CUF yasema imechoka na udhalilishaji

CUF yasema imechoka na udhalilishaji

Ndiyo mnavyodanganywa na huo ujumbe mzito... au ndiyo Drip zenu hizo. sijakuambia wataisoma no wazanzibar nimesema ataisoma no SEIF SHARIF HAMAD.na sasa kama hamuamini fanyeni vurugu si katika Website yenu ya mzalendo mnahimizana kule mwenye mpigane jihadi kama husomi basi pitia kidogo.
Na kitu chengine sijawahi kukaa maskani ya chama chochote Zanzibar nimeondoka Zanzibar mwaka 1998 kwa ajili ya kwenda kusoma nilirudi nilirudi 2006 kufanya internship Muhimbili. nikaondoka tena narudi znz kutembea tu na na hivi sasa nafanya post Doc nikimaliza hapa utanikuta SUZA.. Kwa hivyo usione kila mtu yuko sawa na wewe. nakuambieni Tena Masour,Mazrui au hata Jussa wanaweza kuwa Raisi wa Zanzibar lakini Seif Sharif mpaka dunia itamalizika hatokuwa raisi hata ile sekunde moja..na yeye analijua hilo...

Yaani Ndugu Kizibao ndio comment kama hizi unaandia mtu kama wewe ambae unafanya post Doc kama usemavyo ilana naona umesoma hujaelewa bado halafu unajivunia kama utakwenda Suza sijui kusomesha au kufanya nini ila kama kusomesha ndio type za walimu kama nyinyi ambao siwezi kuelewa uta produce kitu gani kama hujui nini maana ya democracy Shame on you hebu try to be fair Zanzibar ni yetu sote lets us be one hand to derive Zanzibar ahead acha hizo kasumba mbovu zinazonuka kama fulani anaweza kutawala fulani hawezi hakuna VIP citizen and first grade citizen na shalow citizen jaribu kufikiria mustakbal wa Zanzibar, hiyo ndio akili ndogo kutawala akili kubwa Think Big Zanzibar for Zanzibar's if they are black, white, yellow, green etc
 
hiyo umesema wewe , maana aliyoilenga Mh Mazrui ni kwamba wamefika mwisho na hawana cha kufanya zaidi ya kupambana .
Bora umemuelewesha kwa faida ya maCCM mengine yenye vichwa vigimu.asante mkuu.
 
Yaani Ndugu Kizibao ndio comment kama hizi unaandia mtu kama wewe ambae unafanya post Doc kama usemavyo ilana naona umesoma hujaelewa bado halafu unajivunia kama utakwenda Suza sijui kusomesha au kufanya nini ila kama kusomesha ndio type za walimu kama nyinyi ambao siwezi kuelewa uta produce kitu gani kama hujui nini maana ya democracy Shame on you hebu try to be fair Zanzibar ni yetu sote lets us be one hand to derive Zanzibar ahead acha hizo kasumba mbovu zinazonuka kama fulani anaweza kutawala fulani hawezi hakuna VIP citizen and first grade citizen na shalow citizen jaribu kufikiria mustakbal wa Zanzibar, hiyo ndio akili ndogo kutawala akili kubwa Think Big Zanzibar for Zanzibar's if they are black, white, yellow, green etc
Democracy iyende sambamba na ku protect dola..Unajua prior 1985 ilikuwa hakuna siasa za upemba na uunguja bali siasa za uhizbu na U ASP zilikuwa zipo(kwa chini chini) lakini uupemba na Uunguja..Maalim baada ya kufanya manyago yake kwenye CCM na wakamtimua..Na alichukulia ile ya kuwa ametimuliwa kwa sababu ni mpemba na hakusema kwa sababu ya shortcoming yake. Na kwa kipindi kile ile asife kisiasa akacheza karata hiyo bila ya kujua analiangamiza taifa na hata nafasi yake alipopewa Dr Omar ali Juma ikaja kampeni kubwa sana ya kuwa si mpemba kwa sababu angekubalika kama ni mpemba basi propaganda zake zingekuwa hazina Nguvu kama unakumbuka 1995 watu walifukuzwa shule znz.. Mimi ile issue naijua A to Z jinsi ilivyopikwa.Kwani kipindi hicho mimi ndiyo kwanza nipo Form six Lumumba.Sasa ile issue na mimi nilikuwa niwemo kwani tumekuwa recruited ili watu wapate political gain.. kwa sababu wengi wanaokaa dahalia kipindi kile ni wanafunzi kutoka Pemba na nakumbuka tulikwisha kuonywa shuleni tusishiriki siasa..kwa hivyo tukashawishiwa tudai kupiga kura kama haikuwezekana tugome na kuandamana..Mimi nilikuwa nakaa Unguja lakini wengi wao ilikuwa ninasoma nao pamoja. Seif alijua fika wale wanafunzi wakiandamana wanafukuzwa lakini hakujali hilo kwani wakifukuzwa anapata faida yeye na watu watamuamini anachokisema kwa sababu wale wanafunzi wote wanatoka Pemba..Kwa hivyo hizo propaganda za upemba SEIF na CUF walizipalilia(nimeshuhudia) ili kupata support ya wapemba.
Na ndiyo maana mimi sina matatizo na mtu yeyote kuwa raisi Zanzibar lakini SEIF kama nina nguvu nitazitumia zote ku prevent kitu hicho kwani hapa tulipofika siasa za upemba na uunguja yeye ndiyo chanzo...
 
