUF haijashiriki uchaguzi hiyo inamaanisha Maalim Seif hatokuwa makamo wa Rais sasa ile kinga ya kikatiba ambayo anaipata hivi sasa kwa sababu ni makamo wa raisi iyakuwa imeshaondoka na hapo ndiyo ataisoma no..Keep my words

Shule ni kitu muhimu, waliogopa umande ndio walikosa elimu wakasingizia ukoloni. Wameishiwa hata kupatariziki ya kutia tonge kinywani basi inatokana na fitina. Bila fitina hawali.

Choyo na kijicho ndio sera zao na kushinda kutwa kwenye maskani. Upuuzi wa mtoa mada hapo juu unatokana na wale watu waliokimbia umande na kutoroka shule. Halaiki na chipukizi ndivyo alivyotumia ujana wake na ndio shule yake.

Ni wazi CUF haiwezi kupambana na dola lisioheshimu utu na haki. Lakini ni ujinga usiopingika kuwa huwezi kumkuta CCM Mzanzibari mshirazi ambae hakuchanganya damu na mfuasi wa CUF. Kwa hiyo hakuna mtu atakaeisoma namba zaidi ya CCM WAKATA MAJI.

Wakati wa kukipachika chama cha CUF kuwa ni chama cha kigaidi zimepitwa na wakati. Ulimwengu umeshaelewa nani gaidi Zanzibar, Janjaweed, Mazombie au Mabarkowa!

Uchaguzi wa Oktoba 2015 umepeleka ujumbe mzito kwa nchi za nje hali halisi ya siasa za Zanzibar na hawawababahwi tena. Hakuna mtu mwenye uthubutu wa kukifuta chama cha CUF , na kwa kosa gani? la kuismbaratisha CCM Zanzibar kwenye uchaguzi? huo ndio ugaidi kwenye kamusi ya CCM?
 
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeuomba Uongozi wa Nchi wanachama wa Umoja wa Falme za Kiarabu { UAE } kuiunga mkono Zanzibar katika harakati zake za kupata usajili wa kudumu wa Kituo chake cha Usajili wa Vyombo vya usafiri wa Baharini.
Ombi hilo limetolewa na Makamuwa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati akizungumza na Balozi wa Mataifa ya Umoja wa Falme za Kiarabu aliyepo Nchini Tanzania Bwana Abdullah Ibrahim Al – Suwaidi hapo Ofisi za SMZ Mtaa wa Magogoni Jijini Dar es salaam.
Link ZanziNews : SMZ yaiomba UAE kuiunga mkono katika kupata usajili wa kudumu wa vyombo vya usafiri wa bahari
Inaonyesha hiyo habari hujaisoma vizuri...Nimekuambia wazanzibar wanaokaa katika hizo nchi na sijakuambia serikali ya hizo nchi.....kama hufahamu hapo hiyo ni kuwa wanaitaka kura yao.. ni sawa na korea ya kusini ilipokuja Tz na kuwaomba wawasaidie katika kumchagua Ban Kimon..
 
Shule ni kitu muhimu, waliogopa umande ndio walikosa elimu wakasingizia ukoloni. Wameishiwa hata kupatariziki ya kutia tonge kinywani basi inatokana na fitina. Bila fitina hawali.

Choyo na kijicho ndio sera zao na kushinda kutwa kwenye maskani. Upuuzi wa mtoa mada hapo juu unatokana na wale watu waliokimbia umande na kutoroka shule. Halaiki na chipukizi ndivyo alivyotumia ujana wake na ndio shule yake.

Ni wazi CUF haiwezi kupambana na dola lisioheshimu utu na haki. Lakini ni ujinga usiopingika kuwa huwezi kumkuta CCM Mzanzibari mshirazi ambae hakuchanganya damu na mfuasi wa CUF. Kwa hiyo hakuna mtu atakaeisoma namba zaidi ya CCM WAKATA MAJI.

Wakati wa kukipachika chama cha CUF kuwa ni chama cha kigaidi zimepitwa na wakati. Ulimwengu umeshaelewa nani gaidi Zanzibar, Janjaweed, Mazombie au Mabarkowa!

