CUF yajitwalia Kambi ya Upinzani Bungeni!

Quinine, kuwaeleza jf ya kuwa Chadema walipotoka, CUF wamechukua nafasi zao ndio imegeuka mipasho, udaku na upuuzi?.
Hapana ilikuwa sehemu ya kazi. Wengi hawajui kwamba hiyo ni reporting style ya kiandishi.
 
Mkuu mimi nimeona mwenyewe!!! JK alionekana kama hakutarajia vile... Aliacha mdomo wazi kana kwamba anaonewa hivi...

Wabunge wa CCM walikuwa wanapiga makofi na kuzomea wale wa CDM, I loved the event!!! JK lazima apate ujumbe live!!!:smile-big:
Sure
 
Back
Top Bottom