Ndiyo mnavyodanganywa na huo ujumbe mzito... au ndiyo Drip zenu hizo. sijakuambia wataisoma no wazanzibar nimesema ataisoma no SEIF SHARIF HAMAD.na sasa kama hamuamini fanyeni vurugu si katika Website yenu ya mzalendo mnahimizana kule mwenye mpigane jihadi kama husomi basi pitia kidogo.
Na kitu chengine sijawahi kukaa maskani ya chama chochote Zanzibar nimeondoka Zanzibar mwaka 1998 kwa ajili ya kwenda kusoma nilirudi nilirudi 2006 kufanya internship Muhimbili. nikaondoka tena narudi znz kutembea tu na na hivi sasa nafanya post Doc nikimaliza hapa utanikuta SUZA.. Kwa hivyo usione kila mtu yuko sawa na wewe. nakuambieni Tena Masour,Mazrui au hata Jussa wanaweza kuwa Raisi wa Zanzibar lakini Seif Sharif mpaka dunia itamalizika hatokuwa raisi hata ile sekunde moja..na yeye analijua hilo...
Yaan 1998 to 2006
8 !!!!!!!!!!!!! years then ukarudi kufanya internship ?
Umesoma wapi ?
You sound Kilaza
 
Democracy iyende sambamba na ku protect dola..Unajua prior 1985 ilikuwa hakuna siasa za upemba na uunguja bali siasa za uhizbu na U ASP zilikuwa zipo(kwa chini chini) lakini uupemba na Uunguja..Maalim baada ya kufanya manyago yake kwenye CCM na wakamtimua..Na alichukulia ile ya kuwa ametimuliwa kwa sababu ni mpemba na hakusema kwa sababu ya shortcoming yake. Na kwa kipindi kile ile asife kisiasa akacheza karata hiyo bila ya kujua analiangamiza taifa na hata nafasi yake alipopewa Dr Omar ali Juma ikaja kampeni kubwa sana ya kuwa si mpemba kwa sababu angekubalika kama ni mpemba basi propaganda zake zingekuwa hazina Nguvu kama unakumbuka 1995 watu walifukuzwa shule znz.. Mimi ile issue naijua A to Z jinsi ilivyopikwa.Kwani kipindi hicho mimi ndiyo kwanza nipo Form six Lumumba.Sasa ile issue na mimi nilikuwa niwemo kwani tumekuwa recruited ili watu wapate political gain.. kwa sababu wengi wanaokaa dahalia kipindi kile ni wanafunzi kutoka Pemba na nakumbuka tulikwisha kuonywa shuleni tusishiriki siasa..kwa hivyo tukashawishiwa tudai kupiga kura kama haikuwezekana tugome na kuandamana..Mimi nilikuwa nakaa Unguja lakini wengi wao ilikuwa ninasoma nao pamoja. Seif alijua fika wale wanafunzi wakiandamana wanafukuzwa lakini hakujali hilo kwani wakifukuzwa anapata faida yeye na watu watamuamini anachokisema kwa sababu wale wanafunzi wote wanatoka Pemba..Kwa hivyo hizo propaganda za upemba SEIF na CUF walizipalilia(nimeshuhudia) ili kupata support ya wapemba.
Na ndiyo maana mimi sina matatizo na mtu yeyote kuwa raisi Zanzibar lakini SEIF kama nina nguvu nitazitumia zote ku prevent kitu hicho kwani hapa tulipofika siasa za upemba na uunguja yeye ndiyo chanzo...
HIZBU MACHOTARA ZANZIBARI NI YA WAAFRIKA.by ccm
 
