Hydrobenga
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 1,127
- 212
CHADEMA ni CCM F maana kila siku walikuwa wanapiga kelele humu kuwa CUF ni CCM B na MASHOGA
Naomba niwataadhalishe cuf na nccr kujihadhali sana na chadema. Kuna haja ya vyama hv viwili kuangalia upya mahusiano yao upya na cdm maana cdm ni chama kilichobobea ktk siasa za kususia, kejeli na vurugu.
Cuf na nccr ndo vyama ambavyo vilikuwa vimebaki vya upinzan vnafanya siasa za upinzani kistaarabu lakn muungano wao na cdm utawacost. Nawaasa watafakari haraka na wachukue hatua vingnevyo watajijingea pcha mbaya kwa watanzania na ndo utakuwa mwsho wa upinzan tanzania
Kibano kimekolea ee..! hivi bado mnalipwa buku saba ileile au mmeongezwa kipindi hiki cha BMK.!??
kwa style hiyo hata ccm nao watajiita wananchi wazalendo wanaotetea maslahi ya nchimkuu na wewe ni interahamwe nn? Katiba haina vyama, na vyama hivi havijaungana kama vyama, wameungana kama watanzania wenye malengo yanayofanana kutetea maoni ya wananchi yasichakachuliwe na mainterahamwe!
Hili ilikuwaje CHADEMA ikaungana na "CCM B?"
Huwa napata tabu sana kupata jibu ninapofikiria ni kwa nini akiri ndogo ya akina Mbowe inaendesha akiri kubwa za akina Lipumba. Mfano,Lipumba alipopewa umwenyekiti wa Bunge maalum katika zile nafasi 5, ni Mbowe aliyemshauri akatae uteuzi huo na alikataa kweli. Baadae Mbowe aliteuliwa yeye na akadaka tonge hilo. Siku UKAWA wanatoka nje ya ukumbi ilikuwa ni Mbowe ndo atangaze kuondoka ukumbini kwa sababu ndiye mwenyekiti wa UKAWA. Lakini jamaa alivyochungulia dili na kwa kujua madhara yake kwa jamii, akaamua kumchomekea Lipumba nae bila kutafakari kaingia choo cha kike. Sasa kituko ni kwamba huko chooni kamkutilizia mkwewe ndo kachojoa. Mhe.Lipumba, kwa nini lakini???????
We yanakuhusu nn kama sio umbea.intalahamwe mna shida kweliNaomba niwataadhalishe cuf na nccr kujihadhali sana na chadema. Kuna haja ya vyama hv viwili kuangalia upya mahusiano yao upya na cdm maana cdm ni chama kilichobobea ktk siasa za kususia, kejeli na vurugu.
Cuf na nccr ndo vyama ambavyo vilikuwa vimebaki vya upinzan vnafanya siasa za upinzani kistaarabu lakn muungano wao na cdm utawacost. Nawaasa watafakari haraka na wachukue hatua vingnevyo watajijingea pcha mbaya kwa watanzania na ndo utakuwa mwsho wa upinzan tanzania
CHADEMA ni CCM F maana kila siku walikuwa wanapiga kelele humu kuwa CUF ni CCM B na MASHOGA
Huwa napata tabu sana kupata jibu ninapofikiria ni kwa nini akiri ndogo ya akina Mbowe inaendesha akiri kubwa za akina Lipumba. Mfano,Lipumba alipopewa umwenyekiti wa Bunge maalum katika zile nafasi 5, ni Mbowe aliyemshauri akatae uteuzi huo na alikataa kweli. Baadae Mbowe aliteuliwa yeye na akadaka tonge hilo. Siku UKAWA wanatoka nje ya ukumbi ilikuwa ni Mbowe ndo atangaze kuondoka ukumbini kwa sababu ndiye mwenyekiti wa UKAWA. Lakini jamaa alivyochungulia dili na kwa kujua madhara yake kwa jamii, akaamua kumchomekea Lipumba nae bila kutafakari kaingia choo cha kike. Sasa kituko ni kwamba huko chooni kamkutilizia mkwewe ndo kachojoa. Mhe.Lipumba, kwa nini lakini???????
Hili ilikuwaje CHADEMA ikaungana na "CCM B?"
Na pia wakumbuke; chadema haiwapendi kabisa Waislam..