Chuma.
Kama Mtei anaona kaonewa awafuate CUF sio hapa JF.mimi bado naamini maneno ya CUF,Nyerere aliondoka madarakani mwaka 1985 lakini miaka kumi mbele 1995 aliweza kumuweka MKAPA kwenye nafasi ya urais wa Tanzania huku akiwa si rais wa nchi wala mwenyekiti wa CCM.
Mtei aliweza kuwaingiza BOT watu wa kabila lake na jamaa zake wengi tu kama Mwenyekiti wa Chadema Taifa hivi sasa ambaye ni mkwe wake na alikuwa hana elimu ya kumfanya aajiriwe BOT.sasa anaposema alikuwa na perfomance ya juu sio kweli kwani aliajiri watu wengi wa kabila lake na ndugu zake.
kanda2,
Kwanza nenda shule ukajifunze Kiingereza. Pili Mzee Mtei aliachia benki mwaka 1974 wakati huo Freeman akiwa na umri wa miaka 13. Unataka kutuambia kuwa Mzee Mtei alimpa Freeman kazi benki at the age of 13? Come on. Katafute uwongo mwingine.
Mkuu unaonyesha wazi kwamba una-attack personality na sio hoja. Na kama una hoja can you plz summarize hoja yako maana unazungumza zungumza kama wale wanawake wa mipasho. Ukijibiwa hili unazusha lile, na ni kama vile unatafuta sympathy kutoka watu fulani humu JF and all of them in vague formality. Kuhusu suala la kiingereza unachokiita kizungu nadhani hufahamu taratibu za JF, lugha zote hizi i.e kiswahiLi na kiingereza ruksa na kama hufahamu kati ya lugha mojawapo omba utafsiriwe or else kaa kimya......... All in all you arguments are not constructive and it is people like you ambao mnaifanya au kustawisha Tanzania iwe kama ilivyo sasa.
Chuma.
Kama Mtei anaona kaonewa awafuate CUF sio hapa JF.mimi bado naamini maneno ya CUF,Nyerere aliondoka madarakani mwaka 1985 lakini miaka kumi mbele 1995 aliweza kumuweka MKAPA kwenye nafasi ya urais wa Tanzania huku akiwa si rais wa nchi wala mwenyekiti wa CCM.
Mtei aliweza kuwaingiza BOT watu wa kabila lake na jamaa zake wengi tu kama Mwenyekiti wa Chadema Taifa hivi sasa ambaye ni mkwe wake na alikuwa hana elimu ya kumfanya aajiriwe BOT.sasa anaposema alikuwa na perfomance ya juu sio kweli kwani aliajiri watu wengi wa kabila lake na ndugu zake.
Kanda2,
Inaonekana uwongo ni mojawapo ya sera zako. Kabwe atakuja hapa kukusuta kama kweli alijiunga na Chadema akiwa na umri wa miaka 14. Na kwa hiyo Freeman alifanya kazi benki akiwa na umri wa miaka 13. Pole sana bwana mdogo.
nimegusa pabaya leo nitatengeneza maadui wengi,usishangae nikafungiwa,tayari nimepewa shutuma nzito kuwa ni mdini kwa kumuhoji huyu mzee ambaye ni NGULI WA HISTORY.kanda2 thanks kwa Kusimamia Hoja!!!
Kwanza ilikuwa 14. Sasa ishakuwa chini ya 18? Lipi ni lipi?Zitto Kabwe amekwisha eleza kwenye mada yake ya kutogombea ubunge. amekiri alipewa kadi ya chadema akiwa na chini ya miaka kumi na nane.chini ya uenyekiti wa Mzee huyu Mtei aliyeshindwa kuikwamua BOT kama alivyoshindwa hata kusimamisha mgombea urais kwa tiketi ya Chadema kwenye kipindi chake chote cha uenyekiti Chadema.
alishindwa kukipaisha Chadema wakati akiwa na elimu ya POLITICAL SCIENCE NA HISTORIA yaani fani yake.angeweza kuinua uchumi wetu?
vipi mwenyekiti anampa uanachama mtoto wa chini ya miaka 18?
Pole sana,Zitto Kabwe amekwisha eleza kwenye mada yake ya kutogombea ubunge. amekiri alipewa kadi ya chadema akiwa na chini ya miaka kumi na nane.chini ya uenyekiti wa Mzee huyu Mtei aliyeshindwa kuikwamua BOT kama alivyoshindwa hata kusimamisha mgombea urais kwa tiketi ya Chadema kwenye kipindi chake chote cha uenyekiti Chadema.
alishindwa kukipaisha Chadema wakati akiwa na elimu ya POLITICAL SCIENCE NA HISTORIA yaani fani yake.angeweza kuinua uchumi wetu?
vipi mwenyekiti anampa uanachama mtoto wa chini ya miaka 18?
sina hakika juu ya kauli ya ufisadi wa chadema kaizungumza nani ktk cuf. I hope sio lipumba. Kama maharagande basi tumuonee huruma na matumaini yangu prof.lipumba anaweza kumuweka chini na pia kuwaomba radhi akina hao viongozi walotajwa.