Hahahahaha hayo maneno ya Mazrui ni ya kujifurahisha tu, hata kwenye kanga yamo hayo maneno lakini yanasumbuwa watu na je watu wanayatilia maanani.. Kitu kimoja CUF ambacho wanakijua fika na hakitobadilika ya kuwa hawawezi kufanya kitu chochote.. sio jana, leo, kesho wala kesho kutwa.. Kwani wakisababisha vurugu tu watadundwa na tunakitangaza hama cha CUF ni cha kigaidi na kufungua mlango wa kukifuta..
Na kama huamini fanyeni na utakuja kuniambia hapa hapa. Maneno aliyazungumza Dr kitime yule hakuongea kwa kukurupuka kwani tunajua ya kuwa Muarabu hawezi kutaka kutawala Zanzibar lakini kuna vitibakwiri wakizanzibar ambao wanajiona waarabu wako Oman na UAE hao ndiyo wana matatizo na watu wana information zote mikutano yote iliyofanyaka OMAN na kuna mengine watu wametoka ZANZIBAR kwenda kuhudhuria na watu wanajua ya kuwa wamekodi PR company na inajulikana ni akina nani wali finance na hiyo PR company kwani pesa hazikutoka from CUF account na ndiyo maana baadhi ya mliyowakodi walifukuzwa Zanzibar..na Kitu chengine kama CUF haijashiriki uchaguzi hiyo inamaanisha Maalim Seif hatokuwa makamo wa Rais sasa ile kinga ya kikatiba ambayo anaipata hivi sasa kwa sababu ni makamo wa raisi iyakuwa imeshaondoka na hapo ndiyo ataisoma no..Keep my words

Hivi nyie mnadhani ndio wenye nguvu na nchi hii tu. Tukiamua wazanzibari na hata watanzania wote, pamoja na majeshi yenu na polisi mtanyanyua mikono, hakika nakuaeleza. Watanzania ni watu wa amani tu na sio kwa ajili ya kudhani muna uwezo sana wa kupiga watu.
 
Matatizo ya Unguja ni kwamba Jecha peke yake ndiye anayefahamu matokeo yalikuwa vipi,na hamwelezi yeyote isipokuwa Mkapa,Kikwete na Mwinyi. Kwa hiyo,hao tu ndio wanaoweza kutoa maoni kuhusu Uchaguzi kule. Matatizo ya Unguja,ni kwamba Mainland hawakufuatilua mambo gani yanatokea kule. Ilikuwepo Serikali Shirikishi,ikadhaniwa kwamba hakuna ugomvi tena kule. Sasa unawaambia CUF warudie Uchaguzi,siyo jambo rahisi kwa vile watakuwa wanacheza kamari. Hakuna suluhu kwa tatizo la Unguja. Hakuna suluhu kwa tatizo lolote kama mazingara ya tatizo yatafichwa,halafu watu wanaulizwa wana maoni gani?
 
