CUF na NCCR jihadharini sana na CHADEMA

CUF na NCCR jihadharini sana na CHADEMA

Naomba niwataadhalishe cuf na nccr kujihadhali sana na chadema. Kuna haja ya vyama hv viwili kuangalia upya mahusiano yao upya na cdm maana cdm ni chama kilichobobea ktk siasa za kususia, kejeli na vurugu.
Cuf na nccr ndo vyama ambavyo vilikuwa vimebaki vya upinzan vnafanya siasa za upinzani kistaarabu lakn muungano wao na cdm utawacost. Nawaasa watafakari haraka na wachukue hatua vingnevyo watajijingea pcha mbaya kwa watanzania na ndo utakuwa mwsho wa upinzan tanzania

CDM haijabobea ktk siasa za vurugu tu, bali hata uhaini.
 
Kwani CUF na Mbatia sio CCM B?
Au leo hii tumesahau makamanda hili?
Eyes on hands off -Muda ndo utakuja na majibu muafaka
mkuu na wewe ni interahamwe nn? Katiba haina vyama, na vyama hivi havijaungana kama vyama, wameungana kama watanzania wenye malengo yanayofanana kutetea maoni ya wananchi yasichakachuliwe na mainterahamwe!
 
yani ni muungano wa vyama tu ndio unawakereketa hivi?
kwahiyo mnapenda watu wagombane kila mara sio
 
Ni principle ileile ya 'divide and rule'. Mainterahamwe wameshikwa pabaya! Kwa ni usiwatahadharisha mainterahamwe wenzako ili waacha kuendelea kulipana mamilioni ya watanzani kwa mipasho,kejeli,umbeya na kuendekeza ubaguzi wa kidini na kikabila pale mjengoni?
 
CUF walivyowachinja mbn hamkusema siasa za kistaarabu, leoo CDM wanamikosoa mnasema CUF wastaarabu, nishajua CCM ndio chanzo cha siasa chafu na majanga yote, mwisho wenu umefika
 
CUF walivyowachinja mbn hamkusema siasa za kistaarabu, leoo CDM wanamikosoa mnasema CUF wastaarabu, nishajua CCM ndio chanzo cha siasa chafu na majanga yote, mwisho wenu umefika
mkuu ndo unatambua leo? Chanzo cha mitafaruku mingi ya kisiasa ni mainterahamwe!
 
Wakiungana ni siha kwa upinzani na ni utapiamlo kwa ccm hongera UKAWA.
 
Mlifikiri watatengana milele sito? Sasa wameungana.

Mlifikiri hawataelewana milele sasa wanaelewana.

Kilichobaki kwenu sasa ni majungu na umbea tu,hamna lolote la maana.

Hizi ni siasa za,kutaka kuwatenganisha tu,na hamta fanikiwa milele

Under my dead body
 
Naomba niwataadhalishe cuf na nccr kujihadhali sana na chadema. Kuna haja ya vyama hv viwili kuangalia upya mahusiano yao upya na cdm maana cdm ni chama kilichobobea ktk siasa za kususia, kejeli na vurugu.
Cuf na nccr ndo vyama ambavyo vilikuwa vimebaki vya upinzan vnafanya siasa za upinzani kistaarabu lakn muungano wao na cdm utawacost. Nawaasa watafakari haraka na wachukue hatua vingnevyo watajijingea pcha mbaya kwa watanzania na ndo utakuwa mwsho wa upinzan tanzania

Hizi ni kauli za kidhaifu sana na mara nyingi hutolewa na mtu dhaifu kama wewe ,watu wanaunda umoja na kushirikiana wewe unaona ni tabu ?.
 
Wee pimbi kweli!! ulitaka waungane na Interahamwe.?
 
Back
Top Bottom