CUF na Umaskini

gwang taek

Member
May 5, 2014
60
84
Ngome zote za chama cha wananchi cuf kwa miaka mingi hazikuwa na maendeleo yoyote.. Hapa nazungumzia lindi, Mtwara, Rufiji, Pemba, Tanga, Kigoma, Tabora nk.

Hiyo ni mikoa yenye majimbo ambayo yana umasikini na ufinyu wa elimu.

Sasa tutegemee makubwa kutoka ACT WAZALENDO baada ya 2025 katika mikoa hiyo?

maana hadi sasa sioni kama ccm au chadema wakiwa na matumaini yoyote huko.

Pia kwanini CUF na ACT hukimbilia mikoa inayochechemea kiuchumi?
 
Hayo maeneo mbona yanajulikana yaliathiriwa pakubwa na ile dini ya yule mkoloni mpenda biashara ya utumwa?

Umeandika ukiwa unajua chanzo cha umasikini wa maeneo hayo kwa kututupia msala tuusanue. Mahali palipo na umasikini pana ujinga na maradhi pia.

Yaani maadui watatu wa taifa tangu tupate uhuru toka kwa mkoloni muingereza serikali iliamua kupambana na ujinga, umasikini na maradhi.

Hatujawahi kutangaziwa kama maadui hao tumewashinda au bado tunaendelea kupambana nao.

Hayo maeneo kwa kweli wananchi waamke
 
Back
Top Bottom