CUF na serikali damu damu

CUF na serikali damu damu

Anaetumia pesa za walipa kodi kumlipa yaya, wa hawara (mke wa mtu) aliyezaa nae nje ya ndoa, perdiem zaidi ya laki kwa siku na kumchukulia hoteli ya zaidi ya laki kwa siku leo anaweza kupanda jukwaani kuyasema hayo, tena bila ushahidi? kweli wajinga ndio waliwao.

TUNTEMEKE yuko wapi?

Nadhani huna point leta hoja zinazopinga huo ukweli wa docta badala ya kuja na interest zako usifikiri wote tunanufaika na ufisadi wenu.Wewe badala ya kuomba ushahidi unaleta ngonjera watu tuna hasira na wezi wa mali ya umma,kwa nini cuf wasitumie ruzuku kufanya hayo unayoyataka
 
Nadhani huna point leta hoja zinazopinga huo ukweli wa docta badala ya kuja na interest zako usifikiri wote tunanufaika na ufisadi wenu.Wewe badala ya kuomba ushahidi unaleta ngonjera watu tuna hasira na wezi wa mali ya umma,kwa nini cuf wasitumie ruzuku kufanya hayo unayoyataka

Hii ni halali kwako na si matumizi ufisadi wa mali ya umma:

Anaetumia pesa za walipa kodi kumlipa yaya, wa hawara (mke wa mtu) aliyezaa nae nje ya ndoa, perdiem zaidi ya laki kwa siku na kumchukulia hoteli ya zaidi ya laki kwa siku leo anaweza kupanda jukwaani kuyasema hayo, tena bila ushahidi? kweli wajinga ndio waliwao.
 
Slaa mwenyewe mwizi tu, au mpaka tuntemeke aje tena atoe madudu ya huyu mzee ndio mkubali?
 
  1. Kasma gani inayotumika kwa matumizi hayo ya fedha?
  2. Je fedha hizi kwa ajili ya vyama vya CCM na CUF zinapitishwa na bunge au baraza la wawakilishi
 
Maalim Seif hana tofauti na Mbowe, Seif anatumia fedha za serikali kupitia cheo chake cha umakamu Zanzibar na Mbowe anatumia kwa cheo chake cha KOB. Ngoma droo wote wachumia tumbo.

utofauti upo tena mkubwa kama huuoni pole sana
 
Asili yake ni Iran huyo sio Oman, sio kila anaeonekana mweupe ni mwarabu jamani, zenji kuna wahindi,wairan na warabu,waomani walisha ondoka huko.

mi nashangaa hawa watu weupe wanataka kujifanya kisiwa chao,wakati historia inaonyesha kabisa mwanzo walikuwa wakiishi makabila mchanganyiko ya watu weusi baada ya kutawaliwa ndo mchanganyiko wa damu ya watu weusi na weupe ikaanzia hapo,lakini leo watu wenye rangi nyeupe wanajiona kwao ukiuliza mi mzaliwa wa kisiwani,acheni ujinga nyie,sana sana kitakachowatokea baadae mtajuta muungano unawasitili sana ila hamjijui
 
Heshima mbele wana jamvi wenzangu,
Dk. Slaa ametoboa siri ya namna CUF ilivyoamua kuwa sehemu ya ufisadi kwa kodi za watanzania, baada ya kufichua barua mbili ambazo Seif aliomba fedha kwa ajili ya kuhudumia chama na safari za kifamilia za Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar.

Alisema barua ya kwanza ya Katibu Mkuu wa CUF Maalimu Seif kwenda serikalini inaomba kuwezeshwa kufanyika kwa mkutano wao wa chama kwa siku tatu katika eneo la Bagamoyo kwa gharama za sh milioni 34.

Dk. Slaa alisema barua ya pili ni ile inayoomba dola za Kimarekani 10,000 kwa ajili ya nauli ya kwenda Nairobi Kenya kwa mke wa Maalim Seif kwa safari ya kifamilia, ikiwa ni sawa na dola 1,000 kwa siku.

Aidha Dk. Slaa alisema katika taarifa hiyo inaonyesha pia kuna fedha za dharura kwa ajili ya matumizi ya Makamu wa Rais ambayo ni dola 3000 na kudai kuwa huo ni ufisadi usioweza kuvumiliwa na wapenda haki.

Alisema kwa mfumo huo wa CUF kutegemea hata katika mikutano yake ya chama fedha za serikali, ni ushahidi wa waziwazi kuwa inafanya kila kitu kwa kuongozwa na serikali ya CCM.

Jamani huu ni wizi wa waziwazi, na ndo maana CUF nayo inakufa, CDM tukaze buti tuondoe ufisadi na ujinga wa kutumia hovyo rasilimali ya nchi kwa private and personal issues, maana kesho tutasikia wanaomba posho za bibi, mjomba, na kufanikisha harusi ya mdogo wake rafiki wa bibi mzaa shangazi kwa mke mdogo wa babu aliyeko omani

Source: Mkutano wa CDM tandahimba

Hii inasikisha sana,CDM endeleeni kukaza buti hadi kieleweki 2015
 
Tena hao CUF ndiyo watajizika wazima wazima pindi bwana wao nyinyiemu atakapopigwa chini na nguvu ya umma. It is just a matter of time.[/QUOTE
]WACHENI KUMSEMA MKE WA MTU NYIE ANA MIMBA SASA HIVI SUBIRINI HATA AZAE LOL BHIKOLA UNA MATATIZO.
DONT TEL ME!NAE AMETAFUTA MTOTO WA KUKUMBUKA WAKATI AKIWA MAKAMU KAMA BABA LIZ ALIVYOFANYA,watbaki na historoa tu,eti huyu nilimzaa nikiwa raiz wa jm.ahahahaha.

