CUF Waweweseka, Sasa wataka Serikali Mbili

Ukiolewa utafuga ndevu tena ? Ungangali kwishney sasa wanarembua tu , wana mimba changa wacha walee mimba
 
CUF imekwisha na ilibakia Come Unite From now,they have joined their CCM's. unajua Cuf kwa mazingira ni wapinzani ila viongozi wao wameamua kutokuwa waumini wa upinzani anymore!

Ni maeneo machache sana ambayo wana kuwa wapinzani.
 
Hivi maswala ya muungano ni misimamo na sera za vyama na sio maoni ya wananchi tena??????????
Ndio namshanaa makamu wa Rais Zanzibar anatishia wana CCM watakaopendekeza serikali tatu kuwa warudishe kadi. Sasa katiba ni ya ccm au nchi?
 
matatizo ya ndoa ndio haya... in the long run mume na mke huwa wanafanana akili CUF washafanana na ku adopt SERA za CCM
 
Katika pigo kubwa tulilopata
Tanzania ni CUF kutoka kuwa imara cha upinzani na kukosa mwelekeo
kabisa. Sera za CUF ambazo wamekuwa wanazihubiri miaka yote ni kuwa na
serikali tatu katika muungano. Nimesoma Mwananchi ya leo eti wabunge wa
Znz wakiwemo wa CUF wanasema wao wanataka tuendelee na serikali mbili na
kwamba wanaotaka serikali tatu wanataka kuleta fujo. Sasa CUF kama
chama mmebadili sera lini au kwa vile CCM wanasimamia hapo? Ndio maana
naipenda Chadema ina Msimamo
Hata kama huwaendi usiwasingizie. Waliotaka serikali 2 ni wabunge wa CCM Zanzibar. mimi nilihudhuria hiyo press conf.
 
Mapenzi ni matamu sana,waweza kunywa sumu ati. Kwanini umkwaze mwenzi wako kwa misimamo migumu?. NDOA NI KUVUMILIANA JAMANI AU HAMJUI?.
Katika pigo kubwa tulilopata Tanzania ni CUF kutoka kuwa imara cha upinzani na kukosa mwelekeo kabisa. Sera za CUF ambazo wamekuwa wanazihubiri miaka yote ni kuwa na serikali tatu katika muungano. Nimesoma Mwananchi ya leo eti wabunge wa Znz wakiwemo wa CUF wanasema wao wanataka tuendelee na serikali mbili na kwamba wanaotaka serikali tatu wanataka kuleta fujo. Sasa CUF kama chama mmebadili sera lini au kwa vile CCM wanasimamia hapo? Ndio maana naipenda Chadema ina Msimamo
 
Back
Top Bottom