Sijui kwanini cuf au chadema kila mmoja anampiga vita mwezie wakati wote hawana serikali....sijui nani kaanza na mwezie anamaliza!!! Nionavyo ccm ndio wameplay a big role..either ikiwa ccm as a think tank yao au wafanyabiashara wenye "interest ktk siasa" ambao wanapenda kumuona alie madarakani ni mshikaji wao au mwenye ushawishi kwake...!!
Mafisadi either mapapa au nyangumi kila mmoja hapendi kuitwa hivyo...kama wanaona kuna oppurtunity ya kuwatumia wanasiasa ili kuzima au kuwamulika wa upande mwingine kwake yeye ni "mukidy"="poa"..
Atlast wananchi hawajui wanapelekwa wapi...na atlast ccm ndio kitaibuka kidedea!!!
Tatizo mnabwata vibaya sana hivi ,viongozi wenu hawajawahi kushutumiwa mbona mnaonekana kama wageni ndani ya siasa ,yaani mnatisha vibaya sana kuwa viongozi wa CHADEMA wasivutwe ukosi ,wandugu hilo haliwezekani kabisa kabisa na hao viongozi wanalielewa kwa kina jambo hilo.Maskini prof Lipumba,ndio ameishia hapo!
Sijaelewa vizuri,haya matamshi yametolewa na Prof au viongozi wa mitaa wa CUF?
Hana haja ya kupambana na chama bali kuelezea maovu ya wanachama na kueleza plan B ya kuondoa matatizo ya wananchi
Pole sana,
Ila tu unaonyesha ulivyokosa life experience references na world econo-political trends:
- Reagan - Hakuwa Mchumi aliikoa Marekani ilipotaka kuingia recession
- John Major - Alikuwa kondakta wa basi akafikia uwaziri mkuu na kuendesha nchi vizuri tu
- Lula - Brazil hakupata hata kufika elimu ya sekondari - amedalisha Brazil na economy imeenda juu
- Deng Xiaoping- Kitabu hakikupanda lakini ndiyo kabadlisha China leo imefika hapo ilipo
Mifano ni Mingi - kwa taarifa yako tu watawala wengi wa Marekani na nchi za Ulaya hadi Asia hata Mawaziri wao wengi ni Wana-Historia, Siasa, Lawyers etc Unajua Obama kasomea nini?
Sina maana kuwa Elimu si lolote; huwezi Ku-discredit Elimu ya Mr. Mtei; he was a Graduate of high level; and had experinced and also he has pointed the way he used his ecomists below him! Acha kupoint vitu ambavo havieleweki.
In other parts of the world people utilised the same calibre of people and they developed; take another example of Mr. Lee Kwang Ye of Singapore. He studied History together with Mr. Nyerere; and he changed the face of Singapore.
You are saying Mr. Malima was a greatest Economist; yes, but what did he do? We measure our leadership from our achievements!
Remember that, the best cat is the one who catches the mouse!!
wako wengi ZUMA,TSHANGARAI N.K
JOHN MAJOR ALIFELI NDIO MAANA TONY BLAIR AKASHINDA KWA WEPESI MAY 1997.SOMA THE AUTOBIOGRAPHY YA JOHN MAJOR ISBN 0002570041 UKURASA WA 659 ANAKUBALI ALIVYOFELI KIUCHUMI.
Obama kasoma sheria Harvard nimesoma vitabu vyake vyote viwili alivyoandika,namfuatilia toka alipoongea kwa mara ya kwanza kwenye mkutano wa DEMOCTRATIC 2004
Mzee Mtei alishindwa kumshauri Nyerere tutaingia kwenye vita vya Uganda kwa kumdanganya Nyerere kuwa tutakaa na njaa kwa miezi 18 tu na baada ya hapo uchumi wetu utakuwa sawa.toka 1978 uchumi haukukaa sawa hadi alipoingia mzee Mwinyi November 1985.
kipindi cha Nyerere watu waliosomea masomo mengine ndio waliokabidhiwa vyama vya ushirika,RTC,ugawaji n.k na hatimaye kuyaua mashirika na makampuni.
Mtei hana jipya ameshindwa kuiinua Chadema itakuwa na Uchumi?
Kama unamwamini sana basi atakuwa amekudanganya ,ila kama unafuata siasa hilo lina sehemu yake !najua nakwenda off topic kidogo .........ila zitto kabwe alisema alipewa kadi ya chama akiwa form 3( au form 4?)
kama ni hivyo .....alipewa kadi akiwa chini ya umri wa miaka 18 au zitto kabwe katudanganya?