 
Tena hao CUF ndiyo watajizika wazima wazima pindi bwana wao nyinyiemu atakapopigwa chini na nguvu ya umma. It is just a matter of time.[/QUOTE
]WACHENI KUMSEMA MKE WA MTU NYIE ANA MIMBA SASA HIVI SUBIRINI HATA AZAE LOL BHIKOLA UNA MATATIZO.
Nivea si bure; wewe utakuwa nurse wa huyu mjamzito. Mbona sisi tulikuwa hatuna habari za ujauzito, ha ha ha ha haaa!
 
Kwa mtindo huo wa CUF ya Maalim Seif kujineemesha vinono kiasi hicho, ndugu zetu Visiwani wanao kula sababu ya kuchukia MUUNGANO WA CCM NA CUF kula mabua pamoja mgongoni mwao walalahoi wenzetu hawa.
 
Kumbe Maalimu Seif ana njaa utafikiri anatokea somalia hata kwenye uchomaji wa makanisa hakutoa tamko kama CUF alisubiri mume wao CCM aongee
 
Heshima mbele wana jamvi wenzangu, Dk. Slaa ametoboa siri ya namna CUF ilivyoamua kuwa sehemu ya ufisadi kwa kodi za watanzania, baada ya kufichua barua mbili ambazo Seif aliomba fedha kwa ajili ya kuhudumia chama na safari za kifamilia za Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. Alisema barua ya kwanza ya Katibu Mkuu wa CUF Maalimu Seif kwenda serikalini inaomba kuwezeshwa kufanyika kwa mkutano wao wa chama kwa siku tatu katika eneo la Bagamoyo kwa gharama za sh milioni 34. Dk. Slaa alisema barua ya pili ni ile inayoomba dola za Kimarekani 10,000 kwa ajili ya nauli ya kwenda Nairobi Kenya kwa mke wa Maalim Seif kwa safari ya kifamilia, ikiwa ni sawa na dola 1,000 kwa siku. Aidha Dk. Slaa alisema katika taarifa hiyo inaonyesha pia kuna fedha za dharura kwa ajili ya matumizi ya Makamu wa Rais ambayo ni dola 3000 na kudai kuwa huo ni ufisadi usioweza kuvumiliwa na wapenda haki. Alisema kwa mfumo huo wa CUF kutegemea hata katika mikutano yake ya chama fedha za serikali, ni ushahidi wa waziwazi kuwa inafanya kila kitu kwa kuongozwa na serikali ya CCM. Jamani huu ni wizi wa waziwazi, na ndo maana CUF nayo inakufa, CDM tukaze buti tuondoe ufisadi na ujinga wa kutumia hovyo rasilimali ya nchi kwa private and personal issues, maana kesho tutasikia wanaomba posho za bibi, mjomba, na kufanikisha harusi ya mdogo wake rafiki wa bibi mzaa shangazi kwa mke mdogo wa babu aliyeko omani Source: Mkutano wa CDM tandahimba
hii inaonyesha kiasi gani Cuf ni damu moja na ccm- ngoja wafe wote kisiasa
 
Mkuu tuanikie vitu ili wale wa chuya 2015. Huu ni wizi na ufisadi wa hali ya juu. Maalimu jamani tangu zamani mimi nilijua anatafuta ulaji tu. He is the product of GAMBAZ

Umeona Brazilian eeh!!
na ndo maana kaamua kugombana na Hamad Rashid baada ya kuona jamaa naleta threat kwenye kitumbua chake. RIP cuf na zengwe lenu, 2015 ni karibu sna
 
Slaa mwenyewe mwizi tu, au mpaka tuntemeke aje tena atoe madudu ya huyu mzee ndio mkubali?

Uzuri wa sisimademu a.k.a.k sisimagamba hawana historia ya kukamata wala kufunga wezi, maana tunajua sehemu ya wezi ni segerea na ukonga, sasa subiri chandimu ichukue dola ndo utajua kama silaha ni mwizi au jambazi au silaha kweli ya kivita (B52)
 
CCM imewashinda?

Taarifa nyeti za serikali zimebanwa siku hizi na umaarufu wa wizi wa nyaraka umeisha sasa unakurupukia kwa CUF?

Kweli Mitanganyika ina wivu wa kike kama alivyosema Mh 6

We mbona hukujibu tuhuma za mchumba wako!

Inauzi sana, nitapasua Laptop sasa hivi!

jst cool down men! Unaposema mitanganyika una maana gan! Kumbuka umeme unatoka wapi? Ukipata jibu basi tulia maana tukiamua tutaenda tu pale galanos tanga kuchomoa nyaya alafu tuone hata hii JF mtaipatia wapi!
 
jst cool down men! Unaposema mitanganyika una maana gan! Kumbuka umeme unatoka wapi? Ukipata jibu basi tulia maana tukiamua tutaenda tu pale galanos tanga kuchomoa nyaya alafu tuone hata hii JF mtaipatia wapi!

Umeme unakuja bure huku znz?

Mkuu wangu tatizo kuna historia wakuu wameificha, umeme ilikuwa ni makubaliano kati ya Nyerere na Karume na kuna historia ndefu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom