Tuko pamoja Mallaba nilikuwa nasahihisha tu ile sentensi ya CDM kufanya maamuzi mepesi au magumu.Hawa jamaa walishafunga ndoa na CCM, hapo hapo wanahitaji kujamiiana na CDM, je wana mapenzi kweli na CDM?
iNAWEZEKANA wakawa na nia ya ukombozi lakini approach yao haikuwa nzuri sana, kwani toka mwanzo wamekuwa wakiikandia CDM kama wao sio chama cha Upinzani.
Pili, kuwa kuwakubali kama wakiwa na nia nzuri will be a milestone idea kwa sababu kila hoja itakayoibuliwa bungeni wapinzani watakuwa na nguvu sana wala hawatayumbishwa...
Kweli ukipenda chongo utaona kengeza, kama ni hivyo ina maana CCM na wasomi wake wote inahangaishwa na wasomi wawili tu wa CDM, basi mbumbumbu mko wengi sana humo CCM.
Yes, Intelligent people are those who can work shoulder to shoulder with emenies.CDM mliona body language ya Lipumba na Mama Kombani siku ya kongamano UDASA? Najua kuna intelligent people ndani ya chadema wanaoweza kufanya maamuzi yenye akili.
You are quite right ndiyo maana CUF imejichimbia Pemba kwa hilo naungana na wewe.Vyama vyote ukipima kwa usomi chama chenye viongozi wasomi ni CUF peke yake
Vyama vyote ukipima kwa usomi chama chenye viongozi wasomi ni CUF peke yake
Vyama vyote ukipima kwa usomi chama chenye viongozi wasomi ni CUF peke yake
Nimezipenda hizo wizara ni kama JK na kina 6 vile.Ninawashauri CDM watumie busara ya hali ya juu kabisa katika hili. Busara yangu inanieelekeza kwanza wakae pamoja na kusafisha hali ya hewa iliyojitokeza wakati wa mdahalo. CDM ipime kama maombi yao ni ya dhati. Wakisharidhika hilo, basi wapewe nafasi tatu za mawaziri vivuli. wasipewe wizara nyeti hata moja. CUF wapewe wizara ya Michezo na Utamaduni na Wizara ya Mazingira; NCCR wapewe wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, TLP asipewe kitu kwani huyu ni mchafuzi na ndumila kuwili. Baada ya hapo waanze kupimwa utendaji wao. Wakionekana kuzorotesha mambo, basi waondolewe.
You are quite right ndiyo maana CUF imejichimbia Pemba kwa hilo naungana na wewe.
CUF ni chama tofauti na CCM na CHADEMA.. CUF kimekaa kitaifa zaidi kina wabunge sehemu zote za Tanzania. Bara kina viti vya ubunge. Pemba kina viti vya ubunge, Unguja kina vitu vya ubunge. nadhani umeona tofauti ya CUF na vyama vingine
Mbona una hangaika mkuu? nataka kukufananisha na tambwe.. nini wasiwasi? kwamba cuf mtakataliwa na chadema? subiri vichwa vilivyo enda shule viwatathmini kama kuna umuhimu wa kuwajumlisha mtajumlishwa. kikubwa maendeleo ya kweli tunahitaji, sio kuchakachua mpaka noti mpya. laanakum shishiemu.
Sawa nani kakataa basi undeni serikali kivuli kama mnaweza, wakati huo huo tunaishughulikia barua yenu ya posa tuone kama hamjaolewa sehemu nyingine lakini habari za kiintelijensia tulizo nazo zinasema mmewekwa kinyumba unaweza kanusha hilo.CUF ni chama tofauti na CCM na CHADEMA.. CUF kimekaa kitaifa zaidi kina wabunge sehemu zote za Tanzania. Bara kina viti vya ubunge. Pemba kina viti vya ubunge, Unguja kina vitu vya ubunge. nadhani umeona tofauti ya CUF na vyama vingine
You are totally confused upstairs!!! Unless you elucidate.
Wewe unajua kwa nini SABODO kada CCM anawapa Chadema pesa? Muhindi mtu hatari mtakuja juta. Watch out!!
Vyama vyote ukipima kwa usomi chama chenye viongozi wasomi ni CUF peke yake
Mzee SABODO ni muadilifu, pesa anazowapa CHADEMA zimepatikana kihalali kama za "NDESAPESA" tofauti na pesa za mwivi RA. Ingekuwa Mzee Sabodo amepata pesa hizo kwa kampuni kama Kagoda, Door Ones, Meremeta ama Richmonduli wangesha mfilisi!
Kama ni kujuta, tunajuta kwa kumuachia mtu hatari zaidi Muiran Rost al Aziz kututawala na si vinginvyo. Tumo kwenye "UTUMWA MAMBOLEO" Tunamtumikia yeye!
Sabodo ni muuza unga..kama mbowe hizo pesa ni halali?