Yaan 1998 to 2006
8 !!!!!!!!!!!!! years then ukarudi kufanya internship ?
Umesoma wapi ?
You sound Kilaza
Uliza nimeenda kusoma wapi paka nyau wewe.. unafikiria kila sehemu ni miaka 5 kama kwenu
 
Wewe ni kilaza tu,even the way you argue.
You dont sound to be academic Material kama unavyojidanganya.

Degree Programs arround the World ziko na standard Duration.
Bsc Engineering 4 Years,B Eng 3 years
Medicine 5 + 1 (Intern) Years
Doctor of Dental Surg same as Medicine etc etc.
Wewe umesoma wapi na nini Miaka 8.
Yaani wewe ukafundishe Chuo kikuu yatakuwa Ma Janga na Ma balaa.
Mnasoma vyo ambavyo haviko accredeted Ulimwenguni halafu mnajifanya wajuaji.
 
Wacha uwongo huo..kama hujuoi sema ufahamishwe naona unajitia ujuji

MD Russia ni 6yrs lugha ni mwaka mmoja.
MD Marekani 4+4 kama ukibahatika kumaliza Bs tu na ukawa enrolled medical school
MD china ni 6 yrs kama utasoma kichina muda unaongezeka
Germany ni(2+3+1) na mwaka mmoja wa lugha kama ni mgeni
Turkey ni 6yrs na mwaka Mmoja wa lugha kama ni mgeni
Netherlands and Belgium 6yrs na kama ni mgeni mwaka mmoja wa lugha
Kerea ni 6yrs na kama ni mgeni na mwaka mmoja wa lugha
Sasa kijana naona umekurupuka na kujitia ujuaji based on assumption na ujinga wapo.
Na ukumbuke wapo wengi sana hasa nchi za Ulaya mara tu baada ya kumaliza MD wengine hawarudi hapo hapo na wengine wanaamuwa kufanya specialization kabisa na baadae ndiyo wanarudi bongo kufanya internship.
Mimi baada tu ya kumaliza kupata gamba lao Tanganyika medical council..niliondoka na kurudi nilikosoma kwani tayari nilikuwa nimeshapata allocation ya residency.Na hapa nilipo namaliza post doc mwezi wa saba mwakani.

Sasa unashangaa mimi kufundisha chuo kikuu vyuo vyenu vyote vya medicine viko below standard hiyo muhimbili ndiyo uozo mtupu hao wote waliopewa uprofessor hawa deserve kupata tittle hizo wanafunzi waliomaliza master ndiyo wanaongia darasani kusomesha(na sijawahi kusomeshwa na mtu chini ya Ass Professor). vyuo havina research. katika paper za thesis plagiarism ndiyo imejaa
Kwa hivyo hapa nilipo nasema kwa kinywa kipana anweza kusomesha chuo kikuu katika nchi yeyote duniani
Hivi MUHAS ndiyo chuo bora cha medicine Tz kiko katika position ya alfu 4 mia ngapi Duniani vile...sasa hivyo vyengine vilivyobakia ni aibu tupu..
 
Kwa hiyo wewe Ulienda kusoma China / Russia ambako ulilazimika kusoma Lugha yao kwanza ?
Je kwa wachina na w Russia ambao tayari wanajua Lugha yao MD wanasoma miaka mingapi ?

PS
Kama ulienda kusoma China ama Russia dalili zote zaonesha u Kilaza.
Hukuwa na Qualifications za kuingia enzi hizo tunaita MUCHS
 
CCM na kudhani wana hati milki ya kutawala, na wengine wote ni "magaidi", "wahuni" "wametumwa" nk. NI vizuri kutambua Katiba ilisharuhusu kuwepo vyama vingi, kutaka kuvidhoofisha kwa kutumia nguvu ya dola sio sahihi. Siasa ishindanishwe kwa Siasa!
 
Kwa hiyo wewe Ulienda kusoma China / Russia ambako ulilazimika kusoma Lugha yao kwanza ?
Je kwa wachina na w Russia ambao tayari wanajua Lugha yao MD wanasoma miaka mingapi ?