Uchaguzi wa Oktoba 2015 umepeleka ujumbe mzito kwa nchi za nje hali halisi ya siasa za Zanzibar na hawawababahwi tena. Hakuna mtu mwenye uthubutu wa kukifuta chama cha CUF , na kwa kosa gani? la kuismbaratisha CCM Zanzibar kwenye uchaguzi? huo ndio ugaidi kwenye kamusi ya CCM?
Ndiyo mnavyodanganywa na huo ujumbe mzito... au ndiyo Drip zenu hizo. sijakuambia wataisoma no wazanzibar nimesema ataisoma no SEIF SHARIF HAMAD.na sasa kama hamuamini fanyeni vurugu si katika Website yenu ya mzalendo mnahimizana kule mwenye mpigane jihadi kama husomi basi pitia kidogo.
Na kitu chengine sijawahi kukaa maskani ya chama chochote Zanzibar nimeondoka Zanzibar mwaka 1998 kwa ajili ya kwenda kusoma nilirudi nilirudi 2006 kufanya internship Muhimbili. nikaondoka tena narudi znz kutembea tu na na hivi sasa nafanya post Doc nikimaliza hapa utanikuta SUZA.. Kwa hivyo usione kila mtu yuko sawa na wewe. nakuambieni Tena Masour,Mazrui au hata Jussa wanaweza kuwa Raisi wa Zanzibar lakini Seif Sharif mpaka dunia itamalizika hatokuwa raisi hata ile sekunde moja..na yeye analijua hilo...
 
Shule ni kitu muhimu, waliogopa umande ndio walikosa elimu wakasingizia ukoloni. Wameishiwa hata kupatariziki ya kutia tonge kinywani basi inatokana na fitina. Bila fitina hawali.

Choyo na kijicho ndio sera zao na kushinda kutwa kwenye maskani. Upuuzi wa mtoa mada hapo juu unatokana na wale watu waliokimbia umande na kutoroka shule. Halaiki na chipukizi ndivyo alivyotumia ujana wake na ndio shule yake.

Ni wazi CUF haiwezi kupambana na dola lisioheshimu utu na haki. Lakini ni ujinga usiopingika kuwa huwezi kumkuta CCM Mzanzibari mshirazi ambae hakuchanganya damu na mfuasi wa CUF. Kwa hiyo hakuna mtu atakaeisoma namba zaidi ya CCM WAKATA MAJI.

Wakati wa kukipachika chama cha CUF kuwa ni chama cha kigaidi zimepitwa na wakati. Ulimwengu umeshaelewa nani gaidi Zanzibar, Janjaweed, Mazombie au Mbarkowa!

Uchaguzi wa Oktoba 2015 umepeleka ujumbe mzito kwa nchi za nje hali halisi ya siasa za Zanzibar na hawawababahwi tena. Hakuna mtu mwenye uthubutu wa kukifuta chama cha CUF , na kwa kosa gani? la kuismbaratisha CCM Zanzibar kwenye uchaguzi? huo ndio ugaidi kwenye kamusi ya CCM?

Mimi leo naomba niulize hasa Lumumba /Kisiwa ndui . Kosa hasa la CUF/SEIF ni nini ?!
1. Ni kushinda uchaguzi ?!
2. Ni kupendwa na waZanzibari?!
3. Au ni kuifanya ccm isiaminike tena kwa asilimia kubwa ya waZanzibari?!

WaTz hii nchi ni yetu sote tusitishane hata kama upande wa pili wana BUNDUKI na VIFARU

Kama tatizo ni UARABU wa akina Seif , Je wale walioko CCM na wengine wasemaji wa Serikali, Mawaziri, Wawakilishi na Wabunge wao si waarabu??????????????!!!
 
Kwanza SEIF si Muarabu kama Seif muarabu kwa hivyo more 60% ya wazanzibar ni waarabu...Nenda kasome kitabu cha mzee Jumbe ndiyo utajua Seif ni mtu wa aina gani
 
Sasa tatizo nini hasa kaka ?! Tulikubali mfumo wa vyama vingi, maana yake tukubali na matokeo yake
 
Kwanza SEIF si Muarabu kama Seif muarabu kwa hivyo more 60% ya wazanzibar ni waarabu...Nenda kasome kitabu cha mzee Jumbe ndiyo utajua Seif ni mtu wa aina gani

Na Jumbe haiagi dunia mpaka ashuhudie matunda ya aliyopigania, kwa uwezo wa Mungu!
 
Back
Top Bottom