CCM imesema haipo tayari kutoa talaka kwa huyo kigoli wake CUF kwani wake zake wengine Kama TLP UDP NCCR na DP wamezeeka na kuchoka sanaMe nawashauri cuf wadai talaka tu
Nipo Mtwara Huku kichapo kinatembea kwa kwenda mbele lakini muda si mrefu watu wataanza kujitoa muhangaNawaonea huruma mno wananchi wa Mtwara ,ni kweli kabisa hakuna habari za mtwara tena inasikitisha mno, sasa cuf watambue kuwa nyuki hakumbatiwi
Mkuu nani akujuze kama unamashaka na unachojuzwa, cha maana funga safari nenda mtwara, hiii ni njia bora zaidiSarcastic answers hayawezi kusaidia hata kidogo.. Leo wa mtwara tumebahatika kinachoendelea na wengi wakijibu kimzaha na kuwadhijaki cuf. Lakini si siku nyingi tu hapa, watu hawa hawa walisema damu iliyomwagika ni ya watanzania ukombozi unakaribia.. Sijui ni kwa sababu hao watz walikuwa wa cdm ama lah?
Katika tukio la mtwara, kama kumbukumbu zangu zipo sahihi watu walio wengi humu katka nyuzi mbalimbali zilizohusisha mtwara kwa kipindi kile walitoa michango kuonesha jinsi wananchi walivyochukia jinsi ya polisi wanavyoendesha operesheni zao juu ya raia na kuanza kusifia kuingia kwa jeshi na kufanya doria.. Wengi walisema jeshi walikuwa waelewa na watu waliwafurahia na kutii kila walichokuwa wanaamriwa kufanya
Maswali machache madogo ni kwanini watu wachache tu wakamatwe na kufanyiwa hayo yote? Ama kwa nini vyombo vya habari viache kutoa taarifa juu ya mambo yanayojiri mtwara? Ama huku kuteswa kuna uhusiano wowote na watu ambao jeshi liwe la polisi au wananchi linadhani wanahusika ama walihusika katka uchochezi ambao wengi tunauita ukombozi.. Juu ya ujenzi wa bomba gesi ya mtwara??? Naamini jeshini kuna sheria na utii wa hali ya juu.. Ningesema ni udharimu wa hali ya juu kama watu hawa wanakamatwa na kupelekwa kusiko julikana.. Ila ningependa kujua zaidi
Kwanini uambiwe umiza mtanzania mwenzako nawe kama zuzu ukubali? Majeshi yetu yanatumiwa vibaya sana na serikali ya CCM.
Wakati unakuja wananchi watasema hapana, hapo ndipo machafuko yatatokea na uasi wa wananchi dhidi ya serikali yao.
ENOUGH !!!
Mtwara nao wanafiki tuu CCM walipataje kura huko!?Mi siamini kama hali ipo hivyo!suala la kutesa watuhumiwa wa uhalifu sio geni Tanzania.Wapo wengi wameteswa ili wakiri uhalifu wanaotuhumiwa nao na pengine wengi hawajui kuwa wapo wengi magerezani wa jinsi hiyo.Iwapo jeshi lingekuwa linatesa raia kweli,CCM ni wazi wasingeshinda kiti cha udiwani huko Mtwara.Sasa kama hao wanaoteswa taarifa zao hazitolewi na vyombo vya habari,huoni wao waliamua kutoa taarifa kwa njia ya kura?Je ni kweli haya yanaweza kutokea kwa chama cha wastaarabu kama mwenyekiti wao alivyobainisha?Siamini habari hizi.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
kama nikweli mbaya sana hiyo!Nipo Mtwara Huku kichapo kinatembea kwa kwenda mbele lakini muda si mrefu watu wataanza kujitoa muhanga