PS
Kama ulienda kusoma China ama Russia dalili zote zaonesha u Kilaza.
Hukuwa na Qualifications za kuingia enzi hizo tunaita MUCHS
Mimi sijasoma china wala Russia na hapo ndiyo unadhihirisha ujinga wako au upumbavu wako..Nimesema baada ya kumaliza intern nilirudi katika ile nchi baada ya kupata residency allocation. Sasa china na Russian wana residency program? kabla ya ku comment at least soma kwanza na ujifunze system za elimu za hizo nchi ulijitia ujuaji wa kusema MD program zote dunia nzima ni 5+1 na nimekutolea mifano ya hizo nchi za duniani kukuonesha ya kuwa mjinga na hujui. Na kitu chengine hizo nchi za ulaya lazima usome au uijue lugha yao once ukitaka kusoma medical school.

Hibi nikiangalia vyuo 200 bora duniani kuna vyuo vingapi vya Russia na china wakati Tanzani cha kwanza kinaanza na nafasi ya 4000 huko. kwa hivyo elimu ya china na Russia iko more super kuliko Tanzania na nchi nyengine duania na ndiyo maana wako Juu ki tech Na MUCHS nimeingia hapo na nilifanya uamuzi wa busara kuondoka( na sijapigwa disco) kwani wangenidumaza kiakili na siku zile uli kwanza kwa registration wiki ya mwanzo unaipotezea sana mlimani
 
Hahahahaha hayo maneno ya Mazrui ni ya kujifurahisha tu, hata kwenye kanga yamo hayo maneno lakini yanasumbuwa watu na je watu wanayatilia maanani.. Kitu kimoja CUF ambacho wanakijua fika na hakitobadilika ya kuwa hawawezi kufanya kitu chochote.. sio jana, leo, kesho wala kesho kutwa.. Kwani wakisababisha vurugu tu watadundwa na tunakitangaza hama cha CUF ni cha kigaidi na kufungua mlango wa kukifuta..
Na kama huamini fanyeni na utakuja kuniambia hapa hapa. Maneno aliyazungumza Dr kitime yule hakuongea kwa kukurupuka kwani tunajua ya kuwa Muarabu hawezi kutaka kutawala Zanzibar lakini kuna vitibakwiri wakizanzibar ambao wanajiona waarabu wako Oman na UAE hao ndiyo wana matatizo na watu wana information zote mikutano yote iliyofanyaka OMAN na kuna mengine watu wametoka ZANZIBAR kwenda kuhudhuria na watu wanajua ya kuwa wamekodi PR company na inajulikana ni akina nani wali finance na hiyo PR company kwani pesa hazikutoka from CUF account na ndiyo maana baadhi ya mliyowakodi walifukuzwa Zanzibar..na Kitu chengine kama CUF haijashiriki uchaguzi hiyo inamaanisha Maalim Seif hatokuwa makamo wa Rais sasa ile kinga ya kikatiba ambayo anaipata hivi sasa kwa sababu ni makamo wa raisi iyakuwa imeshaondoka na hapo ndiyo ataisoma no..Keep my words
Mimi kinachonishangaza na kunisikitisha ni kwamba pamoja na kuujua ukweli wote kama ulivyoutanabaisha hapo juu.haya maigizo ya uchaguzi tunayafanya kwa faida ya nani?nani tunataka kufurahisha kwa kufanya uchaguzi? Why tusiamue tu rais wa JMT na SMZ wakawa wanachaguliwa na kamati ya ccm badala ya kuendelea kuteketeza mabilioni ya kodi za masikini wadanganyika
 
Teh teh hadi wamefika ukutani sio, yaani muheshimiwa anakusudia kusema kuwa wamekamatishwa ukuta?

Hii tabia ya kukamatishwa ukuta ni yako wewe na familia yako hivyo unadhani watu wote wanayo hiyo tabia.
 
kama mtawala yeyote anadhani nguvu zake zitamlinda asitoke madarakani au atalazimisha amani kwa nguvu zake huku akihadaiwa na udhaifu wa mshindani wake.anajidanganya.

NG'OMBE AKICHIJWA HAACHI KUPAPARIKA
 
Back
Top Bottom