Wakuu nimekutana na umati mkubwa wa wafuasi wa chama cha CUF ukiandamana kuelekea viwanja vya Kidongo Chekundu. Haya maandamano kwa mujibu wa matangazo wanayopita wakiyatoa ni kwa ajili ya kupinga malipo kwa kampuni tata ya DOWANS.
What a nice way to respond to a fellow Tanzanian!!??:A S confused: Kwani jamaa amezungumzia dini au chama?! Mmmmmh... hii mbegu ya udini aliyeipanda naona ashaanza kuona nuru ya mavunoHumu hatuungi mkono waislamu kamwe. Waislamu hawajasoma na sisi tumesoma kwa hivo wao hatuwezi kushirikiana nao.
humu hatuungi mkono waislamu kamwe. Waislamu hawajasoma na sisi tumesoma kwa hivo wao hatuwezi kushirikiana nao.
Aloo !! Hapo Kova anapaogopa sana ,maana hao CUF waone hivyo hivyo kama wangelikuwa ni wao pale Arusha basi polisi wangekwisha zika mwenzao japo mmoja.Nauliza swali kwa afande Kova, kwani mtandao wenu wa intelijensia umesemaje safari hii?
Usilete usanii kwenye jumba la sanaa! Hakika wewe ni muislamu na pia ni CUF auHumu hatuungi mkono waislamu kamwe. Waislamu hawajasoma na sisi tumesoma kwa hivo wao hatuwezi kushirikiana nao.
Hivi ni lazima kila ukiona hoja uchangie hata kama huna la kuchangia? kutokusoma kwa waislamu na maandamano ya CUF vina uhusiano gani? Mtatiro anasalli Msikiti gani? Mbowe amesoma wapi? acheni ushabiki na mapenzi yasiokuwa na maana, mimi sitetei dini yoyote hapa ila nakerwa na watu kama huyu ambao mtaji wao wa kujenga hoja ni udini! kama unataka malumbano ya dini nenda jukwaa husuka ukampambane na kina X-plaster!Humu hatuungi mkono waislamu kamwe. Waislamu hawajasoma na sisi tumesoma kwa hivo wao hatuwezi kushirikiana nao.
Nimecheka sana Kheee KheeeDuh! kwa kifupi CUF inavyochukuliwa sasa ni heri ya TLP!!
watanzania haya maandishi yenu yanaiweka CCM mahali pazuri mno!!! mmekubali kugawanyika subirini sasa mtawaliwe.. yalishasemwa humu. hata kama wanadanganya au unafiki still wako upande mzuri kuwa wanaipinga serikali, mnafiki nani hapa anayemsifia Sita na Mwakyembe walio kwenye cabinet ya CCM au hawa maskini CUF na wananchi majirani zetu walioamua kupinga haya malipo!!!
unajua ukisoma sana ile meseji ya MIAFRIKA NDIVYO ILIVYO UNAWEZA KUPATA KICHEFU CHEFU ,still they sound like intellectuals....my foot!!!
Na wao wanataka kuonekana walikuwemo kwenye msafara wa mamba na kenge wamoHamana kitu pale yale ni danganya toto tu, CCM b, lakini tusiwalaumu wanajaribu kutafuta popularity ili angalau waendelee kusikika huku bara,
Wakuu nimekutana na umati mkubwa wa wafuasi wa chama cha CUF ukiandamana kuelekea viwanja vya Kidongo Chekundu. Haya maandamano kwa mujibu wa matangazo wanayopita wakiyatoa ni kwa ajili ya kupinga malipo kwa kampuni tata ya DOWANS.
CUF wameonyesha njia tuwaunge mkono tuache unafiki wa kudhani hakuna jambo jema linaloweza kufanywa na chama kingine cha upinzani zaidi ya CDM.Hongera CUF hongera J Mtatiro kazi mnayoifanya ni kubwa na ngumu ila ipo siku Tanzania yenye neema,haki,usawa kwa wote utaonekena.
mkuu kwanini hukujiunga na wewe???Wakuu nimekutana na umati mkubwa wa wafuasi wa chama cha CUF ukiandamana kuelekea viwanja vya Kidongo Chekundu. Haya maandamano kwa mujibu wa matangazo wanayopita wakiyatoa ni kwa ajili ya kupinga malipo kwa kampuni tata ya DOWANS.
sorry mkuu................vp bongo uliondoka siku nyingi sana???Ndugu mshikachuma asante kwa kunifumbua macho. Yamkini jamaa wanaojidai kuingiza udini kwenye mijadala mbalimbali humu JF ni wale wale walioianzisha wakiwa na mikakati na malengo maalumu ingawa kiuhalisia ni kitu ambacho hakipo. Ni mbinu chafu za "state organs" kujaribu kuvuruga mijadala kwa mwelekeo wa kui-dinisha.
Ni muhimu sana kujua mbinu za kukabiliana na nduli huyu ambaye kwake daima ni kugeuza hoja zote muhimu zikae kidini au kikabila kwa lengo la uchochezi ili apate wafuasi na pa kutokea. Watch out!
mkuu umesahau kua CUF nayo ni chama tawala kwa sasa.............CUF leo wameandamana, na siku kadhaa pia hapo nyuma waliruhusiwa. CDM inachomolewa, imekaaje hii? Au ndo yaleyale?
I think ur right abt the so called Nancy. Nimekuwa nafuatilia post zake, ni kama mtu ambaye anakurupuka tu. Sidhani hata kama anaujua uKristoUsilete usanii kwenye jumba la sanaa! Hakika wewe ni muislamu na pia ni CUF au
CCM. Hakuna great thinker anaeweza kuandika utumbo kama huo. Hiyo yote ku
taka kuwaaribia CDM ili waonekane wadini. pum....fu wewe. Pelekeni pumba zenu
hukohuko kwenye vyama vyenu vilivyochokwa na wananchi.