CUF na NCCR jihadharini sana na CHADEMA

CUF na NCCR jihadharini sana na CHADEMA

Aina hii ya siasa hata kibwana Dachi wa Magic Fm amesema leo serikali inaliandalia taifa matatizo kwa kutumia kama kete ya siasa

Mkuu watu hawa wenye mawazo ya kidini dini na kuyaingiza kwenye siasa ili kuongeza chuki ni wabaya sana ,ila tuendelee kuwaelimisha maana wapumbavu na wajinga lazima tuwe nao humu duniani.
 
Noted Mkuu
 
Mbona pro ccm mlikuwa mnaitaka cdm na vyama vingine kuunganisha nguvu,leo imekuwa mbaya ten?
 
Naomba niwataadhalishe cuf na nccr kujihadhali sana na chadema. Kuna haja ya vyama hv viwili kuangalia upya mahusiano yao upya na cdm maana cdm ni chama kilichobobea ktk siasa za kususia, kejeli na vurugu.
Cuf na nccr ndo vyama ambavyo vilikuwa vimebaki vya upinzan vnafanya siasa za upinzani kistaarabu lakn muungano wao na cdm utawacost. Nawaasa watafakari haraka na wachukue hatua vingnevyo watajijingea pcha mbaya kwa watanzania na ndo utakuwa mwsho wa upinzan tanzania
Wivu wa kitoto. Ccm ni janga lazima tuawatoe madarakani
 
Naomba niwataadhalishe cuf na nccr kujihadhali sana na chadema. Kuna haja ya vyama hv viwili kuangalia upya mahusiano yao upya na cdm maana cdm ni chama kilichobobea ktk siasa za kususia, kejeli na vurugu.
Cuf na nccr ndo vyama ambavyo vilikuwa vimebaki vya upinzan vnafanya siasa za upinzani kistaarabu lakn muungano wao na cdm utawacost. Nawaasa watafakari haraka na wachukue hatua vingnevyo watajijingea pcha mbaya kwa watanzania na ndo utakuwa mwsho wa upinzan tanzania

Tangu lini Mchawi akawa mshauri wa masuala ya kiroho?
 
Naomba niwataadhalishe cuf na nccr kujihadhali sana na chadema. Kuna haja ya vyama hv viwili kuangalia upya mahusiano yao upya na cdm maana cdm ni chama kilichobobea ktk siasa za kususia, kejeli na vurugu.
Cuf na nccr ndo vyama ambavyo vilikuwa vimebaki vya upinzan vnafanya siasa za upinzani kistaarabu lakn muungano wao na cdm utawacost. Nawaasa watafakari haraka na wachukue hatua vingnevyo watajijingea pcha mbaya kwa watanzania na ndo utakuwa mwsho wa upinzan tanzania

Mchungaji Mtikila a.k.a MTANGANYIKA HALISI ameshasisitiza kesho lazima arudi bungeni kutoa mchango wake kwani ni haki yake.......
 
Naomba niwataadhalishe cuf na nccr kujihadhali sana na chadema. Kuna haja ya vyama hv viwili kuangalia upya mahusiano yao upya na cdm maana cdm ni chama kilichobobea ktk siasa za kususia, kejeli na vurugu.
Cuf na nccr ndo vyama ambavyo vilikuwa vimebaki vya upinzan vnafanya siasa za upinzani kistaarabu lakn muungano wao na cdm utawacost. Nawaasa watafakari haraka na wachukue hatua vingnevyo watajijingea pcha mbaya kwa watanzania na ndo utakuwa mwsho wa upinzan tanzania

Kwahiyo we ndio mshauri wa nccr & cuf? huna lolote ila unaogopa umoja ulioundwa!
 
Naomba niwataadhalishe cuf na nccr kujihadhali sana na chadema. Kuna haja ya vyama hv viwili kuangalia upya mahusiano yao upya na cdm maana cdm ni chama kilichobobea ktk siasa za kususia, kejeli na vurugu.
Cuf na nccr ndo vyama ambavyo vilikuwa vimebaki vya upinzan vnafanya siasa za upinzani kistaarabu lakn muungano wao na cdm utawacost. Nawaasa watafakari haraka na wachukue hatua vingnevyo watajijingea pcha mbaya kwa watanzania na ndo utakuwa mwsho wa upinzan tanzania
Hahahaa unaanzisha thread kila dakika subiri dawa ikuingie pambaf
 
Naomba niwataadhalishe cuf na nccr kujihadhali sana na chadema. Kuna haja ya vyama hv viwili kuangalia upya mahusiano yao upya na cdm maana cdm ni chama kilichobobea ktk siasa za kususia, kejeli na vurugu.
Cuf na nccr ndo vyama ambavyo vilikuwa vimebaki vya upinzan vnafanya siasa za upinzani kistaarabu lakn muungano wao na cdm utawacost. Nawaasa watafakari haraka na wachukue hatua vingnevyo watajijingea pcha mbaya kwa watanzania na ndo utakuwa mwsho wa upinzan tanzania

CCM MWAKANI KAZI MNAYO MAANA HII NGUVU ILIYOUNGANISHWA KWA JINA LA UKAWA INAWATESA SANA.
lazima mtoke madarakani kwa sababu mzoea vya kunyonga na kuishi kwa uongo. mbona vyama vya upinzani vikionyesha ushirikiano suruali zinawashuka na kujaa mimavi mwili mzima.
kama wewe mtoa mada unafanya cheap politics.za kusaka tonge

Juzi na jana mlikuwa mnaionya chadema iachane na cuf, leo CD imebuma mmewageukia cuf na nccr.
kaeni chini dawa iwaingie waongo na wezi wakubwa nyie ccm
 
haiwez kuchukua miez mitatu kabla hili genge la ukawa halijavunjika
 
Hivi Lukuvi alisema Jeshi linachukua nchi lini?

Mkuu,

Jeshi letu halijachukua nchi pale watu wslipopora mamilioni ya pesa pale BOT, lakini eti litachukua nchi tu pale ambapo WANANCHI WATATAKA SERIKALI TATU!!!!

Haya ni matusi makubwa sana kwa jeshi letu!

MTANGANYIKA DAIMA!
 
Back
Top Bottom