CUF waigawia ofisi yao CHADEMA

CUF waigawia ofisi yao CHADEMA

Bora hata wengewapa kinamama wafungue mama ntilie kuliko kuwapa hao magwanda, wanaochochoea uvunjifu wa AMANI!

mama ntilie wasingekubali kwa sababu wanajua mtakuja kula bule na kubwaga chakula kisha muondoke na sefulia kwa kivuli cha mugambo ambao ndo nyie uvccm.mia
 
Namna nzuri ya kuunganisha nguvu, mshirikiane kuimarisha tawi hilo.

ni kweli mkuu lakini hawa cuf tumewambia mapema kwamba hapa sera zinazofuatwa ni za CHADEMA.mia
 
angalieni mambo lazima ofisi kuu iwe na taarifa

hapana sisi wale tunawapokea kama wanachama wapya siyo kwamba tunashirikiana katika mambo ya siasa.wale pale hamna cuf tena bali ni chadema.mia
 
Peoplez power hapo na wale wadau waliokuwa kafu adhani wamekuja jiunga na jeshi la ukombozi la kweli nasiyo longolongo ya kafu na sisiem
 
Back
Top Bottom